Tuesday 22 October 2013

Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Hakuna kiongozi yeyote duniani ambaye hana zuri hata moja, iwe kwa kudhamiria au kwa kutodhamiria viongozi wote duniani wanayo mazuri yao na mabaya yao.

2013/10/22 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Ayii Mtume !!!!!  Sasa mmeanza kumuonea Kikwete.  Maskini !!!!  Hata hoja mmeibadilisha tiyari. Kwani Kikwete ni malaika jameni? Si kila binaadam ana kosoro zake? Ndio kakosea mwana wa Bagamoyo lakini lazma kuna mengi ametimiza yanayo endeleza hatma ya muungano wa Jamhuri na kukidhi matarajio ya Watanzania. Mbona tusiyataje yale positives? Nani kati yenu hajakosea maishani mwake nyie mnaorusha mawe?

Courage

2013/10/21 Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com>
25. Jitihada za maisha bora kwa kila mtanzania lakini watanzania wanamwangusha kwa kufikiria maisha bora bila kujituma kwa bidii.
26. Kupigania haki za wanawake usawa katika uongozi
27. Kupiga vita ufisadi, madawa ya kulevya na ugaidi
Amefanya mengi kwa kweli; tuache mzaha.

On Monday, October 21, 2013 7:35 PM, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
21 Kuongeza hospitali za rufaa nchini bila kujali zimepata vifaa vinavyostahili au laa
22. Ununuzi wa bajaji kuwasaidia kina mama wajawazito wawahishwe hosptali wakati wa kujifungua.
23 Tanzania kuwa "Industrialised by 2025"
24 Mpango wa kila mwalimu kuwa na kompyuta
 
On Monday, 21 October 2013, 14:42, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:
16. Amewaalika Obama, Bush na Clinton kuja Tanzania.
17. Ameongeza safari za nje kwenda kutafuta "wawekezaji".
18. Amekuwa Rais wa kwanza katika historia ya Tanzania kuwaomba wezi wa EPA wamletee fedha za umma walizoiba, yeye (Kikwete) akazipokea na kuzitia mifukoni mwake.
19. Katika kipindi cha utawala wake polisi wameongoza kuwaua waandishi wa habari na wakosoaji wa serikali yake, pamoja na kuvikandamiza vyama vya upinzani.
20. Amefanikiwa kuongeza adui mmoja wa maendeleo kutoka watatu wa awali (ujinga, maradhi na umaskini) hadi wanne wa sasa (ujinga, maradhi, umaskini na UFISADI).

On Monday, October 21, 2013 2:42 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Amewaacha Watanzania katika ufukara zaidi ya alivyowakuta huku akitajirisha familia yake.

Sent from my iPhone

On Oct 21, 2013, at 2:32 PM, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com> wrote:

13. Amefanikiwa kuileta timu ya Brazil na kuitangaza Tanzania dunia nzima
14. Ameanzisha zoezi la Katiba mpya ili kuizaa Tanzania mpya baada ya awamu yake kuisha

______________________________________________
Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100Website: www.kivuyo.com,  
Unlimited Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net

2013/10/21 Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri

2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever

4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)

7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.

9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.12
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment