Thursday 24 October 2013

Re: [wanabidii] MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUWA MARAISI TZ

Hii ni coincidecu. Mkapa alipigiwa kampeni na Nyerere na Kikwete alianzisha mtandao wa chini kwa chini over time. By the time watu wanang'amua hawezekani tena. Niyo inajaribu kutumiwa n wengine. Membe anaweza kuwa rais si kwa kusaidiwa na uMambo ya Nje bali umaili wake na kujituma bila woga na hasa sana sana kwa kuwa haonekani kuwa na kashfa ya UFISADI kama wengine

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, October 23, 2013 2:35 PM
Subject: [wanabidii] MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUWA MARAISI TZ

Mkapa alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa akaja kuwa rais wa Tanzania mwaka 1995 

Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa akaja kuwa rais mwaka 2000

Benard membe ni waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa . Je anaweza kuja kuwa rais wetu ifikapo 2015 ?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment