Sunday 27 October 2013

Re: [wanabidii] Girl writes Exams Hours after giving Birth

Magazeti yanatuonyesha madanguro ambako wanafunzi wanakwenda kujiuza mpaka wa vyuo vya juu. wazazi wanafahamu kuwa watoto wao wamekwenda shule. Mtu huwezi kutumikia mabwana wawizi kwa wakati mmoja-usome, uzae na kulea. Inawashinda wa elimu ya juu wataweza watoto wa secondari na shule za msingi?! Tukazane kufundisha maadili na kuwaelimisha ipasavyo kuwa asome, atakayempa mimba leo hamtakii mema. Maadamu amepata ujauzito kama ni kwa mapenzi yake inamaana hakutumia kinga. Hivyo hatuombei mabaya bali ni HIV/AIDS positive mtarajiwa. na siku hizi ukimwi unapatikana sio damu kwa damu ni ute na mate kwa mate kuingia njia mpasuko tayari tunaambukizana. aliyefanikiwa kukudanganya atatafuta mwingine ukiwa na ujauzito na ataendeleza mambo yake wewe ukiwa unachanganyikiwa. uwe na mlezi na pesa za maziwa-huna itabidi uende na mtoto darasani kusoma-utaweza ukiwa std4-7 kama wa chuo kikuu hiyo kwake ni mzigo wewe jee? Ninawashangaa wanaharakati wanaotaka mwanafunzi akipata ujauzito aruhusiwe kuhudhuria shule!!

Imagine-darasa la std 4-7; 9-12 nje kuna wadada na watoto wadogo mama zao wapo darasani au msichana yupo darasani na katoto maana hana hela ya kumwacha nyumbani na maziwa au mlezi. tunajenga taifa gani? taifa la kuwaambia unprotected sex-RUKSA; ukipata ujauzito utaruhusiwa tu kusoma tu changamkia!! Tuantaka kuwafundisha stadi za maisha-ajijue/kujitambua, awe jasiri ajilinde na apambane na wabakaji na wadanganyaji hata kama atachukua kisu akate dudena katika kijetetea-RUKSA anajilinda. Kuliko kusema eti wapate mimba warudi shule-hii itakuwa kinyume na maadili, wanafunzi wataongoza kitaifa kuwa HIV+.; watoto wasiobaba; lishe duni miguu inapepea kama bendera kutokana na lishe duni na wenye mtindio wa akili chakula kamilifu hawapati. nani atawanunulia mahitaji. Tunakwenda wapi. Ila, ubakaji nao udhibitiwe. Jibaka kubaka kasichana, kavulana na katoto-kisha kesi miaka nenda rudi na anaonekana yupo tu na kosa ametenda-haya tuyamalize. hizo NGO za kuhisani maandamano zihisani mashine za DNA angalau kila wilaya kama sio kila Health Centre. Ili kitdhibiti kikipatikana mara moja kinapimwa na mjamaa anakula bakora na kifungo njela pekee la wabakaji mateso makali. watoto wengine sio kama wanashida-tamaa. wa elimu ya juu pamoja na mkopo-anajiuza. Wa shule ya msingi anapewa hela-anapita viduka kula ice cream na kuomba lift. nani alimfundisha tendo kisha akatenda akaficha asiseme-huyo alijua kuwa ni kosa-mbona amefanya na kuficha?

Utafiti wetu wa shule za msingi wanafunzi 540 hivi waliofanya tendo la ngono walitueleza walianza baadhi yao miaka 6 kabla std 1. katika waliofanya tendo la ngono asilimia 99 (90%) walifanya kwa hiyari yao wenyewe. Asilimia 1% ndio walisema walibakwa. Kufanya tendo kwa hiyari kwa in-school na out-of-school youth kuliongoza. kubakwa ni sehemu ndogo sana sana. sehemu kubwa ni kumfurahisha mpenzi alisema atamuacha. sehemu ndogo-utafiti kujua kulikoni?? Hii ya utafiti ilikuwa wale wa miaka ya chini katika michezo yao. Utafiti wa ushoga ambao ni mwingine vijana walionyesha ni ndugu zao ndani ya familia. daima husema-msiwatenge na kuwaonea ambapo waliowatendea ni kaka zao, ndugu 'me' wa karibu; mtu wa karibu wa msaada kwake mlezi au mwajiri, mwalimu. Uzuri tu-hawapati ujauzito. Kubakwa ni sehemu chache na waliobakwa waliendelea kulipiza kwa kubaka wenzao wa kiume na kubaka wasichana. Tukaona kuwa-wabakaji wengi kumbe wao wanahistoria ya kubakwa pia. sio wale wafanyao matendo hayo kwa Imani za Kishirikina-wapo wale wa kutafuta faraja kwa kulipiza kisasi kubaka wengine. Mungu atusamehe sisi tufanyao tafiti za mambo maovu!!

On Sunday, 27 October 2013, 16:39, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Well tatizo watoto wakibeba mimba basi jamii inahukumu bila kujua mazingira yaliyomzunguka. Huyu kama amejifungua na akaomba kurudi kufanya mitihani basi mjue kuna jahili ndo limemplekea matatizo yote la vile hatujui ukweli wa mambo ni rahisi sana kukahukumu.

Maurice ana haki kusema anavyosema kuhusu binti yake. Upendo unasura mbili furaha na huzuni na uhakika mkubwa unatambua hilo. Mie nikupe pongezi tu kma unajiona unatimiza wajibu wako vizuri na si kukatishia kabinti kuwa kakipata mimba hutokanunulia viatu na vinginevyo na kwa kuongeza mwambie shemeji aendelee kumwangalia vyema huyo binti, dunia inahitaji wanawake makini hawatashuka wanatengenezwa

On Sun, Oct 27, 2013 at 8:29 AM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Comrade Maurice;
Akiona busu mate yanajaa mdomoni!! Jiandae tu kama ni mbwa anza kufuga mapema,uzoefu unaonyesha wasichana/wavulana wa aina hiyo wakionja huwa wanakuwa wendawazimu,kama ni mzinga wa nyuki basi anakuwa ameutungua na kukaa nao chini na anakula pamoja na nyuki bila kujali kama wengine wanamuuma na kuchonga mwingine hawezi anaona anachelewa.
Ukiyakosea maisha na kupata muda wa ku-regreat uwezekano wa kufanikiwa huwa mkubwa kama umeamua kwa dhati kurekebisha mapito.
So usishangae huyu binti akaja kufanikiwa sana kielimu au kimaisha.

On Sunday, October 27, 2013 3:25 PM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Felix,

Wangu hivi sasa ni 16 , yuko kidato cha 3 na akiona busu kwenye TV kwake kinyaa. She finds it disgusting.

Lakini ta hivo huyu mwanadada wa Form 4 si nimemuombea kila la kheri kwenye mitihani yake jameni !!!!!    Nilicho omba tu kwamba asihurumiwe sana manaake mwenyewe keshafanya blunder na maisha yake at such a young age.

Courage

On Sun, Oct 27, 2013 at 2:29 AM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Kaka usitukane mamba kabla hujavuka mto. Si unawatoto wa kike? Wakifika umri wa kidato cha 4 utaniambia!

On Sun, Oct 27, 2013 at 11:20 AM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
If she's such a wise and an intelligent person, why didn't she prevent the pregnancy or better yet, avoid the boys? She's not too bright in my opinion

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment