Wednesday 9 October 2013

RE: [wanabidii] Dr. Slaa delivers a Stunning Speech. Challenges Americans!

Hildegarda,

Mifano uliotoa ndio hali halisi.  Lakini ni nani ataanza na kubadilisha haya maovu tunayojifanyia wenyewe? Ni mimi na wewe.  Kwa wanabidii wenzangu mimi nina business plan ambayo itaweza kuua soko la shambani la vitunguu na kujenga masoko yaliyo karibu na mlaji kama supa market, big whole sellers na retailers n.k. Baada ya kutoa kitunguu ambacho kinachukua maximum miezi 5 kuuuzwa tunaweka mahindi na tunasaga haya mahindi na tuuze unga na masoko yapo. Yote haya wanafanya wakulima wenyewe na mimi ni mojawapo wa wanavikundi.

Eneo ninalozungumzia lina maji ya mto ambayo yanafurika mwaka mzima na tutatumia kilimo cha umwagiliaji.

Ninahitaji watanzania wenye kujiamini, kujitambua, kuthubutu na kuwa na ujasiri kuchangia kuraise mtaji wa Shs 150 million kwa ajili ya kuwajengea uwezo wakulima (wanavikundi), wadau wengine, kama watoa pampu, mbolea, madawa na nguvu kazi kuulewa mpango huu wa value chains that are driven by sense of farmer ownership.  Itafuatia kuwajengea uwezo wa kutengeneza business plans zao, kuestablish savings and credit schemes kufinance their basic needs, na inafuata kuwa link wakulima na wadau wengine na sources, users, providers of business facilitation tools (input markets) na baadaye linkages na output markets (value added products).

Kwa kuwapa wakulima huduma hii nitawacharge Shs 50 kwa kila kilo ya  value added product itakayouzwa sokoni.  Hii ina maana hii ni biashara na kila atakayechanga atarudishiwa hela yake mara tatu baada ya miaka mitatatu kwa mfano atakayechanga shs 10,000 atalipwa Shs 30,000 baada ya miaka mitatu.

Watu watauliza kwa nini nisiende benki? Nimekwenda benki mbili maarufu na zote zinataka financial statements za miaka mitatu, best practices, past performance, successful stories na wengine wananiambia kuwa huu utaratibu wa kucharge mkulima markets linkage fees hautafanikiwa kwani sio utamaduni wetu.  Wamekataa kabisa kuthink outside the box.

Je kuna watu wako tayari kuthubutu? 

Herment A. Mrema
Executive Director,
Africa Rural Development Support Initiative (ARUDESI)
Tel: +255-752-110 290/ 0715-301494
Email: arudesiafrica@yahoo.co.uk/ machomingi@yahoo.com


Date: Thu, 10 Oct 2013 02:41:10 +0100
From: khildegarda@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa delivers a Stunning Speech. Challenges Americans!
To: wanabidii@googlegroups.com

Wewe umesema hasa la ukweli-tuache maneno bali matendo kama hayo uliyoyaanza.

Kinazuia nini watu kujiunga kujiandikisha kama NGO ya kilimo na badala ya kuagiza maembe kutoka S.Africa, Sudan na usafiri wa migomo lakini unapakia ktk lori unaleta. Na hata wakijiunga-kugombania uongozi daima na ufisadi bora lile kundi la uzalishaji la kifamilia (wachaga, waarabu, wahindinchini wamefika mbali na hili la miradi ya kifamilia. Sasa wapemba, wakinga, kurya,waha).
Hapa petu maembe burunge yanaoza Mtwara huna muda nayo. Eneo limepandwa miende mifupi inakaribia kuzaa baada ya miaka michache-mara unalipima liwe EPZ na hiyo miembe yote ing'olewe (njia ya bagamoyo) huu si wazimu? Ukifika Ruvu Irrigation system japanese finance (makurunge village) mjapani iliona bonde lile na vizee vikilima mpunga na kukaa madunguni miezi kadhaa mpaka wavune. akawasaidia kuboresha kilimo hicho cha traditional irrigation system kwa mitambo, maofisi, matrekta, malori-angalia ufisadi, mashine zinaota kutu; angalia mifugo ya mmang'ati imehamia ndani ya rice farming irrigated plots. Nenda Mwega irrigation system japanese financed huko malolo Tarafa ya Mikumi Kilosa district-angalia mtambo na intake ilivyo na mashamba yatoayo nyanya, mounga na vitunguu kwa malori-mifugo imehamia na watu wanachazwa bakora. Mto Ruvu umekauka-mifugo juu Mgeta, Mkulazi sources za mto Ruvu DSM hakuna maji na mabonde yote mazao overgrazed-DSM hakuna maji mito na milima inasakafiwa. Tunatumia akili kweli ktk kujikomboa. Shule nazo zinatufundisha land use planning kwa kuangalia ikolojia ya eneo. lakini hebu tazama jinsi Bwana Ardhi apimavyo ardi ya makazi, viwanda, uwekezaji-Anapima mabonde ya mto Ruvu, wami etc anagawa viwanja vya kujenga nyumba na maghala. bonde la mto msimbazi linajazwa mchanga, zege na kuziba mifereji ya maji ardhini na godowns, container storage facilities na warehouses kujengwa mabonde ya maji. Mbona ulaya kuna miji na mashamba na bonde mjini ambazo wananchi wanakodisha kutoka halmashauri na kulima viazi ulaya, karoti etc kwa msimu? kwa nini sisi mabonde ya kulima mazao yapimwe viwanja vya majengo? wananchi walimao mashamba na mboga mabonde mijini au pale yalipo vijijini na nje ya cities huko kwenye municipals, townships inabidi wapande milimani kulima (watafukuzwa) wau waende mbali kulima na kuathiri familia, afya zao na usalama wa watoto na hasa washichana na akina mama. Kwani wakubwa hawaoni na bwana ardhi na wasimamizi wake hawakwenda shule wawe hawajui ecosystem functioning na umuhimu wa kutokujaza michanga na kujenga concrete houses ardhini ktk wetland areas? Kaone Morogoro Mjini, Mabonde ya Mito iingiayo baharini kupitia coastal areas hasa DSM; mabonde ya mto Ruvu na wami Bagamoyo (Zinga, Mlingotini-bandari ya nchi Kavu; Kiropo, Bong'wa). Kwa nini uchukue ardhi nzuri ifaayou kilimo ujenge majengo ambayo yangefaa yajengwe ktk maeneo kavu, miinukoni kusikofaa kilimo kisha ukapanda miti huko kubadili uoto? Tuboreshe kilimo bila kutumia mabonde vibaya; tuboreshe ufugaji na shughuli nyingine sustainably. Tuwe na mipango mizuri sio biashara kichaa holelaholela. Na tusipokubali kubadilika kimawazo na kimatendo-tutaendelea kujiroga wenyewe na hatutofika mbali. Atakuja mchina, mgeni toka nchi jirani atatutumikisha na kutusimbua kisha tutabaki kudai haki kwa kuandamana against huyo mwajiri. Onamwekezaji Mwanza alivyoonyesha tons za mchanga ukiokuwa umejazwa ndani ya mbamba ili kuongeza uzito.

Hebu angalia pia wenye mabasi walivyochukua hela za abiria kisha kutangaza mgomo! Ona sio tu malori bali pia bus la abiria  linavyojazwa mizigo-bag za mitumba, gunia za vitu chini, juu na ndani mizigo na abiria kubananishwa na ukifika mizani mliosimama ikipima nyumba mnaambiwa mhamie mbele, ikipima mbele-mhamie nyuma mzani usionekane kuzidi au mnashushwa mtembee mkapandie mbele. Ukigoma kushuka utaipata. Leo tunagoma kulipia uzito na kutishia kuhamia Kenya na mizigo? Uzalendo huo!! Tujitambue, tujikanye, tuweke malengo, tufanyekweli kwa malengo hayo  ili tufanye la uhakika la manufaa kwetu, jamii na nchi yetu.
 




On Wednesday, 9 October 2013, 20:13, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Hotuba ni nzuri lakini haitoshi.  Aiyosema Dr. Slaa ni kweli tupu na Waamerika na hawa wengine wanaopora rasimali zetu ikiwa ni pamoja na watu wanajua hivyo.  Hawakuanza leo kwani walianza toka enzi za utumwa, za waarabu, wareno na wazungu. We are the major donors to the world. Wanajua hilo.  Tatizo ni kuwa umaskini wetu wa akili, roho na mfukoni ndio kinachowafanya waishi. Unataka kuwaambia Wamarekani wakate mkono ambao unawalisha?

Tuamke usingizini hii nchi haitaendelea kwa kupata technologia kutoka nje kwani wenye teknologia hawatakubali tuendelee ili tuweze kuongezea thamanani ya sasimali yetu na kuuza complex products ambazo zitatupa kiburi cha kushiriki kupanga bei badala ya kupangiwa bei ya mali tunazozalisha na zile ambazo tunazinunua kutoka kwao.

Tuanze na kile tulichokuwa nacho kwa mfano kuua soko la mahindi na kujenga soko la unga wa mahindi.  Kuua soko la mpunga na kujenga soko la branded mchele n.k. Tuanze kwa kutunisha mifuko ya wakulima wetu wadogo ili wawe ndio soko la mali tunazozalisha ndio utaratibu wa kujenga uchumi na sio kutafuta kutoka nje. Tuanze na resources tulizokuwa nazo na baadae tukipata nguvu tutoke sasa nje.  Mfano mzuri ni China.

Tuache kusifia na kuzungumuza na tuanze kutenda .  Mimi nimeanza kujenga agribusiness value chains driven by sense of farmer ownership.  Wewe mtananzania mwenzangu umefanya nini? Tuache ubinafsi, kukata tamaa na kujitambua, kujiamini, kuthubutu na kuwa na ujasiri wa kutenda

Shukrani

Herment A. Mrema


Date: Wed, 9 Oct 2013 19:25:32 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa delivers a Stunning Speech. Challenges Americans!
From: jessekwayu@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nasema hivi Slaa ni kamanda aliyekamilika. Anaijua nchi yake na anajua wapi tumekwama. Tatizo wenye serikali uhafidhina na uchoyo haviwezi   kuwaachia wachukue mawazo mazuri kama hayo. Upofu wa uchama unawatafuna sana. Heri mwizi wa mawazo kuliko ombaomba anayekimbizana na bakuli.
On 9 Oct 2013 14:49, "Bart Mkinga" <bmkinga@yahoo.com> wrote:
Nimefurahishwa na hotuba hii iliyotolewa na Dr. Slaa huko Samford University, USA kwa sababu imegusia tatizo letu kubwa na la msingi ambalo naweza kuuita ugonjwa wa Watanzania wa leo, UMASKINI WA DHAMIRA. Na hili huwa naliongea na kila nipataye nafasi ya kujadiliana naye.
 
Kuna watu wanadhani Tanzania tukiwa na mataifa mengi rafiki nasi tutakuwa matajiri kwa sababu nchi tajiri ni marafiki zetu huku wakisahau kuwa utukufu wa nchi tajiri huonekana kukiwepo na nchi maskini. Heshima na Utukufu wa Rais wa Marekani, nchi tajiri kabisa Duniani upo kwa sababu kuna Marais wa nchi maskini kama hizi za kwetu.
 
Jamii ya Watanzania wa leo inaugua 'umaskini wa dhamira', wengi tumelemaa, tunaamini kuwa sisi ni maskini (hata kama tumezungukwa utajiri) tunaostahili kusaidiwa na kila mtu hapa Duniani. Ugonjwa huu umekuwa mbaya zaidi kwa sababu hata wale waliostahili kututiba ambao ni watunga sera na wasimamiaji wa mipango ya Taifa, nao wanaugua ugonjwa huu. Leo kama utakuwa kiongozi ukawahamasisha watu wako kuunganisha nguvu kwaajili ya kujiletea maendeleo, si ajabu ukaungwa mkono na wtu wachache sana. Watanzania wengi watamwona anayepita anagawa kanga, chumvi, sukari na pombe ndiye anayewafaa kuwa kiongozi wao. Na viongozi wetu kwa kuwa wanatafuta kuungwa mkono na watu wengi, nao wamelazimika kuwa 'maskini wa dhamira'. Wabunge mbalimbali wanahangaika huko na huko ili wapate baiskeli, pikipiki, mahindi, n.k. wakawagawie wapiga kura wao ili waendelee kuchaguliwa maana machoni pa wapiga kura wataonekana ni viongozi wenye upendo kwa wapiga kura wao.
 
Ubaya wa 'umaskini wa dhamira', ni kwamba unaua ubunifu wa Taifa, na moyo wa kujiamini kama Taifa.
 
Wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010, niliwahi kuwasikia wapiga kurawakijadiliana, na kusema kuwa wanastahili kumchagua mgombea mmojawapo kwa sababu anafahamiana na wafadhili wengi. Ukiona watu wanamchagua mtu siyo kwa sababu wanaamini ataunganisha nguvu zao na zake katika kujiletea maendeleo bali wanamtaka mtu mwenye watu wengi wa kuwaomba, ujue kuna tatizo kubwa katika Taifa na yumkini Taifa hilo haliwezi kuendelea. Na huu ugonjwa hauwezi kuondoka mara moja bali ni kwa jitihada za pekee. Kwanza watu wetu wabadilishwe kuanzia shule za msingi, waelewe na waamini kuwa kuomba ni tendo la aibu na fedheha, watu wachukie kuomba, na wachukie kupewa vya bure. Msaada pekee ambao mtu aliye timamu anastahili kupewa ni wa kumwezesha asimame na kutembea mwenyewe, siyo wa kuendesha maisha yake.
 
Ningefurahi siku moja Tanzania tuwe na sheria inayozuia misaada ya kufifisha ufahamu na kuimarisha umaskini wa dhamira. Sheria izuie kupokea au kuomba misaada ya kuendeshea maisha yetu ya kila siku. Tukubali kusaidiwa katika kujengewa uwezo wa kuendesha maisha yetu kama Taifa lakini siyo kusaidiwa kugharamia maisha yetu ya kila siku.
Mr. President, the faculty, staff, students, invited guests and the public at large. Allow me to express my gratitude, for the cordial welcome at your lovely campus. It is one of a kind, and If I could, I would have stayed much longer to learn more on your success that I could take back to our young people. The environment and the surroundings are as beautiful as the people themselves. Along the way, I have met great people with great hearts, and I thank you for that

Likewise, receive greetings from the people of Tanzania. I was quite impressed with your level of research, and the homework you have done trying to know Tanzania, I was also particularly touched by some of you in the audience that knew the geography of my country; and even trying to challenge me . Mrs. Macquire, "People of Mto wa Mbu" are definitely proud of you for being such a good Ambassador. We thank you, and Tanzania needs more of you that will help in exposing it to the people of America

The Samford community, my journey has been long and tedious; I have travelled through hills and valleys of trials and tribulations. However, due to the need and challenges we face as a nation, physical fatigue of travel would not stop me from marching forward. I am determined to work with my countrymen to see our nation of Tanzania reach the Promised Land.

Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society

Tanzania is one of the most blessed countries on the face of the earth. It has abundance of natural wealth, and for those who understand the world history, know that the best game parks are in Tanzania. It is the place believed to be the cradle of mankind.

Tanzania is the home of Mt. Kilimanjaro, Serengeti national park, Ngorongoro crater, and Olduvai Gorge where the first man is believed to have lived. We have some of the world best beaches; our people are very hospitable and extremely welcoming. I welcome all of you to Tanzania

For a long time, Africa has been known as a dark continent infested with disease, poverty, starvation, illiteracy and never endings wars. This might have been created in your minds with the images in your televisions. I can't blame you, because this is the truth you know

However, this is far from the reality. Africa and Tanzania in particular is the new frontier. Tanzania is a country rich in natural resources and only lacks human capital. It is a country with rich land and plenty of water bodies
Many African leaders are believed to come to Washington and other western capitals begging for handouts known as foreign aid. This has created a notion in the minds of many that Africans are poor and lazy.

This is not the case.

Africa is transitioning from mismanagement, dictatorship and corruption that have plagued the continent. Corruption is the main vice depriving Tanzanians and other Africans a chance to a better education, better healthcare and economic prosperity.

Well, I am not here to beg, because my country is rich. I know clearly well that, foreign aid does not come cheaply. It comes with a condition of signing up our sovereignty

I am not here for foreign aid, and CHADEMA party which I represent does not believe on foreign AID. This is my party's philosophy, and any sane human being would not want to live off handouts, or going around begging because foreign aid is only needed as short term relief for countries coming out of calamities. Rwanda needed help to so it could emerge out of the ruins of genocide. Once it did, it became less interested on the foreign aid now a success economic story in Africa

Foreign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him.

CHADEMA party believes that all too often, foreign aid creates dependency by the receiving country onto the giving country and winds up in the pockets of corrupt rulers.

Foreign aid money are your taxes, your sweat which should work for your benefit not for people sitting on their wealth. More important than your dollars, are your brain trust, investments and technological advantage. This is what we need to utilize our resources and also in planning for years beyond our non-renewable resources

Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital

We need our resources to benefit our people. We need to create jobs for our people, we need to improve our health care, we need to improve our education, our infrastructures, communication and economy as a whole. And this is only possible if can with the wealth that we have all we need is better education for our people

We are currently having inequitable trade, where far eastern countries are exporting their poor populations to compete for jobs with our citizens. They are even exporting to us their prisoners to work on our roads yet millions of our young men have no jobs. This is not possible in any civilize society, unfortunately, because our rulers have signed contacts shrouded in secrecy whose contents are only known to them

Some of these individuals have turn to insult us as a nation. They are now interfering on our sovereignty, publicly aligning themselves with political parties. A whole ambassador standing on a political platform to address a political rally, and has ignored the public call for him to leave the country!

This is not the kind of trade we are looking for. We are looking for partners that will work with us to develop our resources in order to benefit our people; Partners that will bring to our country new skills, and also create jobs for our graduates. We need your expertise so we can turn our country into a bread basket of Africa. America is the world's land of milk and honey where everyone wants to be, that's the model we want to learn from

Well, we have come to realize, that if you feed us today with your milk and honey, our meals for tomorrow may not be guaranteed. We instead want to know how you made your country into a land of milk and honey so we can be able to feed ourselves for unforeseeable future and also feed the rest of the world. We have the potential but lack the expertise, and the know how is what we need

Tanzania is not an island; it is part of the global community where all humans have the liberty to visit whenever they want. Our boarders are open for all, as long as our laws and culture are respected. All we need is trade partnership that will guarantee fifty-fifty trade, in which the country benefits equally with the investor.

The younger American generation, I am inviting you to visit Tanzania; I am talking to you as the investors of tomorrow. Come and explore the endless possibilities my country has for you. We need investors that will bring into our country, a set of skills and creativity to turn our hardwood into high quality, made in Tanzania products, as opposed to bringing cheap furniture made of plywood while hauling away our valuable timber

Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don't need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.

We don't need shoe boxes, we need to know how to make our own shoes. We need your technological know how
CHADEMA party's priority number one is education! Priority number two is education and so is the priority number three.

We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten

Samford is one of the American's finest educational institutions. It is producing some of the world finest, from school teachers to the finest lawyers. It is my hope that we see your institution open its doors to our support and in preparing Tanzania's aspiring scientists, teachers, and accountants to become innovators.

In our effort to make our country a unique success story, I am challenging you the young people to go out to the world, and open new trails for others to follow. Tanzania has its doors open for you

Thank you all for listening
Source: Jamiiforums.
 
Bartholomew Mkinga,
P.O. Box 11737,
Dar es Salaam, TANZANIA
Email: bmkinga@yahoo.com
Phone: +255 754 303010

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment