Friday 25 October 2013

Re: [wanabidii] Historia ya Tanganyika kabla ya miaka ya 1900s

Alois,

Aliyevumbua Mlima kilimanjaro ni yupi? Hata nishaasahau. Sisi kwetu Kenya aliyevumbua Mlima Kenya ni Joseph Ludwig Kraft. Heheheheheheheheheheheeeee !!!!! 

Awali ya hapo, Speke na Grant nao walivumbua chanzo cha Mto Nile huko Uganda.

Very silly. Kana kwamba hakukuwa na yeyote aliyekuwa anaishi Afrika kabla ya kuja kwa Wazungu !!!! Hizo historia bandia zimeondolewa lakini kwenye vitabu vya shule tiyari?

Courage

On Fri, Oct 25, 2013 at 2:37 PM, Alois <fr.komu@yahoo.com> wrote:
Hamkunbuki wale jamaa waliikuja wakaona mlima Kilimanjaro wakasema wamevumbua. Huko ndiko historia umelala.kweli tusaidiwe walau tukumbuke asili ya nchi na tamaduni zetu

Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:

>Asante, ngoja nivisake kwanza.
>
>
>On Fri, Oct 25, 2013 at 1:41 AM, Mwakipesile Augustino <
>eamwakipesile@yahoo.com> wrote:
>
>> Soma vitabu hivi kwa kuanzia;
>>     1. Custodians of the land: Ecology and culture in the history of
>> Tanzania
>>     2. Ecological and economic collapse of east Africa
>>     3. Tanganyika under German rule by John Illife
>>     4. Historical dictionary of Tanzania
>> Ukishindwa kuvipata omba msaada.
>>
>>
>>
>>    On Thursday, October 24, 2013 6:01 PM, Mwema Felix <
>> mwema.felix@gmail.com> wrote:
>>
>>  Wapendwa
>>
>> Ukifuatilia vitabu vya historia za nchi mbali mbali mpaka unaona raha.
>> Utakuta wameandika historia ya nchi yao tangu miaka hiyo (600 AD, 1200,
>> 1300, n.k.)
>>
>> Hapa kwetu sana sana historia tunayofundishwa shuleni ni ya miaka ya 1900s
>> Enzi za kina TipuTipu, Mkwawa, n.k.
>>
>> Kwa wenye kufahamu historia ya taifa letu "Tanganyika", tafadhari tupeni
>> shulejapo kwa kifupi na sisi tupate kufahamu na tuje tuwahadithie watoto
>> zetu.
>>
>> Natanguliza shukrani.
>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment