Wednesday 2 October 2013

Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana, Utamaduni Na Michezo...

Ludovick;
Bila shaka tunaeleweshana na hatupaswi kuvutana.
Kwa uelewa wangu ambao sio mkubwa natambua burudani ni michezo, muziki, picknick, bonanza, kutembeleana baina ya shule, mashindano mbalimbali n.k ambavyo vyombe vinaruhusiwa na kufanyika na wakati fulani Mungai akiwa msimamia sera wizara ya elimu viliondolewa ikaonekana sio sahihi na inasababisha wanafunzi kuanza kufanya m-badala i.e. kujiingiza katika starehe.
Shule zenye maadili mazuri kwa watoto/wadogo zetu haziruhusu wanafunzi kushiriki katika starehe na ukipatikana katika maeneo ya starehe kunamaliza/inakuwa mwisho wa uanafunzi wako mana anakuwa tayari kesha changanya mambo yasiyochanyanyika.
Starehe ni km ulevi ,uasherati na mambo yanayoambatana nayo,ambayo FIESTA imo ndani yake ikiwa imepewa jina jipya la kuficha maovu yaliyo ndani yake.

R

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 3, 2013 8:56 AM
Subject: Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana, Utamaduni Na Michezo...

nafikiri tunakubaliana kimsingi.na hatupaswi  kuvutana kwa sababu ya
msamiati. starehe ni nini na burudani ni nini. nakushukuru mkuu

On 10/3/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
> Ludovick;
> Hata mimi nakubaliana na wewe kama tutazungumzia BURUDANI kwa wanafunzi
> lakini katika STAREHE hapana sitokuwa muumini wako,starehe na shule ni
> mafuta na maji,havichanganyiki Mkuu.
> Angalia watu ambao ulikuwa nao kote ulikopita katika maisha ya shule, wale
> walio/tuliokuwa tunapendapenda starehe kama wamekuwa na mafanikio katika
> elimu,kama wapo watakuwa wachache na wamefikia hapo baada ya kustuka baadae
> sana na kulazimika kupita njia ndefu mno
>
>
> Reuben
>
>
>
>
>>________________________________
>> From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Thursday, October 3, 2013 8:12 AM
>>Subject: Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana,
>> Utamaduni Na Michezo...
>>
>>
>>Reuben sehemu ya kwanza ya muono wako nakubaliana. lakini unaposema
>>wanafunzi hawapaswi kuwa na starehe kabisa hapo pana mushkeli.
>>wanafunzi kama wote wanahitaji kupata starehe kidogo. dini nayo ni
>>sehemu tu ya wanachohitaji. burudani ikiwamo muziki ni muhimu sana na
>>wanafunzi wengine wana vipaji vya muziki.
>>  burudani zifanyike  lakini katika muktadha wa maadili jamii na
>>zisifikie hatua ya kuharibu vitu basic kama zilivyo fiesta
>>
>>On 10/3/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>>> Maggid;
>>> Mada yako inalipa sana, shida inakuja tuanzie wapi?
>>> Mana wadau katika hili ni jamii nzima kuanzia nyumbani mpaka
>>> mwisho,isipokuwa wale wanaosimamia sera ndio huwa wa kwanza kuwanyooshea
>>> vidole. Kwa kuongezea kama nami ningekuwa Waziri FIESTA na STAREHE
>>> zingine
>>> kwa wanafunzi ingekuwa marufuku kabsaaa,mana hata wakati wa likizo ndipo
>>> wangekuwa wanakata kiu na hapo ndo kuharibikiwa fasta.
>>> Shule huwa inaitaji discipline ya hali ya juu na haichanganiki na
>>> starehe,inaweza kuchanganyika vizuri kwa kuwa muumini mzuri wa dini
>>> yako.
>>>
>>>
>>> R
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>>________________________________
>>>> From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Sent: Wednesday, October 2, 2013 7:44 PM
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana,
>>>> Utamaduni Na Michezo...
>>>>
>>>>
>>>>Maggid,  huu ni ukweli unaohitaji dhamiri hai kuusema maana unapingana
>>>>na wakubwa wa dunia hii. haya mafiesta haya  yanaleta madhara sana kwa
>>>>jamii. lakini kwa sababu kuna watu wanapata hela, hakuna anayejali.
>>>>asante kwa kuusema ukweli huu.
>>>>
>>>>On 10/2/13, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
>>>>>  Kaka umenena mbaya zaidi watoto wakifeli tunataka mawaziri wajiuzulu
>>>>> wakati tunashabikia fiesta na mambo yanayofanana nayo. jamii
>>>>> tubadilike kwanza
>>>>>
>>>>> On 10/1/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>>>>>> Basi, Siku ya kwanza tu ya kuingia ofisini ningetoa tamko la kupiga
>>>>>> marufuku fiesta zote isipokuwa kwenye misimu ya likizo za wanafunzi.
>>>>>> Na
>>>>>> kwa
>>>>>> masharti, kuwa fiesta kwa watoto chini ya miaka 18 zianze alasiri na
>>>>>> kumalizika saa kumi na mbili jioni. Fiesta za usiku iwe ni kwa watu
>>>>>> wazima
>>>>>> tu.
>>>>>>
>>>>>> Tuwe wakweli kwa jamii yetu na Nchi Yetu. Wanaosema ' Twenzetu
>>>>>> tukawinde'
>>>>>> wanapotosha umma. Ni sawa na kusema pia ' Twenzetu tukawindwe'.
>>>>>> Wahenga
>>>>>> walinena; mwinda huindwa. Hapo pichani imeandikwa, kuwa bia laki 2
>>>>>> kuwindwa. Ni majanga. Hapa kuna ' wawindaji haramu' wenye
>>>>>> kuwaaminisha
>>>>>> wenye kuwindwa kuwa wao ndio wawindaji!
>>>>>>
>>>>>> Ina tafsiri ya vijana wetu na hususan walio mashuleni ndio wenye '
>>>>>> kuwindwa' na watengenezaji wa vilevi. Halafu tunashangaa kuwa matokeo
>>>>>> ya
>>>>>> form four ni mabovu kila mwaka unaoingia wakati fiesta hizi
>>>>>> zinawapagaisha
>>>>>> vijana wetu wengi na kuacha ku-focus kwenye masomo yao.
>>>>>>
>>>>>> Ndio, ni wazazi pia wenye ' kuwindwa'. Na hawana pa kusemea. Fiesta
>>>>>> hizi
>>>>>> zinawaweka roho juu wazazi. Kuna wasichana wenye kubakwa kwenye giza
>>>>>> la
>>>>>> fiesta na umati wa vijana wengine waliolewa na hata kuvuta bangi.
>>>>>> Nani
>>>>>> anajali?
>>>>>>
>>>>>> Tulipofika ni pabaya. Inatosha kuwa kwa sasa tuna hata vijana wetu
>>>>>> wanaoingia darasani na 'viroba' vya pombe mifukoni. Naambiwa
>>>>>> mwanafunzi
>>>>>> anafyonza kiroba huku akimsikiliza mwalimu. Haya ni majanga ya
>>>>>> kujitakia.
>>>>>>
>>>>>> Na ipigwe sasa MARUFUKU ya FIESTA kwenye misimu ya masomo. Ipigwe pia
>>>>>> marufuku ya viroba kuuzwa kwenye maduka ya mitaani isipokuwa kwenye
>>>>>> sehemu
>>>>>> za vilevi na kwa kuzingatia umri.
>>>>>>
>>>>>> Na kinachosikitisha hapa ni kuona vijana wetu wakiangamia kupitia
>>>>>> hata
>>>>>> hayo
>>>>>> yanayoitwa ' matamasha ya muziki'. Mengi hugeuka kuwa ' matamasha ya
>>>>>> ulevi
>>>>>> na ngono zembe'. Ni majanga, kama wanavyoita mitaani.
>>>>>> Tuvunje Ukimya.
>>>>>> Maggid Mjengwa.
>>>>>> 0754 678 252
>>>>>> Iringa.
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be
>>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree
>>>>>> to
>>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send
>>>>>> an
>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>
>>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment