Monday 17 June 2013

Re: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?

Asante sana chief Muganda, ni hapo ndipo mazungumzo endelevu yanapotakiwa kwani Kagame alipokimbilia Uganda na wazazi wake wa ukoo wa kifalme mwaka huo 1959, wazo la kulipa kizazi lilitawala.

Iwapo viongozi wa wakati huo wangefanya mazungumzo tena kwa nia safi na wakimbizi wa Kitutsi waliokimbia Uganda au wale waliokwenda Mwese, Mpanda enzi hizo Rukwa, watu hawa wangerejea makwao ila mtutu wa bunduki za RPA.

Sasa RPA na Kagame wamechukua nchi, hudhani kwamba wanapaswa kukomesha kabisa ile roho ya kisasi iliyomo kwa Wahutu 'waliowapisha' nchi mwaka 1994?

Kuendela kukaa na maadui wa nje waliopania kurudi hata kwa nguvu ni hatari sana na wala sioni kama jeshi la Rwanda litafanikiwa kuwamaliza (maana hilo ndilo lengo) wote na hivyo kumaliza pia roho ya kisasi kwa watu hawa.

Kaka Muganda, Mpende Adui yako... mazungumzo yafanyike na ikiwezekana vijana wa Kihutu wanaoingia FDLR kwa sasa wapatiwe mafunzo ya kizalendo na kuondoa hamu ya kulipiza kisasa. Kikwete huenda alikuwa akidhani namna hii!
Asante

2013/6/17 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Joe Beda,
Kwa kujibu swali lako nitakuuliza swali moja tu. Kipi kilichopelekea Kagame familia yake na wale wote kuwa wakimbizi nje ya
Rwanda kuanzia 1959? Je, Kagame na RPF ni Wanyarwanda? Ulitaka waishi makimbizini Uganda kwa generations ngapi?
Hata Wayahudi walirudi kwenye ardhi yao baada ya karne nyingi wakitangatanga ulimwenguni.
Asante.
em

2013/6/17 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
Asante sana mwalimu wangu Nyaronyo Kicheere kutoka Tungi, Kigamboni. Nilikuwa nina wazo hilo hilo lakini sikutaka kumlaumu Abdallah bali FREDERICK GOLOOBA-MUTEBI, mtafiti wa Kampala aliyeandika story hiyo, pamoja na Editor wa VOA wa wakati ule.

Kwa Fred alinikera aliuposema kwamba JK angewaambia Israel wazungumza na NAZI angeuawa pale pale! Mpuuzu kabisa! hivi anamchukuliaje mkwere?

Ugomvi wa JEWS na NAZI ni tofauti sana na huu wa Rwanda na unakwenda unakwisha kutokana na wakati kwani hawa si wa nchi moja na hakuna namna JEWS watagombea kurudi Ujerumani; tofauti na FDLR ambao wao kwao ni Rwanda na ipo siku watarudi tu.

Kagame, Wanyarwanda, FREDERICK GOLOOBA-MUTEBI, na Muganda hawataki kuzungumza na watu ambao nao Rwanda ni kwao. Mbona Wapalestina na hao hao JEWS wamekuwa kwenye mazungumzo miaka na miaka na ipo miakataba kadhaa ya amani pamoja na maazimio ya UN?

Hebu Mhariri wa VOA atuambie genocide ilikuwa wapi wakati Habyarimana akiitawala Rwanda (1973 - 1994) kabla ya kuanzishwa kwa RPA (sasa RPF) ya Fred Rwigyema na Kagame?

Miaka hiyo 21 angeendesha genocide kwa ethnic moja nadhani hata msamiati huo ungebadilishwa jina! Hakuna anayefurahia mauaji ya 1994 lakini mazungumzo ni lazima kama si Kagame, basi mrithi wake.

Joe Beda

On Mon, Jun 17, 2013 at 11:16 PM, A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com> wrote:
Asante mse wa Tungi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyu Muganda na kina Masanja wanatuletea porojo na longolongo ambazo hata mtoto mchanga hatokubalianan nao.....Bravo and well spoken Nyaronyo mzee wa Tungi

From: nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 17, 2013 11:12 PM

Subject: Re: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?

bandugu;
att. masanja;
iam sorry to say this, i mean i am sorry to support jakaya kikwete, so sorry, but i have to do it because you are lying!
1. wamerekani wanazungumza na al qaeda sasa hivi na ndicho chanzo cha kutofautiana na karzai, yeye akihofia watamsaidilaini katika mazungumzo hayo.
2. israel inawawinda manazi walioshiriki kutesa na kuua wayahudi si kila mtu mnazi aliyeshiriki vita kuu ya pili ya dunia upande wa hitler
3. tofauti na manazi wanaowindwa na israel rwanda inakataa kukaa meza moja na jeshi lote la fdrl! kwani jeshi lote la fdrl lilishiriki mauaji ya 1994?
4. you guys wakati mwingine tutumie hekima, kwani ni kila askari wa tanzania aliyekwenda uganda aliua mganda? nauliza ni kila askari wa fdrl aliua?
5. kama hivyo sivyo kwa nini rwanda ikatae kuzungumza na woote?
6. tutumie vichwa vyetu pia, askari wa fdrl walikuwa na umri wa wastani wa miaka mingapi 1994? je hawajazeeka? je watoto wao walijiunga na jeshi gani? je hata watoto wao ambao walikuwa wadogo 1994 na leo ni wakubwa na pengine wamepata ukamanda nao tusijadiliane nao kwa sababu ni watoto wa fdrl walioua 1994? nonsensical; nasema ni upuuzi kwa rwanda, ni upuuzi kwa kagame, ni upuuzi kwa yeyote anayesapoti hoja kama hiyo eti mtu akifanya kosa kubwa kama la genocide hakuna kuzungmza naye, watoto wake na yeyote aliyekuwa naye pamoja hata kama hao walikokuwa naye hawakushiriki mauaji!
7. nawaomba mnaomchukia kikwete kwa sababu ambazo ni dhahiri mkubali pale anapopatia jambo hata kama ni dogo au halina manufaa ya moja kwa moja kwenu
8. mimi nasema na kusisitiza HAKUNA KUOMBA MSAMAHA KWA KAGAME AU KWA RWANDA AU KWA MTUSI YEYOTE YULE 
give credit where it is due. mkwere angalau kwa hili moja has made me proud. rwanda na kagame hawawezi kukaa miaka nenda rudi hawazungumzi na fdrl huku fdrl wanazaa huko congo na watusi wa kagame wanazaa huko rwanda na mwiko unabaki pale pale hakuna kuzungumza kana kwamba hawa wa leo ndio wale waliouana 1994 mbona kagame hajahukumiwa kwa ushiriki wake katika genocide ile????????????????????
kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory - hq dodoma

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 17, 2013 5:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?

Elisa,
Naomba kutofautiana na wewe. Mauaji ya Rwanda yalianza miezi mingi hata kabla ya kutunguliwa kwa ndege ya marais wa Rwanda na Burundi. Nakumbuka hata wakati majadiliano ya Rwanda yalipokuwa yakiendelea Tanzania chini ya rais Mwinyi, Mwalimu Nyerere alimtumia ujumbe Mwinyi amseme rais wa Rwanda juu ya mauaji yaliyokuwa yanafanyika Kigali wakati huo ambapo mazungumzo yalikuwa yanafanyika. Kufikia wakati ndege ya rais wa Rwanda inatunguliwa (naamini kitendo hicho kilifanywa na hardliners katika jeshi lake ambao walikuwa hawataki kusikia makubaliano yoyote na RPF) usiku huo huo mauaji yalisambaa. Hayakuwa random. Yalipangwa.
em

On Mon, Jun 17, 2013 at 10:18 AM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Masanja. Wacha ukandamizaji hapa.
Mauaji ya Rwanda 1994 HAYAKUANZA KWA MAUAJI YA WATUTSI. yALIANZA KWA MAUAJI YA mARAIS WAWILI WA rWANBDA NA bURUNDI.
Huwezi kuanzia katikati ukaelewa chapter ya kitabu. Anzia Mwanzao. Kukundi cha kigaidi kikiitwa RPF kilikuwa kinapigana Rwanda kikitokea Uganda. Serikasli ya Rwanda chini ya Habyalimana ilikubaliana kuongea nacho. kwanini baada ya kikundi chenyewe kuindia madarakani kisikubali kuongea na kikundi kingine. Nakumbuka zamani fulani Rais El Nimeri wa Sudani aliwahi kukemea mapinduzi ya kijeshi. Nyerere alimshangaa kwa sababu yeye aliingia kwa mapinduzi.
Iwe Kikwete ameongea na FDLR au hakuongea nao pendekezo lake ni valid. Watanzania tusipoungana nyuma ya Rais Kikwete katika hili tutakuwa wa ajabu
La msingi t8usianzie katikati tuanze mwanzo mauaji ya Rwanda ya 1994 hayakuanza kwa mauaji ya watutsi ila kwa mauaji ya Marais wawili. Nani aliyewaua? Ni mazungumzio ya RPF na FDLR (wote wanyarwanda) ndiyo yataweza kuonyesha ukweli. Bila hilo mnaendeleea kumsikiliza muuaji mmoja tu na anawazubaisha msimsikilize muuaji mwenzake

--- On Mon, 6/17/13, Albert Masanja <albertmasanja@gmail.com> wrote:

From: Albert Masanja <albertmasanja@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, June 17, 2013, 6:44 AM

I concur with Frederick Golooba-Mutebi ideas.
Let me put this way: When did President Kikwete received a request from FDLR to negotiate with Rwanda? The answer to this question is simple: Kikwete visited France this year and as evidence that he was told to forward the idea (as France is well established of its accomplice role in 1994 genocide in Rwanda), the Radio France Internationale (RFI) asked President Kikwete after a summit. This means that they already knew what Kikwete stated in the summit or in other words, they wanted to confirm if he said what he was supposed to say.
Rwanda as an independent country has refused Kikwete's uninvited advise. Why in the hell does Kikwete thru Membe insist??!!
I was discussing with a group of people. We come to agree that, Rwanda as our neighbour deserves respect especially when it comes to what happened in their country in 1994. Tanzania has no moral authority to tell Rwanda to talk to the same group of people who still have such ideology of coming back to finish unfinished business, that is killing the remaining Tutsis.
We came to conclusion that, if President Kikwete would have told Israel to talk to Nazis as they have been looking for them for the past 60 years, we would be sure that despite having security personnel to protect him, he would have died by now. second, if he will tells President Obama to talk to Al-Qaeeda as they have been fighting them for more than 20 years without a win then, we can say that there is no double standard in handling terrorists.
Moreover, it is clear that he is now looking for SADC support though they (SADC) didn't tell him to give such a statement. Surprising, the SADC is trapped in Kikwete's statement. As a regional block, it is not supposed to discuss non-member state. They would have either invited non-member or they engage the non-member diplomatically. SADC approach is bad precedence to other regional groupings as it will open uncalled interference in groupings hence threatening sovereign decisions.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment