Tuesday 22 October 2013

Re: [wanabidii] MAKAMPUNI YA SIMU YANATUIBIA

Kiwasila

Kimya dhahabu, kuna watu wapo negative kwa kila jambo usipoteze muda kuwajibu

On 10/22/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
> Hulazimishwi kusoma, ukiona ndefu wacha, delete, soma zile fupi, chaguo ni
> lako. Kama kitu hukipendi unakula cha nini? Kama mtu humpendi-unamfuata au
> unakaa karibu yake why? Mbona virefu vingi tunachagua? Mtu mzima huamua
> apendacho wala haimpi matatizo. Mbona waatu huwa hawasomi makala zote
> ziandikwazo humu na wanabidii. hata ukinunua gazeti kwa hela yako-unachagua
> cha kusoma sio vyote unasoma-hii mbona ni kawaida sana?! Tena unaamua ni
> muda gani unasoma gazeti, gani email na gani magazeti ya mitandaoni ya nchi
> nyingine nje ya TZ. uamuzi ni wako.
>
>
>
>
>
> On Saturday, 12 October 2013, 20:17, Maurice J. Oduor
> <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
>
> Hildegarda,
>
> You write very long pieces. My lips get tired reading your postings. I guess
> that's why people don't respond much to what you write. Target 2 min max. If
> I read anything for 2 min I give up.
>
> Courage
>
>
>
> On 2013-10-12, at 11:41 AM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> wrote:
>
>
>
>>Si Daladala tu hata basi (Bus) la abiria. Unatozwa zaidi na wale walanguzi
>> wasipopata hela ukiwafukuza kwenye ofisi yako ya kukata ticket nasikia
>> wanakufanyia njama basi lako. Wanatoboa matairi. unaweza ukapata ticket na
>> kiti ukifika ndani ya bus na hasa kama unapandia njiani-limejaa hakuna
>> siti. kiti kimoja zaidi ya watu 2. unatafutiwa pa kuchomekwa. Utasimama
>> DSM mpaka mwanza? na mkifika mizani mliosimama msogee nyuma wapime mbele,
>> ikisogea wapime nyuma-mwende mbele. au ushushwe njiani mpaka lipite mizani
>> ukapandie mbele. Ukikataa kushuka-abiria wenzako watakuzomea
>> unawachelewesha na unaweza ukapitilizwa njiani ukashushwa porini kama vile
>> konda hasikii unavyomwambia unashuka. Hivyo-hatujali barabara
>> tunavyozimaliza na madaraja-eti ajira tabu. Ndio utese watu.
>>Niliona njia ya Tanga
> msichana akipitilizwa dreva akikimbia akishindana gari lingine la abiria
> lisimpite na ilikuwa jioni kiza kimeanza. Kumpitiliza yule binti ameshuka
> mbali na kituo huku konda kapanda juu anafungua liliposanduku ubavuni
> kulishusha barabarani gari ipo mwendo mdogo kuwahi kupitana-wakalishusha
> mbali na binti, wakatokea vijana wakalichukua na kuanza kukimbia na hilo
> sanduku. Binti alikuwa mbali bado na haikujulikana walimfanya nini alipotaka
> sanduku lake au alipofika pale alipoonyeshwa kwa mbali kuwa linawekwa.
> Ajabu-bus lilikuwa na watu wazimea me na ke; hakuna aliyechukua bakora au
> kumkaba dreva na utingo simamisha bus haraka au tutakubonda mtoto atapata
> matatizo na sanduku lile hamjampa na hilo linaondoka-'NO'. wote macho nje
> kushabikia magari yanayokimbizana!! Sielewi tupoje sisi wabongo. unapiga
> kelele wenzako wanakuona taahira. Cha makelele upo pekee. ujinga huu tuache.
> wizi na uonevu-unalipa hela ya ticketi kisha unaonewa. Kwa sasa nao
> walanguzi
> wanavaa sare na anakitabu anakuingiza ofisini na kitabu chake hicho
> anakukatia bei ya juu anakuambia halali-mafuta etc. Wenye mabasi wamuogope
> Mungu.
>>
>>Tunaoneana, tunatesana. Kila kona-wizi. Dawa za serikali za MSD daktari,
>> nurse anachukua anauza au kuweka ktk zahanati bubu yake na kulangua. Ndio
>> maana wananchi hawanunui kadi ya afya, pamoja na miaka hamsini ya uhuru
>> uganga wa kienyeji wa ushirikina unapamba moto. watu wanapewa miti ya sumu
>> au kuambiwa juu ya kulogwa na kuanza kuchinja na kuchoma nyumba moto.
>> Mashirika binafsi yanayopewa tender mbalimbali yanafanyakazi kanyaboya ili
>> wapate faida kwa kuibia nchi yao. Kuondoa mashirika ya serikali ili kazi
>> zifanywe na private sector kupunguza public sekta na gharama za kuhudumia
>> wafanyakazi (ushauri wa IMF na world bank) kumetoa mwanya makampuni ya
>> simu, usafiri, usafi, ujenzi n.k kuibia serikali na wananchi. Waajiriwa
>> kupata ujira mdogo sana kuliko GVT ambako nprivate sector ndio ingekuwa
>> ina
> mishahara mikubwa, efficient, quality work-Kumbe Kinyume chake.
>>Rudieshi public sector services zitolewe na mashirika yale ya
>> zamani-fufueni. Tutumie hela za gas, madini, utalii kuyafufua na
>> kutaendeleza. Ushiundani na private sekta maana viwanda hawavifufui,
>> wanapewa estates walime mashamba ya mazao-wanakodisha wananchi au yanakaa
>> miaka mkopo wamepewa-hawalimi. akilima-anaweka mkandarasi kununua mazao ya
>> wananchi na mkandarasi-mbongo lakini anawaibia wananchi wenzake kulipa
>> hela kidogo kwa kilo au hakati na kubeba/kupakia miwa ya mklima dreva na
>> vibarua wa kampuni wanadai hongo.
>>Basi na ikitokea kampuni ya simu au yoyote inaiba; mfanyakazi
>> anafisadi-wasifisiwe. Mfanyakazi asipate malipo/mafao yake yote
>> yachukuliwe yalipe deni/gharama. Hii itakuwa fundisho kwa wengine.
>> Kumuachisha kazi tu na kumpa mafao ni kujenga msingi wa wizi zaidi.
>>
>>Makampuni yanaiba kwa sababu kuna baadhi ya vigogo ni wabia humo. Iwe
>> marufuku kwa mtu mwenye wadhifa
> serikalini kuwa na ubia ktk makampuni yatoayo huduma au kufanya investment
> nchini yeye akina na cheo kama waziri, mbunge, manager etc labda awe na ubia
> huo kabla ya kuchaguliwa ubunge na uwaziri. hii imekuwa inawafanya
> wawekezaji wafanye watakavyo.
>>wengine tunafurahi maombi na sala zetu kuwa Mbunge asiwe waziri na waziri
>> asitakiwe kugombea ubunge. Sasa yametimia, tunaitakia heri katiba. hii
>> itamfanya afanye vya kuonekana kiusanisi kikazi na kijimbo. Na umugabe
>> utapungua. Aluta continua-pashasta.
>>
>>
>>
>>
>>
>>On Friday, 11 October 2013, 19:01, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
>> wrote:
>>
>>hawa watetezi wa walaji hawajulikani hata kiukweli, hata waoa
>> hawajitangazi, na kujitangaza kwao ni kututetea kikamilifu sisi
>> walaji.....hv ofs zao ziko wapi jamani.....si makampuni ya simu tu hata
>> dala dala, njoo ubungo saa 11 utasikia mbezi alfu moja, kimsingi wizi ni
>> kila eneo , hatuna wa kututetea kabisa labda waliobakia ni wanasiasa na
>> wana habari tu...hv vyama sijui vya walaji sijui nini havina kitu banaaaa
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>On Friday, October 11, 2013 3:40 PM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>> wrote:
>>
>>Nielekezeni lilipo kaburi la tume ya mawasiliano Tanzania labda nitakuta
>> mwongozo wa nini kifanyike kukomesha ujahili huu. Hivi wale jamaa watetezi
>> wa walaji huwa wanafanya kazi gani mbona maranyingi sekta nyingi hazitoi
>> huduma kulingana na pesa zinazolipwa na jamaa sisikii kutete
>> mlaji(consumer) sijui kama niko sahihi
>>
>>
>>
>>2013/10/11 mngonge <mngonge@gmail.com>
>>
>>haya nayo majanga, mara nyingi hujifanya wanaturahisishia maisha wakati
>> wanayafanya kuwa magumu zaidi. Hawa ni wafanya biashara bwana ni
>> makanjanja na dunia imewaruhusu kutudanganya kuanzia matangazo yao.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>2013/10/11 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>>
>>>Ni wezi hasa ukiangalia makato mengineyo. Unaambiwa ndugu mteja umekatwa
>>> 400/= kwa wimbo unaotumia kwa mwezi kuanzia sasa. Unakaa wiki 2 na wakati
>>> mwingine hata wiki haifiki wanakuambia tena-ndugu mteja umekatwa shs
>>> 400/= kwa mwezi kwa matumizi ya huo wimbo unaotumia ktk sm yako.
>>> yaani-mlio wako fulani umewekwa upya kwa siku 30 zijazo na hazijafika ni
>>> wiki tu wamekukata na wanakukata tena. Zidisha 400/= mara wateja millioni
>>> 4 ni shillingi ngapi kama si wizi halafu zidisha makato hayo kwa watu hao
>>> kila baada ya wiki au siku 10 sema at least 3 times a month. halafu hiyo
>>> sms yao ni no reply labda upige customer service na hata ukitoa
>>> taarifa-inaendelea-WEZI. Voda kampuni inayoheshimika wanafanya hivi bora
>>> mtu uhamie Airtel-hakatwi mtu hapa!! Sikui huko nako itatokea hivi kama
>>> ile mikate inayoibwa na lile jibaba!! Ukienda madukani mfano Shoprite
>>> unaona change yako ilikuwa na senti 23 za kurudi. Hizi huzipati-hawanazo.
>>> Zidisha hizo 0.23 cents mara milioni
> za watu monthly wanaotumia duka hilo bado maduka mengine nchini. Kwa nini
> wasiwehe exact amount hata kama kuna kodi ujue ipo kwa hela zilizopo
> tanzania kusiwe na vijisenti ambavyo havipo. Akili kukichwa ujanja mjinin
> ktk uwekezaji. Bado tena tukatwe 1000/= kila mwezi na ukipewa hizo units za
> mafungu simu inakula units kama kiwavi mpaka unajiuliza faida ya hayo
> mafungu. wanatuonea. Hata wakiwa na promotion za majumba na kutoa zawadi ya
> magari etc ni kwamba gharama si yao. wanatumia makato haya yasiyo halali
> kupata pesa za kutoa zawadi kuongeza publicity na wateja. Yaani unaiba
> halafu unakwenda kutoa zawadi na sadaka misikitini au kanisani na kwa
> wasiojiweza au kumpa mungu sadaka kwa kujenga hekalu la dini. Nimeweka sms
> za makato yangu yoye yasiotimia muda kuonyesha nisemalo halina uongo.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Friday, 11 October 2013, 11:22, Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>>>> wrote:
>>>>
>>>>Ndugu watanzania wenzangu tuzinduke haya makampuni ya simu yanatuibia.
>>>> Wanajifanya wanatoa offer eti sh 600 unapewa dakika kama 20 hivi za
>>>> kupiga simu . Lakini cha ajabu wanakupa masaa 24 uwe umeshatumia hizo dk
>>>> zao walizokupa vinginevyo muda huu ukiisha kama hajatumia dk zako zote
>>>> umeliwa. Huo ni wizi mtupu wangekuwa waungwana wangetupa hizo dakika
>>>> bila kutuwekea muda wa kuzitumia mtu awe huru kuzitumia anapozihitaji.
>>>> Lakini wanalazimisha watu kupiga simu hata zisizo za lazima ili tuu mtu
>>>> amalize dakika alizopewa kabla muda haujaisha.
>>>>Naomba haya makampuni pamoja na hizo promotion zao wasitoe muda ila watoe
>>>> dakika ili mtu awe huru kuzitumia muda autakao mpaka ziishe.
>>>>
> --
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--

>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
> --
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment