Monday 24 June 2013

[wanabidii] Uchumi Wetu Na Harusi Za Kufa Mtu... ( MWANANCHI, JUMAPILI)



Na Maggid Mjengwa,

NAHOFIA, kuwa Watanzania tumejikita kwenye ndoto ya utajiri wa gesi na mafuta na kusahau kilimo chetu.  Hivyo, ni hatari kwa uchumi wetu.

Tunafikiria utajiri wa gesi na mafuta kana kwamba katika dunia hii ni sisi tu Watanzania ndio wenye utajiri wa akiba ya  gesi na mafuta. Hatujui, kuwa katika dunia hii kuna nchi zilizo akiba hizo za mafuta na gesi lakini bado uchumi wao hauwafanyi watu wao wawe ni wenye neema tu.  Nao wanafikiria pia kwenye vyanzo vingine vya kuinua uchumi wao ikiwamo kilimo.

Naam, Mwanafalsafa David Hume alipata kusema; "Mbegu  yako imekomaa leo, yangu itakomaa kesho. Ni jambo la manufaa kwetu sote kama  nitalima pamoja nawe leo, na wewe unisaidie kulima kesho. Siwezi kuwa na urafiki nawe...Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3473-uchumi-wetu-na-harusi-za-kufa-mtu-mwananchi-jumapili.html#.Ucg41pyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment