Humu kuna vitu viwili kikubwa na kidogo.
Kidogo ni kosa la Mbowe. Kwa maelezo haya haihitaji kuuma meno kumkosoa KUB. Alikosea taratibu za bungeni. Habari za kuburuzwa kumtoa bungeni lilikuwa ni kosa la kibinadamu ambalo NS alipaswa kufiriria mara mbili kabla ya kutumia kanuni kuleta taflani tuliyoiona.
lakini la pili lililokuwa zaidi ni Mswada wenyewe. Wabunge wote waliojadili baada ya wapinzani kutoka bungeni hawakujadili mswada bali waliotoka. Hili ndilo la msingi kuliko kanuni. Hizi zinaweza kubadilika kila bunge linapoanza. Lakini mswada wa katiba uliopitishwa ndilo swala tunalostahili kuliangalia na kuliokoa taifa.
Wakati ule Zitto alipotolewa bungeni alikuwa amekosea kweli. Wala Speaker hakumuonea. Lakini umma ulikuwa nyuma yake kwa sababu ya alichokuwa akitetea. Hata sasa watu fulani wako upande wa upinzani si kwa kuwa KUB alionewa ila hoja yao ni ya msingi na haiwezi kufunikwa na makala hii.
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, October 2, 2013 10:34 AM
Subject: Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, October 2, 2013 10:34 AM
Subject: Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!
Dr. HK Unajua si kila mtu kwa hali ilivyo anaweza kusema kitu akaeleweka kwa watu jinsi wanavyochochewa na kujenga hofu kwa watu bila hata woga au aibu. Sisi tulioko mikoani tunashangaa watu wana naadharia tofauti kabisa na motion hii uliyofafanua na kwamba sasa wanaamini kuwa KUB kaonewa. Mtu kama wewe ukisema unakubalika siyo kama wasio na majina. Msikae kimya nchi hii brother ikiwaka moto hata nyie mtaungua pia. Kuna.watu wana mtizamo safi lakini kama kawaida kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ambao kwa mtizamo wangu ndio.wengi. Wamefaulu kuvuruga akili za vijana wetu kwa maslahi yao binafsi. Siku wakipata nchi watawaaacha solemba wakilamba midomo na.kilalamika afadhali ya jana na.watakuwa wamechelewa. Jitahidini.sana kuweka sawa.hya.mambo.kabla.hayajingia katika hatua ambayo hayawezi kurekebishika bro. Uwe na.siku njema. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>; To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika! Sent: Wed, Oct 2, 2013 7:08:38 AM
Ezekiel, Ni kweli lakini wapo wenye wajibu wa kutoa maelezo hayo sema hawatoi tu. Mimi nimeandika kwa utashi wangu kwa faida ya kuweka sawa kumbukumbu tu.On Wed, Oct 2, 2013 at 9:03 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
0 comments:
Post a Comment