Makene Napenda nikuhakikishie hapa pasina shaka kwamba kipofu ni CHADEMA. Utajua uhakika huo siku ikifika. Have a splendid night. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa
Sent: Thu, Sep 5, 2013 6:56:14 PM
Nafikiri CCM inatusaidia kuijua. Wametumia muda na fedha zetu kama ilivyokuwa wakati huo lakini ikabidi Rais awakubalie CHADEMA na sheria ikajadiliwa upya bunge lililofuata. Kwa kweli namsubiri kuona Ndugai akiomba msamaha kwa kitendo hiki, labda kwa kuwa anaweza kukosa aibu From: Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Thursday, September 5, 2013 7:29 PM Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa Namuona Malima naye hapo, hakuna mtu anayejadili mabadiliko ya katiba mpya, wote wanaijadili chadema, na wanasema kuwa CUF wameingia kwenye ndoa na chadema bila kujua, wameaswa warudi bungeni na wawaache chadema waendelee kuwa nje! On Thu, Sep 5, 2013 at 6:56 PM, Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com> wrote: Tumaini Ipyana Lwinga Email: ipyanalwinga@gmail.com "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..." Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment