Wednesday 2 October 2013

Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana, Utamaduni Na Michezo...

Maggid;
Mada yako inalipa sana, shida inakuja tuanzie wapi?
Mana wadau katika hili ni jamii nzima kuanzia nyumbani mpaka mwisho,isipokuwa wale wanaosimamia sera ndio huwa wa kwanza kuwanyooshea vidole. Kwa kuongezea kama nami ningekuwa Waziri FIESTA na STAREHE zingine kwa wanafunzi ingekuwa marufuku kabsaaa,mana hata wakati wa likizo ndipo wangekuwa wanakata kiu na hapo ndo kuharibikiwa fasta.
Shule huwa inaitaji discipline ya hali ya juu na haichanganiki na starehe,inaweza kuchanganyika vizuri kwa kuwa muumini mzuri wa dini yako.
 
R


From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 2, 2013 7:44 PM
Subject: Re: [wanabidii] Majanga Haya! Ningelikuwa Waziri Wa Vijana, Utamaduni Na Michezo...

Maggid,  huu ni ukweli unaohitaji dhamiri hai kuusema maana unapingana
na wakubwa wa dunia hii. haya mafiesta haya  yanaleta madhara sana kwa
jamii. lakini kwa sababu kuna watu wanapata hela, hakuna anayejali.
asante kwa kuusema ukweli huu.

On 10/2/13, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
>  Kaka umenena mbaya zaidi watoto wakifeli tunataka mawaziri wajiuzulu
> wakati tunashabikia fiesta na mambo yanayofanana nayo. jamii
> tubadilike kwanza
>
> On 10/1/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>> Basi, Siku ya kwanza tu ya kuingia ofisini ningetoa tamko la kupiga
>> marufuku fiesta zote isipokuwa kwenye misimu ya likizo za wanafunzi. Na
>> kwa
>> masharti, kuwa fiesta kwa watoto chini ya miaka 18 zianze alasiri na
>> kumalizika saa kumi na mbili jioni. Fiesta za usiku iwe ni kwa watu
>> wazima
>> tu.
>>
>> Tuwe wakweli kwa jamii yetu na Nchi Yetu. Wanaosema ' Twenzetu tukawinde'
>> wanapotosha umma. Ni sawa na kusema pia ' Twenzetu tukawindwe'. Wahenga
>> walinena; mwinda huindwa. Hapo pichani imeandikwa, kuwa bia laki 2
>> kuwindwa. Ni majanga. Hapa kuna ' wawindaji haramu' wenye kuwaaminisha
>> wenye kuwindwa kuwa wao ndio wawindaji!
>>
>> Ina tafsiri ya vijana wetu na hususan walio mashuleni ndio wenye '
>> kuwindwa' na watengenezaji wa vilevi. Halafu tunashangaa kuwa matokeo ya
>> form four ni mabovu kila mwaka unaoingia wakati fiesta hizi
>> zinawapagaisha
>> vijana wetu wengi na kuacha ku-focus kwenye masomo yao.
>>
>> Ndio, ni wazazi pia wenye ' kuwindwa'. Na hawana pa kusemea. Fiesta hizi
>> zinawaweka roho juu wazazi. Kuna wasichana wenye kubakwa kwenye giza la
>> fiesta na umati wa vijana wengine waliolewa na hata kuvuta bangi. Nani
>> anajali?
>>
>> Tulipofika ni pabaya. Inatosha kuwa kwa sasa tuna hata vijana wetu
>> wanaoingia darasani na 'viroba' vya pombe mifukoni. Naambiwa mwanafunzi
>> anafyonza kiroba huku akimsikiliza mwalimu. Haya ni majanga ya kujitakia.
>>
>> Na ipigwe sasa MARUFUKU ya FIESTA kwenye misimu ya masomo. Ipigwe pia
>> marufuku ya viroba kuuzwa kwenye maduka ya mitaani isipokuwa kwenye
>> sehemu
>> za vilevi na kwa kuzingatia umri.
>>
>> Na kinachosikitisha hapa ni kuona vijana wetu wakiangamia kupitia hata
>> hayo
>> yanayoitwa ' matamasha ya muziki'. Mengi hugeuka kuwa ' matamasha ya
>> ulevi
>> na ngono zembe'. Ni majanga, kama wanavyoita mitaani.
>> Tuvunje Ukimya.
>> Maggid Mjengwa.
>> 0754 678 252
>> Iringa.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment