Saturday 15 June 2013

[wanabidii] Obama aahirisha safari ya kutembelea Mbuga za wanyama Tanzania kusevu pesa za walipa kodi wake

Obama aahirisha safari ya kutembelea Mbuga za wanyama Tanzania kusevu pesa za walipa kodi wake


WASHINGTON –
Ikulu ya White House ya Marekani imekatiza safari ya Rais Obama na mkewe Michelle ya kutembelea mbuga ya wanyama ya mikumi iliyopo Tanzania, kutokana na ukata unaoikabiliserikali yake. Imeelezwa katika gazeti la Washington Post jana.
Gazeti hilo ambalo lilinukuu mipango ya siri ya safari hiyo imesema kuwa safari ya Obama na mkewe ambayo ilikuwa ifanyike baadaye mwezi huu, ingehitaji majasusi wa kumlinda rais huyo na njia za kipekee zaidi kuhakikisha usalama wake na mkewe.
 Safari ya rais katika mbuga za wanyama inahitaji ulinzi wa hali ya juu, silaha za hali ya juu kama siper rifles ambazo zitaweza kulenga wanyama wakali kama cheetahs, (duma, samba au wanyama wengine kama ikitokea wanataka kumsogelea au kumdhuru rais huyo................................................... kwa picha na habari kamili soma hapa
http://goldentz.blogspot.com/2013/06/obama-aahirisha-safari-ya-kutembelea.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment