Saturday 8 June 2013

[wanabidii] Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu

Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu

Na Thehabari.com, Kishapu

WANASEMA maji ni uhai, kinyume chake bila maji hakuna uhai wa mwanadamu na hata wanyama. Kimsingi kauli hii inaonesha umuhimu wa maji katika maisha ya kila siku ya binadamu na hata viumbe wengine.

Shughuli nyingi zinazofanywa na mwanadamu kila siku zinategemea uwepo wa maji. Matumizi ya maji kwa shughuli za binadamu hayaepukiki. Na hata katika mwili wa binadau ni muhimu zaidi, kama huto yaitaji maji kwa kunywa utayahitaji kwa kuoga na usafi wa shughuli nyingine.

Kwa mantiki hiyo hali yoyote ya upatikanaji ngumu ya upatikanaji wa maji unaathiri maisha ya kila siku ya mwanadamu. Shida ya huduma ya maji eneo fulani huweza kuchangia ugumu wa maisha kiasi fulani. Shida ya maji maeneo mengine huweza kupunguza shughuli za uzalishaji mali, hii ni kutokana na muda mwingi kupotezwa na jamii kwa ufuatiliaji wa maji hasa maeneo ya vijijini.

Hali kama hii ya shida ya huduma ya maji ndiyo inayowakumba wananchi wa vijiji anuai vya Kata ya Kishapu, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga. Kata ya Kishapu ina vijiji nane yaani Mhunze, Lubaga, Isoso, Mwanuru, Migunga, Mwamagembe, Mtaga, na Kishapu yenyewe.

Japokuwa vijiji vingi vina shida kubwa ya huduma za maji, lakini hali ya ugumu wa upatikanaji huduma hizo hutofautiana kutoka kijiji kimoja hadi kingine. Kati ya vijiji vyote nane vijiji vinne ndio vyenye shida ya maji zaidi. Vijiji hivyo ni pamoja na Lubaga, Isoso, Mwanuru na Kishapu yenyewe.

Zifuatazo ni picha anuai zikionesha wananchi wanavyoangaika kutafuta huduma za maji vijiji hivyo.

Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu

Na Thehabari.com, Kishapu

WANASEMA maji ni uhai, kinyume chake bila maji hakuna uhai wa mwanadamu na hata wanyama.

Kimsingi kauli hii inaonesha umuhimu wa maji katika maisha ya kila siku ya binadamu na hata

viumbe wengine.

Shughuli nyingi zinazofanywa na mwanadamu kila siku zinategemea uwepo wa maji. Matumizi ya

maji kwa shughuli za binadamu hayaepukiki. Na hata katika mwili wa binadau ni muhimu zaidi,

kama huto yaitaji maji kwa kunywa utayahitaji kwa kuoga na usafi wa shughuli nyingine.

Kwa mantiki hiyo hali yoyote ya upatikanaji ngumu ya upatikanaji wa maji unaathiri maisha

ya kila siku ya mwanadamu. Shida ya huduma ya maji eneo fulani huweza kuchangia ugumu wa

maisha kiasi fulani. Shida ya maji maeneo mengine huweza kupunguza shughuli za uzalishaji

mali, hii ni kutokana na muda mwingi kupotezwa na jamii kwa ufuatiliaji wa maji hasa maeneo

ya vijijini.

Hali kama hii ya shida ya huduma ya maji ndiyo inayowakumba wananchi wa vijiji anuai vya

Kata ya Kishapu, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga. Kata ya Kishapu ina vijiji nane yaani

Mhunze, Lubaga, Isoso, Mwanuru, Migunga, Mwamagembe, Mtaga, na Kishapu yenyewe.

Japokuwa vijiji vingi vina shida kubwa ya huduma za maji, lakini hali ya ugumu wa

upatikanaji huduma hizo hutofautiana kutoka kijiji kimoja hadi kingine. Kati ya vijiji

vyote nane vijiji vinne ndio vyenye shida ya maji zaidi. Vijiji hivyo ni pamoja na Lubaga,

Isoso, Mwanuru na Kishapu yenyewe.

Zifuatazo ni picha anuai zikionesha wananchi wanavyoangaika kutafuta huduma za maji vijiji

hivyo.

_____________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment