Thursday, 5 September 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa

Nafikiri CCM inatusaidia kuijua. Wametumia muda na fedha zetu kama ilivyokuwa wakati huo lakini ikabidi Rais awakubalie CHADEMA na sheria ikajadiliwa upya bunge lililofuata. Kwa kweli namsubiri kuona Ndugai akiomba msamaha kwa kitendo hiki, labda kwa kuwa anaweza kukosa aibu

From: Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 5, 2013 7:29 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa

Namuona Malima naye hapo, hakuna mtu anayejadili mabadiliko ya katiba mpya, wote wanaijadili chadema, na wanasema kuwa CUF wameingia kwenye ndoa na chadema bila kujua, wameaswa warudi bungeni na wawaache chadema waendelee kuwa nje!


On Thu, Sep 5, 2013 at 6:56 PM, Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com> wrote:
Tumaini
You have a point. A good example ni pale Mungu alipotaka kumuangamiza Farao wa misri na jeshi lake, what was the result!! Waliangamia katika bahari ya shamu. Katika hili bahari ya shamu ya CCM imewadia they are going to die naturally.

Regards

F.Kasili

Mob: 0784850583 or 0755850583

Always darkness will never comprehend light

________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of Tumaini Makene [makene_84@yahoo.com]
Sent: Thursday, September 05, 2013 6:09 PM
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: Mabadiliko; Wanabidii
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa

Ansbert

When God wants to destroy you, he makes you blind. Husikii chochote (kutoka kwingine) isipokuwa mwangwi wa mawazo yako mwenyewe! Kisha unajiridhisha kuwa unafikiria!



Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831

Sent from my iPad

On Sep 5, 2013, at 5:53 PM, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:

> Nimesikiliza Hotuba za wabunge wa CCM katika mjadala wa jioni. Wote walikuwa wanajadili wenzao wa upinzani badala ya kujadili vifungu vya Rasimu ya Sheria wanayong'ang'ania kutunga. Nimesikia mipasho na matusi ya Kigwangallah dhidi ya wabunge wa Chadema. Hadi muda wake unaisha, alikuwa hajachangia lolote kwenye muswada, huku akilaumu wenzake eti wamekataa kufanya kazi yao ya kutunga sheria. Je, yeye ameifanya saa ngapi?
>
> Lililo dhahiri ni kwamba CCM hawataki Katiba Mpya, ndiyo maana wanang'ang'ania mawazo yale yale. Hawana nia njema na mchakato. Ndiyo maana hawataki kusikiliza wenzao.
>
> Bahati mbaya bado wanadhani wananchi wanwasikiliza. Wahenga walinena, sikio la kufa halisikii dawa. Wasubiri matokeo.
>
> Ansbert Ngurumo
> Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
> Vox Media Centre & Free Media
> Tanzania
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment