Saturday 15 June 2013

[wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

 Hii habari imesambazwa sana. inasemekana moja ya wana Usalama nidye msambazaji. Kila inapopostiwa Jamiiforums, MODS wan Jamani kama huyu ndiye Mwigulu, basi ni bora akamatwe


FYI.......................

Wili iliyopita Niliweka habari ambayo ilikuwa ni moja ya mbinu chafu za CCM lakini Mods Waliiondoa ghafla. Niliwaambia waziwazi habari za kiinteligensia ambazo Mwigulu Nchemba alizisimamia.

Katika kikao hicho ambacho kilihudhuriwa na Mkuu wa mkoa, usalama taifa wawili pamoja na makada watatu wa CCM Juliana Shonza na Mwigulu Nchemba. Jumla ilikuwa watu 8. Haya mambo ilikuwa ni katika kukidhoofisha CHADEMA katika uchaguzi unaokuja. Tukio la leo halikujadiliwa ila kikubwa ilikuwa ni kumhusisha Lema na Mauaji. Na kisha mupoteza moja kwa moja

 

Mpango ilikuwa ni kwamba, polisi wamkamate kibaka, kisha wamvalishe sare za makamanda wa UVCCM. Baada ya kukamatwa akatwe katwe mapanga, damu yake na simu wapewe polisi ambao wangemfuata Lema na kuyapandikiza ndani ya gari lake (yaani kwenye boot ya gari lake pindi angefuatwa) baadaye mwili wa marehemu ungetupwa barabarani eneo la Kimandolu. Lengo ilikuwa ni kuwapa wananchi sababu ya kutokuichagua CDM. Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo Mwigulu amezisomea UCHINA.

 

Bomu lilijadiliwa lakini halikupewa kipaumbele, nashangaa ndio iliyotumika. Mtu wa kwanza kuhojiwa hapa ni Mwigulu Nchemba. Kati ya hawa watu nane nilikuwepo. Mkuu wa mkoa Arusha naye aandike Statement kuhusiana na hili tukio…..

 

Mods Tafadhali msiondoe hi thredi. Naombeni muiunganishe na ile ya Arusha……


0 comments:

Post a Comment