Monday 10 June 2013

[wanabidii] Fwd: Mwanalibeneke Othman Michuzi kafanya vitu vikubwa ndani ya KMA




Mwanalibeneke Othmani Michuzi kafanya vitu vikubwa ndani ya Kili Award

Video kamera yake a.k.a "Jicho la Tatu" imenasa kitu Demo ya Kimataifa!


Mwanalibeneke Othman Michuzi a.k.a "m2 wa mtaa kwa mta" wa Michuzi Media Group juzi alitinga ndani ya Kilimanjaro Music Award katika ukumbi wa maraha na burudani pale Mlimani City,Jiji Dar.
Alichokifanya mwanalibeneke huyo Othmani Michuzi kwa kutumia kamera yake
au Jicho Kubwa lionalo mbali ,ni kurekodi video ya matukio,ambayo video hiyo
inawezekana ikawa ndio tiketi ya kuupeperusha muziki wa Tanzania katika masoko
ya kimataifa, labda wengi walistushwa na kiwango cha juu cha kimataifa katika video

Wataalamu wa masoko wa kimataifa waliotazama video hiyo katika Youtube,wameshauri kuwa itakuwa jambo la busara kwa Michuzi Media Group,
Kuhifadhi haki yake katika video hizo, na mameneja wa wasanii au bendi wakae
meza moja na manajementi ya Michuzi Media Group,ili wakubaliane kutumia
Bidhaa hiyo kuwa Demo ya kuwaporomoti wasanii au bendi zao.
Kuzitumia bila ya ridhaa ya alipiga video ni kinyume cha sheria.
Kukopi na kupesti bila ya Idhini au ridhaa ya walipiga video hiyo ni kuvunja
sheria na heshima.
ni Ushauri,
lakini Ongera nyingi sana sana kwa Othumani Michuzi kutoka kwa wadau wa ughaibuni. https://www.youtube.com/watch?v=ZDcmpDoZQZM
Kazi imepeperusha Bongo Kimataifa endelea kwa kasi hiyo hiyo 

Libeneke lake hili http://www.othmanmichuzi.blogspot.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment