Thursday 24 October 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA SI MUADILIFU, NI WA KUOGOPWA KAMA "UKOMA"

Akili ya mwanadamu haisubiri kushuhudia hatari itakayotokea bali ni kuchukua tahadhari mapema iwezekanavyo badala ya kusubiri kushuhudia hatari yenyewe

2013/10/24 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Elisa

Nami naiongoja hiyo siku kwa hamu kubwa sana ili kuyaona yale yaliyokuwa yakisemwa yakitokea kwa wazi.

2013/10/24 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Uite mtzamo siku moja utajua nini kilikuwa kinasemwa

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, October 24, 2013 5:30 PM
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA SI MUADILIFU, NI WA KUOGOPWA KAMA "UKOMA"

Ndiyo raha ya mitizamo

2013/10/24 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Kama kuna hatari inalikabili tafa hili heri maadui wale wengine watatu kuliko huyu. Ni hatari kumuogopa kama UKOMA heri kumuokopa KULIKO Ukoma

From: Fatima Husenali <husenalif@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 24, 2013 5:19 PM
Subject: [wanabidii] LOWASSA SI MUADILIFU, NI WA KUOGOPWA KAMA "UKOMA"

&apos;&apos;LOWASSA SI MUADILIFU, NI WA KUOGOPWA KAMA "UKOMA"

"Mkimuona mtu anaitafuta Ikulu kwa pesa muogopeni kama Ukoma. Mimi nimekaa Ikulu miaka 25, ikulu sio mahali pa kukimbilia" Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Nimeitafakari kauli hiyo siku nyingi sana, lakini leo nimeona niizungumzie kwa kirefu kutokana na mambo yanayoendelea hivi sasa Nchini kwetu. Leo nataka nimzungumzie kidogo Mwanasiasa NGULI na mwenye roho ya Chuma, Mtuhumiwa namba moja wa Ufisadi ndani ya Chama cha Mapinduzi, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa ya Ufisadi ya Richmond na Mwanasiasa Kinara wa kumwaga pesa ili aende Ikulu, Ndugu Edward Ngoyay Lowassa. 

Nimeskia habari kuwa bwana huyu Mwenye Utajiri wa kutisha usiojulikana chanzo chake (Hii ni kwa mujibu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere) amegawa Shilingi Laki mbili mbili (200,000/=) kwa kila Katibu wa CCM wa Wilaya na Mkoa katika wakati huu ambao Mkutano maalum wa Mafunzo kwa Makatibu wa Chama hiki unaendelea huko Mkoani Dodoma. Ukipiga hesabu ya idadi ya Makatibu hao kwa Mikoa na Wilaya zote Nchini utagundua kuwa "Mzee huyu wa Mvua za Kutengeneza za Thailand" ametoa jumla ya pesa za Kitanzania Shilingi Milioni Thelasini na Tano na Laki nane (35,800,000=). 

Hizi ni pesa nyingi sana na ni mwendelezo wa mchezo wake wa kuitaka Ikulu kwa kutumia mapesa (kumbukeni kuwa yeye pia ni &apos;Mtaalam Mwelekezi wa Harambee Nchini&apos;). Sasa hapa nashindwa kuelewa huyu Lowassa ni Maarufu kuliko chama au chama ndicho kinamtuma kujenga Umaarufu huo ili ifikapo 2015 iwe rahisi kwa mtu huyu kuichukua Ikulu ya Tanzania (Maana ni Jana tu kwenye Ufunguzi wa Mkutano huo Rais Ali Mohammed Shein amekataza haya ya "Kupitapita" kuhonga watu na akawaambia Makatibu hao waache "Udalali"). Lowassa hamuogopi Shein?, anapinga Maagizo ya Chama chake? Haingiii akilini kwa binaadam wa kawaida kuamini kuwa huu afanyao Lowassa si mchezo wa chama tawala kutumia pesa kwa mtu yule wanayemtaka kuingia Ikulu. 

Kama sio hivyo Iweje huyu Lowassa asiye na sifa, hadhi, Maadili wala kaliba yoyote ile ya kuwa Rais wa Jamhuri Tukufu ya Tanzania chama chake kimuache atumie mapesa mengi kiasi hiki kufanikisha malengo yake?. Au CCM imefilisika sasa na haina pesa ya kuwalipa watendaji wake mishahara na posho za vikao mbalimbali mpaka kumwachia Lowassa jukumu hilo? Na ruzuku kinachopata chama inafanya kazi gani?, Ndio maana Zitto Kabwe anataka hivi vyama vikaguliwe matumizi yao. Jambo ambalo nakubaliana naye. 

kama kweli Lowassa Ngoyai Edward anapesa na anaona haja ya kuwassaidia Watanzania kwa nini asifanye kama Mkono alivyokua anafanya kule kwetu Musoma anajenga Shule anawamilikisha Wananchi, au basi ajenge zahanati agawe kwa Wananchi ili iwe Msaada kwa jamii yote kuliko kulenga Makundi flani anayoona yanafaida kwa Mustabaki wake.

AU lowassa anajitengenezea Ufalme wake ili endapo chama hicho kikiamua kumtosa kutokana na kutokuwa Mwadilifu aondoke na himaya yake? Nilisema mwaka jana hapa kuwa "LOWASSA NA WANAZi WAKE WANA UJEURI YA KIKOLONI", Ujeuri mbaya kuliko Ujeuri wowote ule. Kama mtu anatumia pesa kubwa hivyo kwenda IKULU akikamata Dola atatawala kwa mabavu ili kulinda utawala wake usio halali, Nawaasa WATANZANIA zindukeni na mkae mbali na mtu huyu. Karibuni kwa Mjadala huu mzito juu ya Mustakabali wa Taifa letu, Nionye kwamba huu ni mjadala muhimu sana kwa Taifa hasa wakati huu, ukijihisi "Mishkaki" imekuathiri kiasi cha kushindwa kujenga hoja basi ni heri ukajiweka pembeni.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment