Wednesday 2 October 2013

Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!

Mtoi,

Sijawahi kuwa kilaza maishani mwangu. I have always been one of the brightest students in all classes I have passed. I can openly declare that. Jidanganye mwenyewe tu.

Nimekataa kuanza kunijadili mimi binafsi na mchango wangu. Kama nyie mko smart andikeni mada yenu mlete hapa tujadili. Na hapo mtapata mchango wangu. Ila hii ni mada yangu na niliileta kwa malengo tofauti.

Ludo, sipendi kukujadili wewe. Unadhani uko smart sana, kumbe tunaokuangalia tunaona akili na ujanja wako unapoishia. Jifunze kwanza kabla ya kujiona tayari ushajua.


2013/10/2 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
na hapa ndipo mimi na huyu mtu huwa tunatofautiana. anadhani yuko
smart kuliko watu wote. sasa kakamatwa tayari analeta sarakasi. kwani
huo uzi mwingine unaoutaka si utauliza swali hilohilo? jibu au sema
umezidiwa.

On 10/2/13, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
> kigwa, Mtoi amekuomba uweke mchango wako wa bungeni. haya unayosema
> hapa siyo menyewe. labda useme kwanza hauleti kisha uendelee tu.
> halafu kwa nini una hofu kuwa watu walipotoshwa? unaamini kuwa
> wananchi hawana akili wao wenyewe kujua ukweli ni upi mpaka waambiwe
> na nyie?
>
> On 10/2/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>> Mtani wangu Mtoi,
>>
>> Nilichangia kwa masikitiko makubwa sana kwa kuwa niliona hakukuwa na
>> faida
>> yoyote ile ya wao kutoka nje na sikuona haja ya Mbowe ya kuanzisha ubishi
>> bungeni ambao ulipelekea vurugu...kwa hakika hawakuwa na hoja yoyote ile
>> ya
>> maana kiasi cha kuonesha hasira zao kiasi hicho, na pia kutoka nje
>> kulilenga kupotosha umma ili kutafuta political mileage kwa kutafuta
>> huruma
>> ya wananchi lakini kwa kweli ya mungu hakukuwa na uonevu na wala hata
>> sababu ya msingi ya kufanya vile. Mtafute mbunge yeyote yule wa upinzani
>> leo muulize pembeni binafsi alitoka kwa sababu gani haswa ya
>> maana...hakuna
>> atakayekujibu
>>
>>
>> 2013/10/2 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>>
>>> HK naomba uweke na ule mchango wako ulio  changia kuboresha mswaada wa
>>> katiba mara baada ya mbowe kutoka nje.
>>>
>>> Uweke wote hapahapa tupime thamani ya ulichokichangia, matumizi ya muda
>>> wa
>>> bunge, uimara wa kanuni kuthibiti michango inayotolewa bungeni hususani
>>> kwenye mchango wako pamoja na umuhimu wa mchango wako kwenye kuweka
>>> msingi
>>> wa taifa jipya la Tanzania kwa miaka 50 au hata 100 ijayo.
>>>
>>> Naamini ule mchango wako uliutoa ukiwa umejiandaa na kufanya utafiti wa
>>> kutosha kuhakikisha wewe kama kijana msomi unalipatia taifa lako katiba
>>> bora.
>>>
>>> Ulete ili sasa ukipe uhalali kumjadili Mbowe.
>>> On Oct 2, 2013 10:09 AM, "Dr. Hamisi A. Kigwangalla" <
>>> hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>>>
>>>> Magesa, basi hujui...hahahahaaa!
>>>>
>>>>
>>>> 2013/10/2 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
>>>>
>>>>> Nachojua HK ni makamu mwenyekiti
>>>>> On 2 Oct 2013 09:27, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>>> hata miye siijuwi Bony!
>>>>>>
>>>>>> On 10/2/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
>>>>>> > Hivi HK ni mwnyekiti wa kamati ya serikali za mitaa au ni makamu
>>>>>> > mwnyekiti??
>>>>>> > On 2 Oct 2013 09:03, "ezekiel kunyaranyara" <
>>>>>> ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>>>> > wrote:
>>>>>> >
>>>>>> >> Dr, HK
>>>>>> >>
>>>>>> >> Maelezo haaya yaaanaeleweka na yanaweka ukweli bayana lakini
>>>>>> mnachhelewa
>>>>>> >> sana kuyatoa hadi sumu inaenea kabisa katika vichwa vya watu.
>>>>>> >> Sijui
>>>>>> kama
>>>>>> >> mnaweza kiondoa kirahisi sumu hii.
>>>>>> >>
>>>>>> >> Sent from Yahoo! Mail on Android
>>>>>> >>
>>>>>> >>  ------------------------------
>>>>>> >> * From: * fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>;
>>>>>> >> * To: * <wanabidii@googlegroups.com>;
>>>>>> >> * Subject: * Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai:
>>>>>> >> Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!
>>>>>> >> * Sent: * Tue, Oct 1, 2013 6:02:02 PM
>>>>>> >>
>>>>>> >>   Nashukuru kwa ufanuzi, tatizo letu wengi wetu hatujui kanuni za
>>>>>> >> mijadala ya bungu huwa tunakurupuka kama alivyokurupuka mhe.
>>>>>> >> Mbowe,
>>>>>> >> Siku za nyuma niliwahi kusema Katika wabunge wa Upinzani Bungeni,
>>>>>> >> Namkubali Zito na kafulila na Machali wa NCCR huwa hawana kawaida
>>>>>> >> ya
>>>>>> >> kukurupuka
>>>>>> >>
>>>>>> >> On 10/1/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
>>>>>> wrote:
>>>>>> >> > KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa Kwa Uongo baada ya
>>>>>> kweli
>>>>>> >> > kufahamika!
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > *Imeandikwa na Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB*
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > * *
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Leo nimeamka na mzuka wa kuandika. Kwanza nasukumwa na kuandika
>>>>>> kuhusu
>>>>>> >> > ukweli, zaidi kwa kuwa nafurahia kuandika maneno yanayofanana na
>>>>>> yale
>>>>>> >> > yaliyosemwa na mwandishi nguli wa Kiswahili, babu yangu Shaaban
>>>>>> Robert,
>>>>>> >> > ambaye kazi zake hazitokuja kufubaa vizazi na vizazi,
>>>>>> nikizifananisha
>>>>>> >> > na
>>>>>> >> > zile za William Shakespeare, mwandishi mashuhuri wa mashairi na
>>>>>> fasihi
>>>>>> >> > simulizi wa Uingereza ya karne ya 16. Lakini pia nafurahi
>>>>>> >> > kuandika
>>>>>> >> > kuhusu
>>>>>> >> > dhana ya ukweli ambayo mimi daima naisimamia na nitaifia
>>>>>> >> > itapobidi.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Hayati Shaaban Robert anaandika hivi katika kitabu chake cha
>>>>>> >> > Kusadikika:
>>>>>> >> > 'Msema kweli huchukiwa na marafiki zake. Nikipatwa na ajali kama
>>>>>> hiyo,
>>>>>> >> > sitaona wivu juu ya wale wawezao kudumu na marafiki zao siku
>>>>>> >> > zote.
>>>>>> >> > Siwezi
>>>>>> >> > kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa kitambo, nikajitenga na
>>>>>> furaha ya
>>>>>> >> > milele itakayotokea pale uongo utakaposhindwa.'
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Nimeazima hekima hizi kutoka kwa Shaaban Robert kwa lengo la
>>>>>> >> > kutaka
>>>>>> >> > kuzungumza ukweli, maana ukweli una tabia nyingi sana na kubwa
>>>>>> >> > niipendayo
>>>>>> >> > mimi ni ile ya kutobadilika badilika. Ukweli hubaki ukweli hata
>>>>>> kama
>>>>>> >> > utaishi miaka dahari, utabaki kuwa kweli tu. Nimependa leo
>>>>>> >> > kujadili
>>>>>> >> > jambo
>>>>>> >> > hili kwa sababu kwanza lilileta aibu kubwa kwa bunge letu, pili
>>>>>> >> > mijadala
>>>>>> >> > iliyofuatia baada ya jambo hili ilileta taswira ya kuonewa na
>>>>>> >> kukandamizwa
>>>>>> >> > kwa upinzani kwa kuzibwa mdomo, na tatu kwa kuwa iliongeza nguvu
>>>>>> kwa
>>>>>> >> > wapinzani bungeni kudumu katika kususia kushiriki mjadala wa
>>>>>> >> > hoja
>>>>>> ya
>>>>>> >> > muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba iliyokuwa ikijadiliwa.
>>>>>> Yote
>>>>>> >> haya
>>>>>> >> > naona yanapelekea kutuondoa kwenye mtindo wa 'muafaka' wa pamoja
>>>>>> kwenye
>>>>>> >> > mchakato wa kuandika upya katiba yetu tuliokuwa tukiendelea nao.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Nitaomba nitumie kanuni za bunge kujenga hoja yangu. Nianze na
>>>>>> >> > ile
>>>>>> >> > kanuni
>>>>>> >> > ya 60 (1.) ambayo inatoa maelekezo ni wakati gani mbunge atapata
>>>>>> muda
>>>>>> >> > wa
>>>>>> >> > kusema bungeni, inasema: ' Mbunge akitaka kusema bungeni
>>>>>> >> > anaweza:-
>>>>>> (a)
>>>>>> >> > kumpelekea spika ombi la maandishi; (b) kusimama kimya mahali
>>>>>> pake; na
>>>>>> >> (c)
>>>>>> >> > kutumbukiza kadi ya elektroniki.' Mhe. Mbowe aliposimama bungeni
>>>>>> >> > alitumia
>>>>>> >> > kanuni hii kwenye ile fasili ndogo ya (b). Lakini ukisoma kanuni
>>>>>> hiyo
>>>>>> >> hiyo
>>>>>> >> > ya 60 ile fasili ya pili inasema 'isipokuwa kwamba, Mbunge
>>>>>> >> > yeyote
>>>>>> >> hataanza
>>>>>> >> > kuzungumza hadi aitwe na spika ama kwa jina ama kwa wadhifa wake
>>>>>> >> > na
>>>>>> >> > kumruhusu kusema…' Hivyo Mhe. Ndugai (NS) alimuona Mhe. Mbowe
>>>>>> lakini
>>>>>> >> > hakumruhusu kusema, na kwa mujibu wa kanuni hii alikuwa kwenye
>>>>>> mamlaka
>>>>>> >> > ya
>>>>>> >> > kuamua aidha kumruhusu ama kutomruhusu.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Mbowe anataka kuzungumza baada ya hoja kuafanyiwa maamuzi,
>>>>>> anazungumza
>>>>>> >> nini
>>>>>> >> > tena? Anataka kura zipigwe kwa mara nyingine ya pili tena ama
>>>>>> anataka
>>>>>> >> > kuanzisha upya mjadala wa hoja iliyofungwa? Anasimama kwa kanuni
>>>>>> gani,
>>>>>> >> > maana kanuni ambayo ingeweza kumpa fursa ya kuzungumza ilikuwa
>>>>>> >> > ni
>>>>>> ile
>>>>>> >> > ya
>>>>>> >> > 'kuhusu utaratibu' tu, lakini kwa mujibu wa taarifa rasmi ya
>>>>>> >> > majadiliano
>>>>>> >> ya
>>>>>> >> > bunge (hansard) za siku hiyo, aliposimama Mhe. Mbowe (KUB)
>>>>>> >> > hakusema
>>>>>> >> 'kuhusu
>>>>>> >> > utaratibu'. Kanuni ya 68 (1.) inasema hivi: 'Mbunge anaweza
>>>>>> kusimama
>>>>>> >> wakati
>>>>>> >> > wowote na kusema maneno *"kuhusu utaratibu"*, ambapo Mbunge
>>>>>> >> > yeyote
>>>>>> >> > ambaye
>>>>>> >> > wakati huo atakuwa anasema atanyamaza na kukaa chini na Spika
>>>>>> atamtaka
>>>>>> >> > Mbunge aliyedai utaratibu ataje kanuni au sehemu ya kanuni
>>>>>> >> > iliyokiukwa.'
>>>>>> >> > Kwa mujibu wa taarifa rasmi za majadiliano ya bunge (hansard),
>>>>>> >> > Mhe.
>>>>>> >> > Mbowe
>>>>>> >> > (KUB) hakutamka neno hili na kwa maana hiyo hakukusudia
>>>>>> >> > kulielekeza
>>>>>> >> > Bunge
>>>>>> >> > kuhusiana na kanuni yoyote ya bunge iliyokiukwa. Na pia hakukuwa
>>>>>> >> > na
>>>>>> >> Mbunge
>>>>>> >> > yeyote yule aliyekuwa akisema kwa wakati ule hivyo matumizi ya
>>>>>> kanuni
>>>>>> >> hiyo
>>>>>> >> > hayakuwa 'warranted'.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Aghalabu angeweza kutumia kanuni ya 63 (3.) inayoruhusu Mbunge
>>>>>> yeyote
>>>>>> >> yule
>>>>>> >> > kusimama na kutamka maneno 'kuhusu utaratibu'  kama angekuwepo
>>>>>> Mbunge
>>>>>> >> > anayesema kwa wakati ule, lakini bahati mbaya sana hakuwepo
>>>>>> >> > Mbunge
>>>>>> >> > yeyote
>>>>>> >> > aliyekuwa akisema wakati ule. Kumbukumbu rasmi za bunge
>>>>>> >> > (hansard)
>>>>>> >> > zinaonesha kuwa ndiyo kwanza tulikuwa tumemaliza kupiga kura na
>>>>>> Mhe.
>>>>>> >> Ndugai
>>>>>> >> > (NS) ndiyo alikuwa amemuita tu Mbunge wa Vunjo, Mhe. Augustino
>>>>>> Lyatonga
>>>>>> >> > Mrema azungumze, naye hakuwa amezungumza lolote lile. Kipengele
>>>>>> hiki
>>>>>> >> > cha
>>>>>> >> > kanuni hii huwa kinatumika bungeni kwa ajili ya kumkosoa Mbunge
>>>>>> >> > aliyesema
>>>>>> >> > uongo ili kuweka kumbukumbu sawia. Kwa kuwa hakuna aliyekuwa
>>>>>> amesema
>>>>>> >> lolote
>>>>>> >> > lile, maana yake hakukuwa na taarifa za uongo zilizosemwa
>>>>>> >> > bungeni
>>>>>> na
>>>>>> >> > yeyote, hivyo kipengele hiki hakikuwa na nafasi. Hivyo kanuni
>>>>>> >> > hii
>>>>>> pia
>>>>>> >> > isingeweza kutumika kumpa ulazima wa yeye kupewa fursa ya kusema
>>>>>> >> > bungeni
>>>>>> >> > kwa wakati ule.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kanuni nyingine ambayo ingeweza kumpa nafasi ya kuzungumza
>>>>>> >> > ilipaswa
>>>>>> >> > kuwa
>>>>>> >> > ile ya 'taarifa'; hii ni kanuni ya 68 (8.) ambayo inasema: 'vile
>>>>>> vile
>>>>>> >> > Mbunge yeyote anaweza kusimama mahali pake na kusema *"taarifa"*
>>>>>> na kwa
>>>>>> >> > ruhusa ya Spika, atatoa taarifa au ufafanuzi kwa Mbunge
>>>>>> anayesema….'
>>>>>> >> Jambo
>>>>>> >> > la kwanza Mhe. Mbowe (KUB) hakusema neno hili, kwa mujibu wa
>>>>>> taarifa
>>>>>> >> rasmi
>>>>>> >> > za bunge (hansard) na la pili hakukuwa na mbunge mwingine
>>>>>> >> > aliyekuwa
>>>>>> >> akisema
>>>>>> >> > wakati ule hivyo hakukuwa na mtu yeyote ambaye alihitaji taarifa
>>>>>> >> > ya
>>>>>> >> > Mhe.
>>>>>> >> > Mbowe.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kilichokuwepo bungeni kwa wakati ule ni kuwa, bunge lilikuwa
>>>>>> limemaliza
>>>>>> >> tu
>>>>>> >> > kuifanyia kazi na hatimaye kuifanyia uamuzi hoja ya Mhe. John
>>>>>> Mnyika
>>>>>> >> (Mb.)
>>>>>> >> > iliyotaka kura zihesabiwe na ikapita na hivyo kura zilihesabiwa.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Nimeitazama kanuni ya 68 (7.) labda kama ilitumika, lakini wapi!
>>>>>> Kanuni
>>>>>> >> hii
>>>>>> >> > inasema: 'hali kadhalika, Mbunge  anaweza kusimama wakati wowote
>>>>>> ambapo
>>>>>> >> > hakuna Mbunge mwingine anayesema na kuomba *"mwongozo wa Spika"
>>>>>> >> > *
>>>>>> >> > kuhusu
>>>>>> >> > jambo ambalo limetokea bungeni mapema, ili Spika atoe ufafanuzi
>>>>>> kama
>>>>>> >> jambo
>>>>>> >> > hilo linaruhusiwa au haliruhusiwi kwa mujibu wa kanuni na
>>>>>> >> > taratibu
>>>>>> za
>>>>>> >> Bunge
>>>>>> >> > na majibu ya Spika yatatolewa papo hapo au baadaye, kadri
>>>>>> atakavyoona
>>>>>> >> > inafaa.'  Kwa bahati mbaya sana Mhe. Mbowe (KUB) pia hakutumia
>>>>>> kanuni
>>>>>> >> hii,
>>>>>> >> > kwa kutotamka maneno haya kama ambavyo taarifa rasmi za
>>>>>> >> > majadiliano
>>>>>> >> bungeni
>>>>>> >> > (hansard) za siku hiyo zinavyosema.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kumpa nafasi ya kusema Mhe. Mbowe ingekuwa ni sawa na kudharau
>>>>>> Bunge
>>>>>> >> > zima
>>>>>> >> > ambalo lilikwishafanya maamuzi kwa njia ya kura kuhusiana na
>>>>>> >> > hoja
>>>>>> ya
>>>>>> >> kutaka
>>>>>> >> > uamuzi wa kukataa hoja ya Mhe. Mnyika ufanywe kwa njia ya kura.
>>>>>> Wakati
>>>>>> >> > naandika hapa nimefanya utafiti wa kutosha kwa upeo wa macho
>>>>>> >> > yangu
>>>>>> na
>>>>>> >> uwezo
>>>>>> >> > wangu na nimejiridhisha kabisa, bila shaka yoyote ile kuwa,
>>>>>> hakukuwa na
>>>>>> >> > nafasi yoyote ile ya kikanuni ya kutoa fursa ya Mbunge yeyote
>>>>>> >> > yule
>>>>>> >> > kulijadili jambo ambalo lilikwishafanyiwa uamuzi na bunge zima.
>>>>>> >> > Na
>>>>>> kama
>>>>>> >> > Mhe. Mbowe (KUB) alikuwa anataka kuleta mezani hoja mpya
>>>>>> >> > hakukuwa
>>>>>> na
>>>>>> >> sababu
>>>>>> >> > ya kuwa na wasiwasi maana tayari Mhe. Ndugai (NS)
>>>>>> >> > alikwishaingiza
>>>>>> >> > kwenye
>>>>>> >> > kumbukumbu kuwa alikwishamuona, na kwa mujibu wa kanuni za bunge
>>>>>> >> > angempa
>>>>>> >> > nafasi ya kusema baadaye. Katika hali ya kawaida, Mhe. Mbowe
>>>>>> >> > (KUB)
>>>>>> >> alipaswa
>>>>>> >> > kukaa chini na kusubiri ni wakati gani angeitwa apewe fursa yake
>>>>>> >> > ya
>>>>>> >> kusema.
>>>>>> >> > Hakuna kumbukumbu yoyote ile inayosema kwamba Mhe. Mbowe (KUB)
>>>>>> alikuwa
>>>>>> >> > na
>>>>>> >> > hoja ya dharura na hata baada ya bunge hatujashuhudia jambo
>>>>>> >> > lolote
>>>>>> lile
>>>>>> >> la
>>>>>> >> > dharura lililotokea.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kanuni ya 5 ya bunge inampa Spika mamlaka ya kuwa na maamuzi ya
>>>>>> mwisho
>>>>>> >> > kwenye jambo lolote kwenye mijadala ya Bungeni, na hii ni kwa
>>>>>> mujibu wa
>>>>>> >> > ibara ya 84 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pia
>>>>>> kanuni
>>>>>> >> > hiyo
>>>>>> >> > hiyo ya 5, ile fasili ya (4) mpaka ya (6), inatoa fursa kwa
>>>>>> >> > Mbunge
>>>>>> >> > yeyote
>>>>>> >> > ambaye hakuridhika na uamuzi wa kiti (NS kwa niaba ya Spika)
>>>>>> >> > kukata
>>>>>> >> > rufaa
>>>>>> >> > dhidi ya uamuzi huo. Hivyo, badala ya Mhe. Mbowe (KUB)
>>>>>> >> > kulazimika
>>>>>> >> > kung'ang'aniza kiti kimpe nafasi ya kusema bungeni angeweza
>>>>>> >> > kukaa
>>>>>> >> > akasubiria kufuata utaratibu wa kukata rufaa unaowekwa na kanuni
>>>>>> hii.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kwa heshima ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni na kwa kuzingatia
>>>>>> ukweli
>>>>>> >> kwamba
>>>>>> >> > katika mfumo wa demokrasia yoyote ile iliyokomaa, sauti ya
>>>>>> wachache ni
>>>>>> >> > lazima ipewe fursa ya kusikika zaidi kuliko hata ya wengi.
>>>>>> >> > Pengine
>>>>>> ni
>>>>>> >> dhana
>>>>>> >> > hii iliyopelekea Spika kuamua kumpa haki ya kwanza ya kusema
>>>>>> Kiongozi
>>>>>> >> > wa
>>>>>> >> > Upinzani Bungeni kila mara anapokuwa ameonesha nia ya kufanya
>>>>>> >> > hivyo
>>>>>> >> kwenye
>>>>>> >> > hoja yoyote ile bungeni. Pia pengine ndiyo maana KUB amekuwa
>>>>>> akipewa
>>>>>> >> > kipaumbele cha kuuliza swali la kwanza kwenye kipindi cha
>>>>>> >> > maswali
>>>>>> ya
>>>>>> >> > papo
>>>>>> >> > kwa papo kwa Waziri Mkuu. Pengine. Lakini kwa mujibu wa kanuni
>>>>>> >> > za
>>>>>> Bunge
>>>>>> >> > zinazotumika sasa, sijaona mahali popote pale kwenye kanuni hizi
>>>>>> ambapo
>>>>>> >> KUB
>>>>>> >> > anapaswa kupewa nafasi ya upendeleo kwenye kusema bungeni.
>>>>>> >> > Sijaona.
>>>>>> >> Napata
>>>>>> >> > hisia kwamba pengine KUB alitaka kujifananisha na KUB wa Bunge
>>>>>> >> > la
>>>>>> >> > Uingereza, ambaye ana mamlaka tofauti na KUB wa bunge letu.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Rai yangu kwa watanzania wenzangu wote ni kuwa, tuepuke tabia ya
>>>>>> >> > kupuuza
>>>>>> >> > ukweli na kuatamia uongo. Ama kushabikia uongo. Kufanya hivyo ni
>>>>>> >> > kuchukua
>>>>>> >> > hatua za haraka kuelekea kuondoa mtangamano wa kitaifa na
>>>>>> >> > kuvuruga
>>>>>> >> > amani,
>>>>>> >> > upendo na mshikamano wetu. Watanzania tuwe makini tuepuke
>>>>>> >> > vitendo
>>>>>> vyote
>>>>>> >> > vinavyotishia kulegalega kwa tunu hizi. Tusikubali kuacha
>>>>>> >> > mbachao
>>>>>> kwa
>>>>>> >> msala
>>>>>> >> > upitao. Tutakuja kujuta tukiendelea kuushadadia uongo na
>>>>>> >> > kufurahia
>>>>>> >> matunda
>>>>>> >> > ya zao la uongo la muda mfupi , kisha siku kweli ikidhihiri
>>>>>> tutaambulia
>>>>>> >> > aibu na majuto na masikitiko ya milele.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> >  Ukweli una hii tabia nyingine ambayo mimi naihusudu sana; hii
>>>>>> >> > ni
>>>>>> ile
>>>>>> >> tabia
>>>>>> >> > ya kuwa ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa. Ukweli unapenda usemwe
>>>>>> >> > na
>>>>>> >> > utatoa
>>>>>> >> > faida yake, na ukipuuzwa tu siku moja utadhihiri na itakuwa
>>>>>> >> > tumechelewa.
>>>>>> >> > Huu ni ushauri wangu wa wazi kwa watanzania wenzangu wote kuwa
>>>>>> tudumu
>>>>>> >> > kwenye ukweli bila kutazama itikadi zetu na tusiupuuze ukweli
>>>>>> >> > kwa
>>>>>> >> kuchelea
>>>>>> >> > aibu ya muda tukajinyima faida ya kudumu itokanayo na kweli.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Yeyote atakayeamua kufuatilia kanuni zetu za bunge na akasoma
>>>>>> >> > kumbukumbu
>>>>>> >> za
>>>>>> >> > taarifa rasmi za majadiliano ya bunge, naamini, atakubaliana na
>>>>>> mimi
>>>>>> >> > kuwa
>>>>>> >> > hakuna uonevu uliokuwepo, wala hakuna mabavu yaliyotumika katika
>>>>>> >> > kumnyima
>>>>>> >> > nafasi ya kusema bungeni Mhe. Mbowe (KUB). Tunatofautiana hisia
>>>>>> lakini
>>>>>> >> > ukweli kwa faida ya ukweli utabaki pale pale.
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB ni Mbunge wa Jimbo la Nzega na pia
>>>>>> >> > ni
>>>>>> >> > Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na
>>>>>> Serikali
>>>>>> >> > za
>>>>>> >> > Mitaa (TAMISEMI). Ni mhitimu wa Digrii ya Udaktari wa Tiba za
>>>>>> Binadamu,
>>>>>> >> > Shahada za uzamili kwenye Afya ya Jamii (MPH) na kwenye
>>>>>> >> > Usimamizi
>>>>>> wa
>>>>>> >> > Biashara (MBA). Kwa sasa anaandika tasnifu yake ya digrii ya
>>>>>> >> Uzamivu(PH.D.)
>>>>>> >> > kwenye Afya ya jamii (mifumo ya usawa na uchumi wa afya).
>>>>>> >> >
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > --
>>>>>> >> > "Vision is the ability to see the invisible!"
>>>>>> >> > Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>>>>>> >> > P.O.Box 22499,
>>>>>> >> > Dar es salaam.
>>>>>> >> > Tanzania.
>>>>>> >> > Phone No: +255 754 636963
>>>>>> >> >                +255 782 636963
>>>>>> >> > website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
>>>>>> >> > Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or
>>>>>> >> info@hamisikigwangalla.com
>>>>>> >> > Skype ID: hkigwangalla
>>>>>> >> > Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > --
>>>>>> >> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>>>>>> kudhibitisha
>>>>>> >> > ukishatuma
>>>>>> >> >
>>>>>> >> > Disclaimer:
>>>>>> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>>>> any
>>>>>> >> legal
>>>>>> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> >> > facts
>>>>>> >> > must
>>>>>> >> be
>>>>>> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>> >> > you
>>>>>> >> agree to
>>>>>> >> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>> >> > ---
>>>>>> >> > You received this message because you are subscribed to the
>>>>>> >> > Google
>>>>>> >> > Groups
>>>>>> >> > "Wanabidii" group.
>>>>>> >> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>>>> >> > it,
>>>>>> send
>>>>>> >> > an
>>>>>> >> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> >> > For more options, visit
>>>>>> >> > https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>> >> >
>>>>>> >>
>>>>>> >> --
>>>>>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> >>
>>>>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>>>>>> kudhibitisha
>>>>>> >> ukishatuma
>>>>>> >>
>>>>>> >> Disclaimer:
>>>>>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>>>> >> any
>>>>>> >> legal
>>>>>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> >> facts
>>>>>> must
>>>>>> >> be
>>>>>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>> >> you
>>>>>> agree
>>>>>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> >> Guidelines.
>>>>>> >> ---
>>>>>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> >> "Wanabidii" group.
>>>>>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send an
>>>>>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>> >>
>>>>>> >> --
>>>>>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> >>
>>>>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>>> >> kudhibitisha
>>>>>> >> ukishatuma
>>>>>> >>
>>>>>> >> Disclaimer:
>>>>>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>>>> >> any
>>>>>> >> legal
>>>>>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> >> facts
>>>>>> must
>>>>>> >> be
>>>>>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>> >> you
>>>>>> agree
>>>>>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> >> Guidelines.
>>>>>> >> ---
>>>>>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> >> "Wanabidii" group.
>>>>>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send an
>>>>>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>> >>
>>>>>> >
>>>>>> > --
>>>>>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> >
>>>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>>>>>> > kudhibitisha
>>>>>> > ukishatuma
>>>>>> >
>>>>>> > Disclaimer:
>>>>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>>>> > any
>>>>>> legal
>>>>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must be
>>>>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree to
>>>>>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>> > ---
>>>>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> > "Wanabidii" group.
>>>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send an
>>>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>> >
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts
>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>>>> that
>>>>>> you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send
>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>  --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>>> that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> "Vision is the ability to see the invisible!"
>>>> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>>>> P.O.Box 22499,
>>>> Dar es salaam.
>>>> Tanzania.
>>>> Phone No: +255 754 636963
>>>>                 +255 782 636963
>>>> website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
>>>> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or
>>>> info@hamisikigwangalla.com
>>>> Skype ID: hkigwangalla
>>>> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>>>
>>>>  --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>  --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> "Vision is the ability to see the invisible!"
>> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>> P.O.Box 22499,
>> Dar es salaam.
>> Tanzania.
>> Phone No: +255 754 636963
>>                 +255 782 636963
>> website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
>> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or
>> info@hamisikigwangalla.com
>> Skype ID: hkigwangalla
>> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment