Tuesday 22 October 2013

Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Mtoa mada kaleta mada nzuri sana lakini kuna tatizo moja kuwa siku
hizi ukiandika jambo jema la Mhe. Rais Kikwete au chama chake,
unaonekana wa ajabu tena si mzalendo na ukiandika negative za upinzani
unaonekana si mzalendo na unaambiwa umetumwa kuwachafua wahusika. HUU
NI UCHANGA WA DEMOKRASIA AU HUSDA NA CHUKI BINAFSI?

On 10/22/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Hakuna kiongozi yeyote duniani ambaye hana zuri hata moja, iwe kwa
> kudhamiria au kwa kutodhamiria viongozi wote duniani wanayo mazuri yao na
> mabaya yao.
>
>
>
>
> 2013/10/22 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>
>> Ayii Mtume !!!!! Sasa mmeanza kumuonea Kikwete. Maskini !!!! Hata hoja
>> mmeibadilisha tiyari. Kwani Kikwete ni malaika jameni? Si kila binaadam
>> ana
>> kosoro zake? Ndio kakosea mwana wa Bagamoyo lakini lazma kuna mengi
>> ametimiza yanayo endeleza hatma ya muungano wa Jamhuri na kukidhi
>> matarajio
>> ya Watanzania. Mbona tusiyataje yale positives? Nani kati yenu hajakosea
>> maishani mwake nyie mnaorusha mawe?
>>
>> Courage
>>
>>
>>
>>
>> 2013/10/21 Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com>
>>
>>> 25. Jitihada za maisha bora kwa kila mtanzania lakini watanzania
>>> wanamwangusha kwa kufikiria maisha bora bila kujituma kwa bidii.
>>> 26. Kupigania haki za wanawake usawa katika uongozi
>>> 27. Kupiga vita ufisadi, madawa ya kulevya na ugaidi
>>> Amefanya mengi kwa kweli; tuache mzaha.
>>>
>>>
>>> On Monday, October 21, 2013 7:35 PM, Mike Zunzu
>>> <mikezunzu@yahoo.co.uk>
>>> wrote:
>>> 21 Kuongeza hospitali za rufaa nchini bila kujali zimepata vifaa
>>> vinavyostahili au laa
>>> 22. Ununuzi wa bajaji kuwasaidia kina mama wajawazito wawahishwe
>>> hosptali
>>> wakati wa kujifungua.
>>> 23 Tanzania kuwa "Industrialised by 2025"
>>> 24 Mpango wa kila mwalimu kuwa na kompyuta
>>>
>>>
>>>
>>> On Monday, 21 October 2013, 14:42, Gikaro Ryoba
>>> <gikaroryoba@yahoo.com>
>>> wrote:
>>> 16. Amewaalika Obama, Bush na Clinton kuja Tanzania.
>>> 17. Ameongeza safari za nje kwenda kutafuta "wawekezaji".
>>> 18. Amekuwa Rais wa kwanza katika historia ya Tanzania kuwaomba wezi wa
>>> EPA wamletee fedha za umma walizoiba, yeye (Kikwete) akazipokea na
>>> kuzitia
>>> mifukoni mwake.
>>> 19. Katika kipindi cha utawala wake polisi wameongoza kuwaua waandishi
>>> wa
>>> habari na wakosoaji wa serikali yake, pamoja na kuvikandamiza vyama vya
>>> upinzani.
>>> 20. Amefanikiwa kuongeza adui mmoja wa maendeleo kutoka watatu wa awali
>>> (ujinga, maradhi na umaskini) hadi wanne wa sasa (ujinga, maradhi,
>>> umaskini
>>> na UFISADI).
>>>
>>>
>>>
>>> On Monday, October 21, 2013 2:42 PM, Emmanuel Muganda <
>>> emuganda@gmail.com> wrote:
>>> Amewaacha Watanzania katika ufukara zaidi ya alivyowakuta huku
>>> akitajirisha familia yake.
>>>
>>> Sent from my iPhone
>>>
>>> On Oct 21, 2013, at 2:32 PM, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>>> wrote:
>>>
>>> 13. Amefanikiwa kuileta timu ya Brazil na kuitangaza Tanzania dunia
>>> nzima
>>> 14. Ameanzisha zoezi la Katiba mpya ili kuizaa Tanzania mpya baada ya
>>> awamu yake kuisha
>>>
>>>
>>> ______________________________________________
>>> Real Change for Real Development,
>>>
>>> Lemburis Kivuyo
>>> +255654650100 - Website: www.kivuyo.com,
>>> Unlimited Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net
>>>
>>>
>>> 2013/10/21 Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
>>>
>>> 1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto
>>> zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia
>>> madaraka yake vizuri
>>>
>>> 2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza
>>> kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi
>>> kubwa na kwa kipindi chote
>>>
>>> 3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo
>>> yatakayokumbukwa forever
>>>
>>> 4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika
>>> awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi
>>> vimeimarishwa,
>>> kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa
>>> haliko
>>> tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania
>>> kulipia huduma za elimu umeongezeka.
>>>
>>> 5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili
>>> zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni
>>> zuri
>>> lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa
>>> sifa ya mzee wa "ukapa"
>>>
>>> 6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya
>>> Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya
>>> Tatu
>>> (Vyanzo vya Nishati)
>>>
>>> 7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi
>>> ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha
>>> uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.
>>>
>>> 8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th
>>> Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.
>>>
>>> 9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia
>>> ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK
>>>
>>> 10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi
>>> zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu
>>> nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo
>>>
>>> 11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni
>>> credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa
>>> miaka
>>> 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake
>>>
>>> 12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa
>>> hususan
>>> SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za
>>> kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.12
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment