Tuesday 4 June 2013

[wanabidii] No way, Jakaya Kikwete have no apology to make for Kagame

 
Kaka Mpenzi,
 


Mambo ya Kabila kusikizana na M23 haipo kabisa ....... ni ukorofi wa Kagame kapeleka huko UN.......  Wacha watapike kisha tuna 
wagonga vizuri with evidence........Ndiyo wanaonyesa ishara kua
yale Kagame anafanya, niwao wamemtuma........Na bila evidence
Kabila atawashtaki vipi.....??  Wote ni lazima watalipa ni wazi....
 
 
Na ndio Kikwete kafanya vizuri........kamtoboa, kisha ni sisi kuwa
pima na kuwagonga vizuri........
 
 
Ah alah!  Kikwete ni mume bwana......kaonyesha kwa vitendo.  Na Kabila hawezi kukubali kutumika na M23 iliyo pangwa na akina M7 na Kagame na makabwela zao........ WaKongoman pia
ni watu ....... they have Human Rights to claim for......
 
 
 
Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com
 
 


--- On Tue, 6/4/13, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
 
 
From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Uchunguzionline" <uchunguzionline@yahoogroups.com>, "ezekiel kunyaranyara" <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Date: Tuesday, June 4, 2013, 10:23 AM

sasa kwanini mnataka kabila apatene na m23. mauaji ya haraiki ya rwanda yamliua wanyarwanda takribani laki nane na hii ni kutokana NA KAGAME MWENYEWE kuchezea mazungumzo huku akisonga mbele. akalikoroga alipotungua ndeke ya marais wa burundi na rwanda. akajenga jenga la ukumbusho kuifadhi mafuvu ya wahanga, huku akilalama dunia ilikaa kimya wakati watusi wakinyongwa, sasa wakongo wameishauawa na watusi wakiongozwa na kagame mwenyewe zaidi ya milioni tatu mara nne ya vinyarwanda vilivyouawa, sasa anataka dunia iendelee kutulia wakati wakongo wanaisha? ikibidi naye achapwe moja kwa moja sambamba na mseveni


2013/6/4 Judy Miriga <jbatec@yahoo.com>
Rafiki Mpendwa,
Inawezekana Kagame amefanya mengi mazuri kwa nchi yake, lakini
ningependa jibu juu kama ni sawa kwake ku plan na kushirikiana kuuwa
wa Congo na kujasiri kina mama na kuwapa watoto wa Congo shida za
kuhamishwa makwao by force kutumia waasi ili aweze kupora mali za
wacongoman aweze kujimudu.......Kwa kushirika kwake kuingilia mambo
ya nchi ingina na kushirikiana akitumiwa kuvuruga Congo ni kosa kubwa
sana........kuna shahidi ametumika na Bosco na tena anazidi kutumika
na yule aliye chukua nafasi ya Bosco......ngoja kesi ianze ICC Hague uta
sikia mambo.......kwani Bosco si atasema.........na kisha atatuambia ni
nani mzungu wake anamtumikia kwa kuuwa wa Congo ili aweze kuwa
porea mali........dhulma hii kaka.......Ana hatia wacha ajiteteeeee......
Sababu ya kushirikiana kuiba mali za wakongoman by force to ku benefit
kwa mali za kuporwa kutoka nchi isiyo yake imemfanya amekua mbaya
zaidi.........Hata akiweza kupeleka nchi yake mbinguni, amekosa utu na
sina imani naye.........Itambidi na itakua ni lazima arudishe mali aliyo iba
za wacongoman na kujibu kwanini kaua wa Congo makwao bila sababu...
ndiposa nitaweza kutulia moyo wangu........
Kama anaweza shirikiana na chukua na kupora mali ya nchi ingine kwa
lazima, hapo ametukosea amani.......Leo ni Congo, kesho ni Kenya kisha
sikuzijazo itakua Tanzania........ A stitch in time saves nine.........


Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com


--- On Tue, 6/4/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "emuganda@gmail.com" <emuganda@gmail.com>
Date: Tuesday, June 4, 2013, 6:35 AM


EM,
Nafikiri huenda hauna takwimu sahihi za kuhalalisha kauli yako kwamba Kagame amefanya mengi kuliko JK. Hebu rudi uone kilichopo hapa na kisha ulinganishe na Rwanda. Mfano mdogo tu ni urefu wa barabara linganishaa zile zilzoko Rwanda. Hebu linganisha na mradi ya maji kwa idadi ya watu wanaopata maji siyo kwa statistics zinzweza kukudanganya. Fikiria tena upya hoja yako hata kama unamtizamo tofauti wa kisiasa na JK kwa hiyo ukaona kuwa hajafanya kitu.
Sent from Yahoo! Mail on Android


From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say
Sent: Mon, Jun 3, 2013 5:27:36 PM

Dr Kigwangalla,
Mbona jibu ni rahisi? Kama mdogo wangu amechokoza baunsa nitamwacha apate kichapo kwa kiasi fulani. Kama kichapo kikizidi nitaingilia kati kumnusuru. Udogo wa Kagame au Rwanda hauhusiki kwa vyovyote vile, na kwa mtu kama wewe kutaja hivyo inaonyesha how arrogant our leadership is. Hivi kama Rwanda ingekuwa as big as Nigeria msimamo wa Kikwete ungebadilika? Yaani msimamo huo unahusiana na ukubwa wa Rwanda? How pathetic. Rwanda is a sovereign state, no matter how small it is. Najua tu kwamba Kikwete ana allergy na Kagame kwa sababu Kagame amefanya mengi nchini mwake ambayo Kikwete hawezi hata kufikia robo yake.
em

On Mon, Jun 3, 2013 at 12:42 PM, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote
Emmanuel Muganda,

Bila kuathiri masharti ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, yanayokupa uhuru wa kusema lolote, naomba nikupinge na nikuulize swali moja tu...ukimkuta mdogo wako kachokoza baunsa na anachezea kichapo utafanyaje?

Kama kuna siku nitachokaa kumuunga mkono Rais wangu ni ile atakaporudi nyuma na kumeza matapishi yake kwenye hili...Kagame ni mtu mdogo sana na hatubabaishi...analeta vita kila sehemu kwa ujanja wake na uchu wa kutawala na kutamani kukuza empire yake kinyemela ili aijenge nchi yake. Kwani ni nani asiyejua hadithi ya namna alivyoingia kwenye power?
Awadanganye wengine, siyo watanzania. Kwenye hili nipo upande wa serikali kwa jua ama kwa mvua.

Regards,
HK.


On Mon, Jun 3, 2013 at 7:27 PM, A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com> wrote:
EM
Wewe unamwona JK kabugi na sie tunakuona wewe ndio unabugi!!



From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 3, 2013 5:20 PM

Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say

Faiza,
I support the opposition but on this I think Kikwete amebugi.
Inaonekana angekuwa ni yeye rais wakati wa Idi Amin angefanya mapatano naye.
Utapatanaje na muuaji? If that is patriotism then to hell with it.
em


On Mon, Jun 3, 2013 at 6:48 AM, Faiza Hassan <antihongo@gmail.com> wrote:
Forget it Tanzania can't apologise instead other Tanzania leaders
including those in opposition should be patriotic and support
President.

On 6/3/13, Charles Banda <chasbanda@gmail.com> wrote:
> Genocide survivors have petitioned the UN Secretary General and U.S
> President over remarks made by Jakaya Kikwete, the President of the
> United Republic of Tanzania at the 21st African Union Summit on May
> 26th, 2013 in Addis Ababa, Ethiopia.
>
> In his remarks, Kikwete is quoted to have called upon the Rwandan
> government to "negotiate" with the Democratic Forces for the
> Liberation of Rwanda (FDLR), an issue that has raised anger among the
> genocide survivors in and outside of Rwanda.
>
> The FDLR rebel group is predominantly composed of members of the
> Interahamwe militia and the Armed Forces of Rwanda, who carried out
> the 1994 genocide against the Tutsi in Rwanda and have continued to
> conduct killings of innocent civilians in the Democratic Republic of
> Congo.
>
> During an enclosed meeting called by the UN Secretary General in Addis
> Ababa, Kikwete is also reported to have argued that since Kinshasa was
> in talks with the M23 rebels, then it was about time Kigali opened
> negotiations with the FDLR rebels. Kikwete also pushed argument to
> Uganda, stating that Uganda should do likewise with its Congo-based
> rebel force, Allied Democratic Forces (ADF).
>
> In a statement, released by Alice Umutoni, Vice Coordinator of the US-
> based organizing committee of the 19th Commemoration of the Genocide
> against Tutsi in Rwanda, the genocide survivors asked Kikwete to
> openly apologize to all survivors of the genocide in Rwanda and
> Rwandans in general, Congolese, Americans and many more people who
> have suffered from the FDLR terrorism.
>
> The Rwandan genocide survivors also argued that Kikwete was fully
> aware of the atrocities committed by the FDLR in Rwanda and DR Congo,
> and other rebels groups in Uganda, though he went ahead to make such
> ridiculous remarks.
>
> The petitioners stated that they were confident that the United States
> of America would not support this kind of political dealings that act
> as a setback to Rwanda's efforts to ensure peace in the DRC and the
> region as a whole.
>
> United States of America's leadership has made a commitment to fight
> the international terrorism, and marked FDLR as a terrorist group, UN
> also placed a five-million-dollar bounty on handing over some Rwandan
> genocide perpetrators, including Sylvestre Mudacumura, the FDLR
> supreme commander who is wanted by the International Criminal Court
> (ICC) on charges of crimes against humanity and war crimes, including
> murder, rape, torture and attacking innocent civilians.
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment