Tuesday 18 June 2013

Re: [wanabidii] Tafadhali Usininukuu...

Busara na  Hekima za kweli zinapatikana katika moyo wa mtu aliye na hofu ya Mungu. Pia mtu  mwenye kujali watu wengine kama anavyojijali yeye
 
mwenyewe;huyo ndiye anaweza kutanguliza Busara na Hekima za hali ya juu.Mungu atuhurumie taifa letu liko katika wakati wa giza nene.

 
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, June 18, 2013 5:47 PM
Subject: [wanabidii] Tafadhali Usininukuu...


"Katika wakati tulio nao sasa, kwa viongozi wa siasa na dini, haitoshi tu kutanguliza busara na hekima, bali, kutanguliza busara na hekima za hali ya juu."

Maggid Mjengwa,

Iringa.

0754 678 252
http://mjengwablog.com/
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment