Thursday 3 October 2013

Re: [wanabidii] Kitabu cha mbinu za biashara 1 na 2 kwa email

Nikituma napata nakala 1&2?

On Wednesday, October 2, 2013, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
> Nazi,
> Hongera!
> Nimeandika kitabu ingawa sijakichapa kinaitwa ELEWA MAMBO YA FEDHA UJENGE UTAJIRI. Nilifuatilia kwa wachapaji nikaambiwa kuwa kiasi nitakachopata ni 20% tu ya mauzo ya kitabu hicho. Asilimia 80 ni ya mchapaji. Nikasita. Mpk sasa nina nondo zangu kwenye kompyuta.
>
> Wengi wa watu hawana elimu hiyo na hufanya mambo yao bila kufuata kanuni za biashara. Natumai kitabu chako kinatoa mwanga kwa wale wote wanaofanya biashara pasipo kujua kanuni zake.
>
> On 2 Oct 2013 15:54, "Charles Nazi" <cnazi2002@yahoo.com> wrote:
>
> Napenda kuwaarifu kwamba kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri,sehemu ya pili kinauzwa, unaweza kukipata kwenye email yako kwa mfumo wa PDF. Kama unahitaji unaweza kunitumia Sh. 5,000 kwa M PESA kwenye simu namba 0755394701 kisha kunitumia email yako na mimi nitakutumia email iliyoambatanishwa na kitabu.
>
> Kitabu hiki ni sehemu ya pili ya kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri ambacho kina na lengo la kukusaidia wewe ili uweze kupata maarifa endelevu, ujuzi, elimu ya biashara na mbinu za kudunduliza fedha ili kufanikisha safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta utajiri. Kama hujasoma kitabu cha kwanza (Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri) nakushauri ukitafute ukinunue na ukisome. Tofauti ya kitabu cha kwanza na cha pili ni kwamba kitabu cha kwanza kinakupa mbinu za uendeshaji wa biashara na maarifa ya kupata pesa kwa hatua za mwanzo lakini cha pili kina mbinu za biashara za hali ya juu pamoja na mawazo ya ziada ambayo yanaweza kukusaidia kupata pesa zaidi na jinsi ya kuwekeza pesa zako ili ziweze kuongezeka zaidi.
>
> Kitabu hiki kinawafaa watu wote wanaotafuta kujiongezea mapato na utajiri kwa njia mbalimbali halali kwa kufanya biashara, kuanzia wafanya biashara ndogo ndogo hata wafanyabiashara wakubwa. Hakiishii kwa wafanyabiashara tu, bali kinamfaa mtu yeyote anayetaka kuwa tajiri kwa kuwa atajifunza mbinu mbalimbali za kujipatia, kunyumbua mapato yake na kuwa tajiri kwa njia halali.
>
> CHARLES NAZI
> Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya pili.
>
> Tembelea tovuti yangu na ujiunge kupata taarifa mbali mbali zinazohusu mambo ya ujasiriamali. Kujiunga bofya hapa; http://mshauriwabiashara.weebly.com
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For mor

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment