Saturday 5 October 2013

Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL

Kiwasila
hapo sina cha kuongezea wala kukosoa tupo pamoja

On 10/5/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
>
> KINAKERA TUNAPOTETEA UJINGA.NDIO MAANA WENGINE TUNACHANGIA KWA JAZBA!!
> TUNAPITA MITAANI, VIJIJINI KINACHANGANYA UNAYOYAONA NA JINSI TUNAVYOLALAMIKA
> DAIMA BILA YA KUJIKANYA WENYEWE-HATUJIONI MATENDO YETU.
>
>
> Na sasa mabadiliko ya hali ya hewa ndio haya, nchi za eastern block baadhi
> wanazama nasi coastal zone TZ tujiandae. Tuendelee kujaza takataka mitaroni
> tunaogelea kinyesi wote. watu wa DSM waende Manzese Uwanjawafisi, Manzese
> kwa Jongo, Buguruni Mnyamani wakajifunze jinsi PPP katika uzoaji takataka
> inakwendaje na Water User association DSM inafanyaje kazi Mitaani (Nenda
> Manzese kwa Jongo-WUA).
>
> Ukitaka kuona jinsi gani tunaharibu kizazi kwa kemikali na hatujali afya
> zetu-kaone wanaoishi mabondeni jangwani, mabibo na vingunguti oxidation
> ponds. halafu mfuate Archard Mutalemwa DAWASA akupe picha za maeneo hayo za
> 1980s yalivyokuwa ulinganishe na uvamisi wa sasa. Wamebomoa fence, wamejenga
> nyumba, wamezunguka bwawa za maji ya kinyesi yanayozalisha mtu wa matende na
> mabusha. Wanalewa hapo kucha. Nenda machimboni  Lake zone e.g. Geita-Mugusu,
> Nyangarata etc ukaone jinsi unavyokunywa mercury ktk maji yako yanayoingia
> water system na lake victoria. Na hivyo machimbo ya milima ya madini ya
> dhahabu uluguru na maeneo ya vyanzo vya mito yatakavyomaliza watu kama
> hatutochukua hatua maana wanatumia kemikali kwa ajili ya amalgamation of
> gold na wala hawatumii protective gear na wao. Kuzaa watoto wa maumbile ya
> ajabu ndio matokea na magonjwa na nerves kuongezeka. Na kama ingekuwa
> maamuzi yangu, wale wanaojichubua kwa vipodozi vya kemikali ningesema
> wakamatwe
> kwa kutokuzingatian misingi ya afya na kuongeza taifa la vilema.Unapoweka
> garage na saluni upate fedha na ndani watoto wanavuta hewa-fumes za
> chemikali, tina inayotumika katika mbao/magari-unaongeza kifafa na maradhi
> ya kupumua. kisha hutaki kulipia CHF card ila unamaliza hela kwa waganga.
>
> Tukubali kubadilika tuache usugu wa mtazamo finyu, kutetea upuuzi kisiasa
> badala ya kisayansi kulingana na sekta husika. Bila ya kuzingatia afya na
> mazingira, kujituma pale tulipo-hakuna soko la ajira na ajira kudondoka kama
> mvua. Tutabaki kung'ang'ana na popular politics na politicking na kuingia
> vitani. Leo tumelipata la Katiba, kesho la magazeti, keshokutwa la kuhamisha
> watu mabondeni (Msihame serikali ndio haiwajibiki haina miundombinu na
> takataak tunajaza wenyewe!); mara msiwahamishe barabarani hata kama masoko
> yapo na mteja atakuja huko. Nyumbani mtoto akipewa ujauzito au kubakwa
> tunatetea mbakaji na kuficha siri; kaiba kafanya uharamia-anawekewa dhabana;
> wanahamia misitu na mbuga hifadhi-wana mitutu hawaondolewi na hawaondoki
> mpaka utumie JWTZ. Hii ya kuruhusu mtu aende atakako bora asivunje sheria
> bora sasa ibadilike. Katiba iseme kaa kwako ktk ardhi yako uitumie
> kiendelevu maana uhuru wa kutembea kokote kule tunaunajisi. Usipolinda group
> or
> private customary land yako marufuku kuhamia kwingine ukaharibu na kila mtu
> sasa au grups wapewe customary titles zao. Ili pale ulipo ulinde mazingira
> ukose kuhamia ktk customary land ya mwingine yenye hati miliki au protected
> areas. Uzembe wa kuruhusu kuhamahama ndio unaingiza wageni na kuongeza
> uharibifu wa mazingira, kuhamia mabondeni na maeneo oevu yatakayo kulindwa
> kwa faida ya wote. Lazima tutumie ardhi kiendelevu kinyume chake
> utachukuliwa hatua.
>
>
> Mwenye kutaka leseni ya mbao na kuchoma mkaa-awe na misitu yake ya kupanda
> ya miti ya kisasa na ya kienyeji. Iwe mafuruku mijibaba na mijibama yenye
> nguvu kushindwa kuta kabeba mzigo anazurura kilomita kumi plus anatembeza
> mtumba, vidoli.
>
>
> Estate za government za mamlaka ya minazi, pamba, katani, kahawa etc zipo
> idle-yafunguliwe mashamba ya mazao ya kila aina, kujengwe nyumba za makazi
> na NHC/NHF huko, peleka trekta na power tiller, tumia utaalamu wa Sokoine
> university, Tengeru Livestock Institute, Veta, vituo vya kilimo, mifuko
> kuzalisha mazao vijana watalipwa mishahara kutokana na hayo. Viwanda vya
> Bakhresa vitapata maembe ya miaka 3 huko, zabibu, ndizi etc na mali ghafi
> kutumika kufufua viwanda. wachina wanatafuta pa kuwekeza, wapendi viwanda
> wavifufue ktk ubia na wazawa akina Bakhresa, Mengi, abood, sabodo etc.
> Wasomi watasaidia management.
>
>
> Tunaweza yote hata sio kuweka utaranta kutwa wa kulalamika. Ujambazi na
> ubakaji utapungua, bangi na madawa ya kulevya pia. Wawekee maduka, zahanati,
> kumbi za starehe jioni kuburudika baada ya kazi na Diamond atakuwa na ratiba
> huko ya kuwatumbuiza. Tunaweza kujiajiri!!
>
> Tuone wenzetu wanavyopigana makwao, kisha kuhama na kufa baharini nchi za
> kigeni. Wanaanzisha vita vya kidini haviishi, kisha wanahamia nchi ambazo
> zina dini hiyo hiyo ambako walikotoka wanachoma mahekalu yake. Wanakata
> tamaa makwao vita kwao haviishi au hawaruhusiwi kufanya kazi (women),
> mawakala wanawajaza na kuwaibia hela na kuwakimbia/kuwatosa au kuwafanya
> wafie katika makonteina au baharini. Sisi hatuhamii misitu ya Ruanda kufuga
> na kujenga; ila tunawaficha misituni kwetu na kuwapa makazi, kuwasaidia
> kufanya ujambazi nchini kwetu eti kuganga njaa. Na sasa mitandao ya M-Pesa,
> Tigo Pesa inayosaidia wengi tumeanza kuitumia kiujambazi kuharibu mfumo
> unaompunguzia mtu foleni ya bank. Mtanzania, Tunza chako kidumu usiwe Mtumwa
> wa wengine ambao wanakudharau kwa kuwabeba kinyume cha sheria. Umeifanyia
> nini familia yako, jamii yako, nchi au jimbo lako, familia yako, mazingira
> yako mpaka uanze kulaumu wengine daima? Wewe jukumu lako ni nini-lawama tu?
>
>
> ________________________________
> From: "Msuya, Yusuph (Bulyanhulu)" <YMsuya@africanbarrickgold.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, 4 October 2013, 7:30
> Subject: RE: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL
>
>
> Wadau sina neon la kuandika hapa,big up sana hili ni somo la kujifunza
>
> -----Original Message-----
> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
> Behalf Of Hildegarda Kiwasila
> Sent: Friday, October 04, 2013 7:16 AM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL
>
>
> Ahsante Mwesiga, watu kama wewe tunawahitaji bongoland. Muono chanya ni
> muhimu kwetu. Hata mwenyewe bongoland utaona, unasubiri huduma secretary
> anaongea na simu anawaweka foleni. Pamoja kuwa imekatazwa lakini ndio hivyo.
> kunaajiriwa makampuni ya kufagia-usafi lakini majengo harufu mbaya-machafu.
> Wafagizi wamelala ktk majani, wamekaa ktk ngazi wanakula stori. Kampuni hiyo
> ya usafi under PPP (public, private, partnership) lakini private companies
> nazo ni inefficient rushwa tipu.
>
> Mtoto wa Kitanzania akipata mkopo wa masomo-utamuona mwenge, manzese, Ilala
> mitumbani kutwa ananunua vivalo vya bei ghali sana badala ya kujenga kwao.
> Kisha-gari la kisasa aonekane hata kama hatomudu kulihudumia ipasavyo muda
> tu litamfirisi. Anatoka bwenini hadi darasani-kwa gari na  ni mwendo wa
> kutembea. Likizo harudi kijijini kwao kusaidia wazee shughuli za
> shamba-analipia chumba cha bweni au kukaa na rafiki. Ulaya-mtu msomi shuleni
> anatafuta hela anafagia barabara au yupo hotelini au ktk kampuni fulani
> anajitolea anapata kaposho kidogo. Bweni moja mwenzenu ni mfagizi wa Bweni
> au mgawa chakula cafeteria. Hapa msomi hawezi kufanya hayo. hata akipangiwa
> Kata kijijini-hakai Katani anakaa mjini na kata hawamuoni-hana nauli au
> pikipiki. Nyumba nzuri za kupangisha kijijini sipo ila-hakuna umeme hawezi
> kukaa. Na ndio hivyo hata kwao likizo haendi-hakuna umeme.Ukisha kusoma-hata
> vyombo mezani huondoi na shamba huendi. sio wote tunaojituma na kujihoji
> ipasavyo. hata ndani ya familia-uzembe mwingi ukiwahimiza-utakuwa adui wao.
> na ndio maana machafuko afrika na mapigano hayaishi kutokana na ufinyu wetu
> wa kufikiri na kuona mbali na kupanga ya maendeleo na kuyafanya ila vita,
> ufisadi kutokana na ubinafsi ambao sasa tun auona ktk katiba jinsi mjadala
> unavyokwenda kutufikisha pabaya.
>
> Mtu anakuja na vyeti vingi vya kujua kompyuta etc. anapewa komputer wakati
> wa interview-hawezi hata kuifungua, aende kwenye program unayomuagiza afanye
> unachomuambia. Hakujipa mazoezi.
> Tukipata ajira-tunaangalia kupaa kifedha mara moja-wizi si waaminifu;
> utoro-kila siku kuomba ruhusa hii na ile. Kuna sherehe kibao siku hizi
> zinazotuweka busy kuliko kazi. Huko kigoma-wanalalamikia Warundi kuondoka
> kwani walikuwa wafanyakazi hasa. Sisi kujituma ni tabu sana tunapenda
> vishuke kama mvua na tunatetea uzembe na ujinga sasa. Siasa tumeweka mbele.
> Unaona haya ya mifugo kuvamia vyanzo vya maji na wakulima kulima vyanzoni
> pia; Maji DSM hakuna mto Ruvu umekauka.Wamepanda mpaka Mgeta, Mvua, Ruvu juu
> milima na Uluguru mifugo imejaa-wasiondolewe waacheni wanaganga njaa. Waache
> wazagae waende watakako, wakate miti, mbao, wachome mkaa na kuharibu ardhi
> inakuwa degraded. Sio tushabikie kilimo na ufugaji endelevu tukubali
> kufundishika na maelekezo-wala. Siasa tu.
>
> Hata tukipewa ufahamu wa kulinda afya zetu na mazingira-wagumu kuzingatia.
> Mfano Garage zikihamishiwa nje ya mji au mbali na makazi-hatutaki.
> Zinapokuwa jirani na makazi rangi, vumbi la chuma, hewa na gas inaharibu
> afya za watoto na zetu watu wazima-NIL respect and respose. Mpambano
> wakiondolewa.
>
> PPP inakutaka uchangie uzoaji taka shs 500 kwa wiki-NO, unatupa mtaroni
> usiku. Mataka yanaziba na kufanya maji kufurika mwaka hadi mwaka na kupoteza
> mali na watu-tunaendelea kutupa mitaroni hata mitaro iwe mikubwa kiasi gani
> maji hayatopita. Ondokeni mabondeni-No way. ukipewa kiwanja Kipawa,
> mabwepande na maeneo mengine unakiuza unaendelea kukaa bondeni na kuilaumu
> serikali haikuondolei mataka unayotupa mtaroni. Ramani ya Dar Master plan
> 1979 imeonyesha maeneo hatarishi wasikae watu. Na hata National Housing
> Houses zilizojengwa 1970s hazikufika maeneo hayo ahtarishi iliyaacha-wao
> ndio wanajua sayansi ya mazingira zaidi- Ubishi hadi leo wanajenga tu,
> majengo ya gharama na wengine kujenga mpaka juu ya mabomba ya maji.
> Wanajitia hasara ya maisha kuvunjiwa au mvua kuwaharibia-DEAF Ear and Blind
> Eyes-watarudi mvua ikiisha. Wanasiasa ndio wanapatia hapo KURA.
>
> Mwekezaji atakuja akupe ajira huna uzoefu na kukutaka kuupata kwa kujifunza
> mwenyewe baada ya shule kwa kujiunga na kujitolea ktk kazi hiyo husika? Hata
> fursa zilizopo hatutumii hata uwe hukusoma. Inaudhi unapokwenda kijijini
> asubuhi wanacheza michezo na wengine tayari wamelewa na kwa kulewa hafanyi
> kilimo vizuri na anatumia hela nyingi sana kwa upuuzi.
>
> Utamuona shamba boy wako unavyomuwekea mazingira ya kujitegemea-unamwambia
> hapo shamba alime mbogamboga na nyanya auze, afuge kuku, unampa mbegu za
> bustani, unamjengea kusima na tangi la kukusanya maji ya mvua-wachache sana.
> Kutwa analewa au yupo barazani. Hata mvua ikinyesha hatoki kukinga tangi la
> chini lijae.Mbegu ulizonunua kwa gharaam za mchicha, nyanya, hoto etc
> utakuta zimeliwa na panya. Ila anataka akiwa na shida leo, kesho umpe hela.
> Hajitumia na shamba kuna kila kitu. Kama tumelogwa vile.
>
>
> On Thu, 3/10/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, 3 October, 2013, 18:45
>
> Tumesoma mashuleni kwa nguvu
> ili tupate ajira nzuri. Ndo maana hata tulikuwa tunadesa ili
> tusifeli mitihani. Matokeo msomi wa kitanzania hawezi kuwa
> chanzo cha ajira kutokana na ufahamu na utaalam aliopata
> baada ya kwenda shule badala yake analia hana ajira.
>
> Sekta ya utalii nasikia inakua kwa kiasi gani
> huwezi chukua takwimu zilizopo ukaziamini kwasababu haziko
> katika uhalisia. Unaangalia ubabaishaji mkubwa unaotokana na
> watu kukosa ubunifu na kutotengenezewa mazingira ya
> ushindani katika kila nyanja.
>
> Mtoto wa kitanzania ni muda wa kuamka na
> kuchangamkia fursa zilizopo. Angalieni habari na ripoti za
> uchumi na uwekezaji uangalie mabilioni ya pesa wageni
> wanawekeza afrika halafu waafrika tunalalamika hatuna ajira.
> Kuna wajuaji hapa watata kutuaminisha kuwa haya makampuni
> hayataki kuajili locals upuuzi wa aina gani huo?
>
> Hatufanyi uchunguzi wa kutosha kupata sababu
> zinazosababisha kutoajiri wazawa na kuleta watu toka nje
> japo hawana qualifications kulioko tulizo nazo. Kwa haraka
> haraka hata hulka yetu ya uongo na uzembe vinachangia sana.
> Uvivu wetu wa kutotaka kujifunza nalo ni tatizo kubwa.
>
> Wawekezaji wanakuja hatujajiandaa hata
> kuwahudumia hatujui. Sasa tujalibu kuanzisha vyanzo kazi na
> baada ya muda hata tukiambiwa tuombe kazi tuonyeshe uzoefu
> haitakuwa shida
>
>
> 2013/10/3 fadhil
> fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
>
>  Heri yangu niliyekimbilia shambani mapema
>
>
>
> On 10/3/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
> wrote:
>
>> Mzuri
>
>>
>
>> Kila kazi inahitaji mahitaji yake hata huko ulimwenguni
> siyo kila kazi
>
>> inamfaa mtu ambaye hana uzoefu. ILO wenyewe wakitangaza
> kazi huwa
>
>> tunaona wanachotaka.
>
>>
>
>>
>
>> 2013/10/2 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>
>>>
>
>>> TANAPA LEO HII INATANGAZA KAZI, KWANZA WANAHITAJI
> WATU WENYE UWEZO MKUBWA
>
>>> WA ELIMU (MASTERS), HAIJAISHIA HAPO WANAHITAJI MTU
> HUYO ANAYEOMBA KAZI AWE
>
>>> NA UJUZI NA UZOEFU WA MIAKA ISIYOPUNGUA SABA (7)
> AKIWA KAZINI KWENYE FANI
>
>>> HIYO NA PIA AWE ALIKUWA KIONGOZI WA ENEO
> ALILOTOKA.
>
>>>
>
>>> HII NI TAASISI KUBWA YA SEREKALI NA ILIPASWA KUWA
> NDIYO KIMBILIO LA AJIRA
>
>>> KWA VIJANA WA KITANZANIA WALIOTOKA VYUONI.
>
>>>
>
>>> WAKATI HUO HUO TAKUKURU (PCCB) NAO WAMETANGAZA
> AJIRA WANAHITAJI VYETI VYA
>
>>> DARASA LA SABA NA HAWAHITAJI PROGRESSIVE REPORTS AU
> TRANSCRIPT PEKEE, BALI
>
>>> VITU HIVYO VIAMBATANE NA VYETI, HAPO WAMEWAWEKA
> WAPI WANACHUO MAELF KWA
>
>>> MAELFU WALIO GRADUATE MWAKA HUU.
>
>>>
>
>>> ANYWAYS, WADAU MNALIONAJE HILI KWA KUTUMIA
> PERSPECTIVE YA WANAVYUO??
>
>>>
>
>>> --
>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>>
>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
>
>>> ukishatuma
>
>>>
>
>>> Disclaimer:
>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
>
>>> consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must
>
>>> be presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you
>
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines.
>
>>> ---
>
>>> You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups
>
>>> "Wanabidii" group.
>
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an
>
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>>
>
>>
>
>>
>
>>
>
>> --
>
>> Bariki G. Mwasaga,
>
>> P.O. Box 3021,
>
>> Dar es Salaam, Tanzania
>
>> +255 754 812 387
>
>>
>
>> --
>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>
>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha
>
>> ukishatuma
>
>>
>
>> Disclaimer:
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
>
>> consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be
>
>> presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree to
>
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>> ---
>
>> You received this message because you are subscribed to
> the Google Groups
>
>> "Wanabidii" group.
>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an
>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment