Wednesday 19 June 2013

Re: [wanabidii] Re: Mbunge wa Arusha Mjini Apigwa na Kupoteza Fahamu

wazee musihangaike kukanusha kama kuna ukweli mbona kwa technologia ya leo kila kitu kitaanikwa, muwongo atajulikana. Nachelea kusema ni ukweli au uwongo kwa sababu yapo matukio mengi ambapo vyombo vya serikali ukimbilia kukanusha lakini baadaye uumbuka kama mauji ya Mwangosi, kuteswa kwa Dr.Ulimboka, maandamano na fujo za Gesi Mtwara na mengine mengi. Wewe unayesema ni uwongo ebu twambie aliyerusha bomu kwenye mkutano wa Chadema. Maana ili useme kitu fulani ni uwongo bila shaka ukweli unaujua, twambie. Napata shida sana kujua ni chanzo kipi kinatoa taarifa sahihi maana chanzo chetu kikuu ni polisi  ambayo imekwishatuadaa mara kadhaa na hivyo si rahisi kukiamini kama hakuna ushahidi wa ziada

2013/6/19 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Stey.
CHADEMA ama serikali kupitia cha cha Mapinduzi? Kama kuna kitu  ambacho huwa nakasirika kwa wepesi ni kitendo cha mtu kukana jambo kwakuwa ananguvu fulani.
Tukishuhudia jambo halafu anakuja polisi au kiongozi wa ccm analikanusha na kupachika usiasa hapo namchukia hatakama ninampenda.

--- On Wed, 6/19/13, Steven Stey <parokostey@gmail.com> wrote:

From: Steven Stey <parokostey@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mbunge wa Arusha Mjini Apigwa na Kupoteza Fahamu
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 19, 2013, 3:13 AM

Kinacho  fanywa    na   CHadema  nikuwajaza watu hasira  kwakutumia kila hila, ila mwisho   wa siku mbinu hiyo hiyo   ina warudia

2013/6/19 Steven Stey <parokostey@gmail.com>
We  taarifa   hizi  umezipata  wapi  wakati  upo nje   angalieni   midomo   uchochezi   unaofanywa    na Chadema  iko siku utawahusu   , mimi  naweza kuapa  nasari  hajapigwa nipo  eneo la tukio kapiga yeye tena   mlemavu   tunaomba     mje  kufanya  uchunguzi Makuyuni,Lema    pia  mzushi

On Wed, Jun 19, 2013 at 1:04 PM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
Mungu yupo na wote wanaofanya haya watalipwa hapa hapa duniani, kwa nini jeshi la polisi linafanya unyama huu? Ni vizuri kuweka kumbukumbu sahihi ili baadaye wakajibu kesi zao. Wajue kwamba nguvu waliyonayo leo kesho itakuwa mikononi mwa wengine. The should be reminded that there is no permanent situation under the sun.

2013/6/19 <robert00caroli@gmail.com>

On Saturday, December 18, 2010 1:31:03 PM UTC+3, Ulanga Ally wrote:
> Mbunge lema amepigwa na polisi mpaka kupoteza fahamu na bila hata
>
> haibu wamemfungia chumbani , IGP na viongozi wa juu wa polisi wapo
>
> Arusha na baada ya kupata taarifa hizi wameacha kupokea simu.

HII NI TANZANIA ILIYO KUWA NCI YA AMANI? HIINDIYO NCHI TULIYO IRIDHI KUTOKA KWA SHUJAA WETU MWENYE HERI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE? NI AIBU ISIYOKUWA NA KIFANI HADI KUFIKIA KUDHALILISHWA KWA TUNU BORA ZA NCHI WATU WANAUWAWA KAMA MBUZI HADI KUFIKIA MBUNGE KUPIGWA KUNA UHARARI? SERIKALI IMEENDA WAPI?SERIKALI INAMPANGO GNI NA RAIA WAKE? SERIKALI TAFAKARINI UPYA WANA NCHI HATUWAELEWI ASLANI.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment