Monday 21 October 2013

Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete

13. Amemaliza mgogoro mkubwa wa kisiasa Zanzibar ( japo mkapa ndo
alianza kuushughulikia),
14. Anaiacha tanzania with new KATIBA jambo ambalo ni credit kubwa sana
15.huduma za afya zimeboreshwa sana, kila kata ina kituo cha afya


On 10/21/13, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:
> 1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto
> zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia
> madaraka yake vizuri
>
> 2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza
> kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi
> kubwa na kwa kipindi chote
>
> 3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo
> yatakayokumbukwa forever
>
> 4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu
> ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa,
> kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko
> tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania
> kulipia huduma za elimu umeongezeka.
>
> 5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili
> zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri
> lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa
> sifa ya mzee wa "ukapa"
>
> 6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme
> ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu
> (Vyanzo vya Nishati)
>
> 7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya
> ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji
> wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.
>
> 8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th
> Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.
>
> 9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni
> miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK
>
> 10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi
> zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu
> nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo
>
> 11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit
> kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50
> pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake
>
> 12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan
> SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za
> kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.12
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment