Tuesday 8 October 2013

Re: [wanabidii] 11 Youths found practicing Warfare in a Mtwara Forest

Hii ni hatari zaidi! Muda muafaka umefika sasa kwa Serikali kuchukua hatua za maksudi kuanza kufanya upekuzi kwenye wauzaji wa kanda na CD za dini mathalani, CD zenye mafundisho ya dini, na zote zitakazogundulika kuwa na mafundisho ya uchochozi, zifungiwe maisha, 'as long as Tanzania exists, na atakayebainika kuwa nayo apewe adhabu. Nia ikiwepo, hili linawezekana. Sio hili tu, ipo haja ya kupiga marufuku mihadhara inayolenga kushambulia dini moja na nyingine, kwa maana, anayejitamba jukwaani kuwa anaifahamu Korani au  Biblia leo hii kiasi kwamba anataka ambadilishe mtu huyu au yule kuikimbia imani yake na kwenda kwingine, hanao na wala haujui ukweli, na tena, ukweli haumo ndani yake! Mtaniuliza, ukweli ni nini? Kwa hili nawaachia mlitafakari!

Tena anayesema dini yangu ni nzuri kuliko yako, naye pia ukweli haujui! Maana, sote tumezaliwa katika dini, tena bila matakwa yetu wenyewe nimejikuta kuwa mimi ni Mkristu na wewe ni Muislamu na kinyume chake vile vile. Hukuwa na uhuru wa kuchagua wewe! Umezaliwa kwenye dini,kama vile ambavyo hukuweza kuchagu uzaliwe na baba au mama yupi, ila uliyenaye, ndiye mama na baba yako; hivyo na dini, zetu ziko hivyohivyo. Hata na yule ambaye hakuzaliwa kwenye dini (naomba nisimwite mpagani, maana naamini, hakuna mpagani kwa asilimia mia moja), naye pia hivyo hivyo, hakuwa na uamuzi, alizaliwa, akajikuta yuko hivyo. Kwa nini leo tunataka kumlazimiza aamini vinginevyo?

Dini zetu walizikuta babu zetu, wakazichukulia zilivyo, hadi leo hii sisi, kwa nini leo tunatengana kwa sababu ya dini? Kama hukuwa na uwezo wa kuyamudu na kuyamiliki mazingira yaliyokufanya uwe kama ulivyo, Mkristu, Muislamu, au 'Mpani', tuna haja gani ya kuchukiana na kugombana kwa sababu ya imani zetu za dini? Sio hili tu, imani, sio shirikishi, imani ni binafsi, na ndio maana hata kwenye Maandiko Matakatifu, Biblia, tunaambiwa kuwa, sio wote wa mwitao Bwana/ Yesu wataingia kwenye ufalme wa mbinguni, maana kuitwa Mkristu, au Muislamu, sio tiketi ya kuingia mbinguni au peponi, bali, uliuishije Ukristu na Uislamu wako, ndicho kitakacho kuokoa. Kwa maneno mengine, matendo mema ndani ya Ukristu, na Uislamu wako ndiyo yatakayokuokoa na si vinginevyo.

Why then are we buying into these fanatic ideas of Al Qaeda na Al Shaabab? No one in his/her righteous and virtuous mind will ever buy into these group! Whoever does, there has to be something erroneous with his/her thinking, because, in all the claims these groups ought to stand for, none is logically right, or else, philosophical to say the list!

Kwa hiyo, kama ni kweli hawa vijana, wamekamatwa, natumaini, fundisho kwao liwe moja, wapelekwe JKT miaka 15, wakafundishwe UZALENDO. Maana Mtanzania anayejihusisha na makundi kama haya, nasikitika, sina neno jingine la kumuita, zaidi ya mhaini na msaliti kwa Mama Tanzania!
 
On Tue, Oct 8, 2013 at 8:34 AM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Naona "script" inatafutwa!

On Mon, Oct 7, 2013 at 9:48 PM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
There are some reports coming out of Radio 1 Stereo in Tanzania that 11 youths have been arrested in a forest in Mtwara in southern Tanzania. They were found with 25 Al-Qaeda/Al Shaabab instruction CDs !!  Plus an assortment of weapons  and a stash of varieties of food. This means they were planning to be here for an extended period of time.

Here is the actual Radio report:

Vijana 11 wamekamatwa wakiwa wanafanya mazoezi ndani ya msitu wa Makolionga mkoani Mtwara, huku wakiwa na CD 25 zenye mafunzo mbali mbali toka kundi la kigaidi la Al Qaeda na Al Shaabab. Pia wamekutwa na zana tofauti za hatari pamoja na vyakula vya aina mbalimbali RADIO1 STEREO

This is worrying especially if they can now train withing the country. Anyone with more  information about this? Is it true?

Courage

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment