Thursday 13 June 2013

[wanabidii] nyumba nzuri million 3o-INVEST

salam , oleni na michakato ya siku nzima na ni matumani yangu kua mmemaliza salaaa salimin.Napenda niwaletee baadhi ya properties mpya wiki hii ili mwenye kuhitaji anione au atuone tumhudumie kama mwanabidii mwenzetu.
Kuna nyumba 3 nzuri kiasi za bei ya kawaida 2 zipo pale kimara kona , nyingine kimara rombo na nyingine msewe. nyumba hz ni nzuri sana zinahitai ukarabat mdogo sana, ya msewe ina ni room 3 sebule na dining, ina bati la vigae...bei yake ni m 30; ya rombo ina bat la kawaida ial nayo ni 3 rooms,sebule na dining bei ni m 30 na ya rombo vivyo hivyo.nyumba hz zote zina leseni ya makazi
 2 kuna nyumba ya bei nafuu pia pale mbezi kwa yufuf km moja toka main roa ina vyumba 4 dinning sebule master nk haijaisha ila imeezekwa ...bei m 35
3: Tunayo nyumba mbezi kali sana, tunauza  nyumba kali sana mbz njia ya makabe ina nyumba 4 master, bati la msouth,eneo la kutosha kujenga fence, parkings garden nk bei m 50 inahitaji km m 10 iishe kabisa....haina hati;
5 tunayo nyumba nyingine kali mbz ya kisasa bei m 70, 50 na 69.....sala sala zipo nyumba kali sana za kisasa sana zina ofa zipo 3 bei m 150 kila moja zipo ndani ya fence na bara bara hadi ndani....karibuni tuwekeze ktk nyumba jamani wapendwa.
SHULE- tunauza shule moja ya zamani tu ina jina kubwa sana, japo inadaiwa bei ya kuuza ni bn 5 au kama kuna mtu anaweza kuingia share atoe bn 3
SHAMBA- tunauza mashmba 2 makubwa sana maeneo ya mbez kwa msumi eka 6 inaofa na ndani kuna nyumba half complete bei ni m 150 na mazungumzo ruksa. Tunayao shamba jingine kule mbande eka 5 na ina nyumba kubewa tu ndani ina hati bei m150 na mazungumzo ruksa......tunayo mengine maeneo mbali mbali ni wewew tu mpendwa kuchukua muda kutupigiwa utoe oda upatiwe huduma bora sana.

MAGARI - tunayo magari ya kuuza, nadia 1998 inatembea bei m 7, toyota corrola inatemnbea bei m 2.5, starlet inatembea bei m 5, corona inatembea bei m 3.5 nk

Ili uhudumiwe na sisi ni kutupigia tu..... ALJ General company Ltd
tupo tazara maghorofani
no 0652 314181 kwa maelekezo na utahudumiwa kwa kiwango cha juu, mteja wetu ni mrfalme....karibuni sana na mungu akuinuinue na kubariki kaz za mikono yako

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment