Thursday 24 October 2013

Re: Fw: [wanabidii] Re: Gazeti la Jamhuri toleo la leo lahujumiwa kwa kununuliwa lote nchini

Mbona  hakuna tatizo?, Si ni kuchapisha tena habari hizo, tena, na tena, akiendelea kulinunua basi mnachapisha maradufu ya nakala.

On Thursday, 24 October 2013, 12:22, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Balile,
 
Chapisheni magazeti mengine, period!

2013/10/24 Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
Balile, rafiki na mjukuu wangu.

Pole sana. Lakini si vibaya tukijiuliza haya maswali.

1. Mtandao wa usambazaji wa gazeti kuanzia linapoandaliwa, kuchapishwa hadi kusafirishwa sokoni, ukoje? Kuna mianya yoyote katika 'eneo' lolote kwenye mtandao huo inayoweza kusababisha gari 'likanunuliwa lote', tena nchi nzima!!!!

2. Lilinunuliwa katika hatua gani? Baada ya kuchapishwa kiwandani? Baada ya kufungwa kwa 'mafungu' ili lisafirishwe, kwamba kabla halijafika kwa mawakala 'likaishia' mikononi mwa wanunuzi haramu? Ama wanunuzi hao walitapaa nchi nzima, wao wenyewe ama mawakala wao na wakalinunua baada ya kuwasilishwa kwa mawakala wa JAMHURI (ya Waungwana)?

Ama ni baada ya kufika kwa mawakala wa JAMHURI (ya Waungwana), wanunuzi haramu hao walitoa 'oda' nchi nzima na kila wakala 'akakunja mkwanja' na kuacha kusambaza kwa wauzaji wa mitaani, likapelekwa kwa wenye nia ovu?

Au wakala walitekeleza wajibu wao na kuwagawia wauzaji wadogo wadogo wanaopatikana kwenye miza maalum ama kutembeza mitaani, lakini walipokutana na wanunuzi haramu wenye fedha, wakawalipa na kuliuza lote, nchi nzima!

Nadhani tusiwalilie wanunuzi haramu, bali tutazame pale mwanya ulipojitokeza, gazeti likahujumiwa.

Poleni sana makamanda.

On Thursday, October 24, 2013 12:39 PM, flano mambo <flein47@yahoo.com> wrote:
unafikiri ni habari gani ambayo uliiandika ambayo itakua imesababisha jambo hilo la hujuma?kwa kuwa sio siri hebu iachie hapa tuone

On Thursday, October 24, 2013 12:03 PM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
chapisha tena kesho (rudia habari)

On Wed, Oct 23, 2013 at 11:46 PM, <noeltomass@gmail.com> wrote:
On Tuesday, April 17, 2012 3:29:40 PM UTC+3, Deodatus Balile wrote:
> Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchi.
>
> Leo Gazeti la Jamhuri limehujumiwa kwa kununuliwa lote nchi nzima na mtu ambaye habari tulizoandika hakuzipenda.
>
> Sitanii, tutafika?
>
> Balile, D.
> Mhariri Mtendaji,
> Jamhuri Media Ltd

Balile huyo mtu amenunua hata online version? Huo utani. Che Noeli.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment