Monday 21 October 2013

Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Gikaro ! ,you can't be serous!

--------------------------------------------
On Mon, 21/10/13, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 21 October, 2013, 14:42

16. Amewaalika Obama, Bush na
Clinton kuja Tanzania.
17. Ameongeza safari za nje kwenda kutafuta
"wawekezaji".
18. Amekuwa Rais wa kwanza katika historia ya Tanzania
kuwaomba wezi wa EPA wamletee fedha za umma walizoiba, yeye
(Kikwete) akazipokea na kuzitia mifukoni mwake.
19. Katika kipindi cha utawala wake polisi wameongoza kuwaua
waandishi wa habari na wakosoaji wa serikali yake, pamoja na
kuvikandamiza vyama vya upinzani.
20. Amefanikiwa kuongeza adui mmoja wa maendeleo kutoka
watatu wa awali (ujinga, maradhi na umaskini) hadi wanne wa
sasa (ujinga, maradhi, umaskini na UFISADI).

On Monday, October 21, 2013 2:42 PM,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Amewaacha Watanzania katika
ufukara zaidi ya alivyowakuta huku akitajirisha familia
yake.

Sent from my
iPhone
On Oct 21,
2013, at 2:32 PM, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
wrote:

13. Amefanikiwa kuileta
timu ya Brazil na kuitangaza Tanzania dunia nzima
14. Ameanzisha zoezi la Katiba mpya ili
kuizaa Tanzania mpya baada ya awamu yake kuisha

______________________________________________

Real Change for Real
Development,  
Lemburis Kivuyo

+255654650100
- Website: www.kivuyo.com,  

Unlimited
Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net

2013/10/21 Rehema Kikwete
<rehemaki@gmail.com>

1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni
maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza
kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia
madaraka yake vizuri
2. Ameendelea na uendelezaji wa
Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa
awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na
kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni,
Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo
yatakayokumbukwa forever
4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya
Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali
na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa,
kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa
sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA.
Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu
umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko
kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia.
Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri
lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona
hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi
kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua
nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu
(Vyanzo vya Nishati)
7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha
Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake
yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha
uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari
mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio
litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.
9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa
DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri
yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na
kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo
bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu
nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho
vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi
kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya
uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano
mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za
Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko
wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.12

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment