Sunday 13 October 2013

Re: [wanabidii] MAKAMPUNI YA SIMU YANATUIBIA

Hiyo ni ngumu sana dada yangu. Duniani kote hakuna kitu kama hicho, hiyo ndiyo impact ya biashara kwenye soko huria.

Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:

>Hiyo inaitwa biashara!
>
>
>2013/10/11 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>
>> Ndugu watanzania wenzangu tuzinduke haya makampuni ya simu yanatuibia.
>> Wanajifanya wanatoa offer eti sh 600 unapewa dakika kama 20 hivi za kupiga
>> simu . Lakini cha ajabu wanakupa masaa 24 uwe umeshatumia hizo dk zao
>> walizokupa vinginevyo muda huu ukiisha kama hajatumia dk zako zote umeliwa.
>> *Huo ni wizi mtupu *wangekuwa waungwana wangetupa hizo dakika bila
>> kutuwekea muda wa kuzitumia mtu awe huru kuzitumia anapozihitaji. Lakini
>> wanalazimisha watu kupiga simu hata zisizo za lazima ili tuu mtu amalize
>> dakika alizopewa kabla muda haujaisha.
>> Naomba haya makampuni pamoja na hizo promotion zao wasitoe muda ila watoe
>> dakika ili mtu awe huru kuzitumia muda autakao mpaka ziishe.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment