Thursday 3 October 2013

Re: [wanabidii] HII HATARI , MWANAMUZIKI SHILOLE AKIWA JUKWAANI

Huku ndo tumefika. Tunalipa hela kwenda kuwaona wasanii wetu. TuACHE UNAFIKI TUNAYAPENDA SANA HAYA hakuna shabiki hata mmoja alierusha kiti jukwaani sababu tunayapenda. Nikushukuru bwana Juma kwa kuleta hii kitu pengine watatokea wenye akili ya kutukomboa na janga hili.

Hivi si tunawasomi wanatakiwa simamia mambo haya ya udhibti wa mwenendo wa nidhamu na kulingana na utu wetu ambao ni kielelezo cha utamaduni wetu?

2013/10/3 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>

Shabiki huyu sijui alimruhusu amnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wach

eze wote. Mhhhhh hatari kweli kweli. 
Kazi ipo !!!, Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake huyu mwanaume.
  
jamaa akifaiti ziwa la Shilole
 
Angalau hapa pamekaa vyema kwa uchezaji japo kidogo !!!. Aina hii ndiyo inaanza hivi.  Hii nayo ni aina nyingine pindi anapokuwa anacheza na shabiki, haki ya nani balaa tupu. Huyu ndo Shilole katikati ya mwili wa mwanaume ambaye anadaiwa kuwa ni shabiki wake, hii ni aina nyingine ya uchezaji wa muziki wa Shilole namna unavyochezwa.  
Sijui huu ndiyo muziki gani unaochezwa hivi, sidhani kama mtu atasutwa kufanishwa na kitendo hiki kinachofanywa na watu wenye jinsia mbili tofauti katika faragha.
  
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment