Sunday 27 October 2013

Re: [wanabidii] Girl writes Exams Hours after giving Birth

Felix,

I hear you; I hear you loud and clear. Sometimes these situations have happy endings.

Tumuombee huyu mwanadada kila kheri kwamba nae awe na happy ending some day.

Japo kakosea ndiyo lakini anaonekana anafanya ujasiri na jitihada; atafaulu maishani.

Courage

2013/10/27 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Kaka
 
Kuna binti ninamfahamu, alipokuwa kidato cha 5 alipata ujauzito (alichukuliwa na jibaba). Alipoenda huko maisha yalimpiga. Alikuwa na sura ya ukweli hehehehehe (angeweza hata kukudondosha wewe).
 
Sasa baada ya kutupwa na jamaa yake (2 years later), alirudi kwao (kwa mama yake). Mama yake alimuuliza kama angependa kuendelea na shule. Binti alisema ndiyo. Mama alitunza mjuu binti akasepa shule. Alifaulu kidato cha sita na kusoma digrii ya kwanza (biashara).
 
Sasa hivi anafanya kazi kwenye benki moja wapo kubwa sana DSM. Mama anakula maisha kwenye mwanga bora. Mjukuu sasa anenda shule.
 
Kumbe inawezekana.
 
Kujikwaa siyo kuanguka.
 
Mtu akijikwaa hapashi kuangalia alipodondokea bali alipojikwa.
 
Courage?

On Sun, Oct 27, 2013 at 7:24 PM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Nilicho omba tu kwamba asihurumiwe sana manaake mwenyewe keshafanya blunder na maisha yake at such a young age.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment