Monday 17 June 2013

Re: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?

Muganda na mie natofautiana na wewe.
Kwani waliokuwa wanauliwa si walikua wahutu na watusi?. Maana RPF walikuwa wanaua, Serikali ya wahutu nayo pia ilikuwa inua. Lakini twambie ukweli, usipepese macho wala kumumunya maneno, mauaji ya kimbali si yalitokea baada ya kuuliwa kwa marais wale?--acha  ushabiki..kuwa mkweli
Pili: Nani kakwambia Marais wale waliuliwa na hardliners wa kihutu? una ushahidi gani usiokuwa na shaka?--usikalili msimamo wa RPF. Na je wale wanaosema kuwa maraisi wale waliuliwa na RPF baada ya kuona Habyarimana anawapotesea muda na hataki kutoka madarakani?--nao wakisema wana ushahidi?

Ushauri wangu haya mambo ya Rwanda sio ya kushabikia sana kwani wao wenyewe ndio wanajua fika siri na story yao kamili.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 17, 2013 5:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?

Elisa,
Naomba kutofautiana na wewe. Mauaji ya Rwanda yalianza miezi mingi hata kabla ya kutunguliwa kwa ndege ya marais wa Rwanda na Burundi. Nakumbuka hata wakati majadiliano ya Rwanda yalipokuwa yakiendelea Tanzania chini ya rais Mwinyi, Mwalimu Nyerere alimtumia ujumbe Mwinyi amseme rais wa Rwanda juu ya mauaji yaliyokuwa yanafanyika Kigali wakati huo ambapo mazungumzo yalikuwa yanafanyika. Kufikia wakati ndege ya rais wa Rwanda inatunguliwa (naamini kitendo hicho kilifanywa na hardliners katika jeshi lake ambao walikuwa hawataki kusikia makubaliano yoyote na RPF) usiku huo huo mauaji yalisambaa. Hayakuwa random. Yalipangwa.
em

On Mon, Jun 17, 2013 at 10:18 AM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Masanja. Wacha ukandamizaji hapa.
Mauaji ya Rwanda 1994 HAYAKUANZA KWA MAUAJI YA WATUTSI. yALIANZA KWA MAUAJI YA mARAIS WAWILI WA rWANBDA NA bURUNDI.
Huwezi kuanzia katikati ukaelewa chapter ya kitabu. Anzia Mwanzao. Kukundi cha kigaidi kikiitwa RPF kilikuwa kinapigana Rwanda kikitokea Uganda. Serikasli ya Rwanda chini ya Habyalimana ilikubaliana kuongea nacho. kwanini baada ya kikundi chenyewe kuindia madarakani kisikubali kuongea na kikundi kingine. Nakumbuka zamani fulani Rais El Nimeri wa Sudani aliwahi kukemea mapinduzi ya kijeshi. Nyerere alimshangaa kwa sababu yeye aliingia kwa mapinduzi.
Iwe Kikwete ameongea na FDLR au hakuongea nao pendekezo lake ni valid. Watanzania tusipoungana nyuma ya Rais Kikwete katika hili tutakuwa wa ajabu
La msingi t8usianzie katikati tuanze mwanzo mauaji ya Rwanda ya 1994 hayakuanza kwa mauaji ya watutsi ila kwa mauaji ya Marais wawili. Nani aliyewaua? Ni mazungumzio ya RPF na FDLR (wote wanyarwanda) ndiyo yataweza kuonyesha ukweli. Bila hilo mnaendeleea kumsikiliza muuaji mmoja tu na anawazubaisha msimsikilize muuaji mwenzake

--- On Mon, 6/17/13, Albert Masanja <albertmasanja@gmail.com> wrote:

From: Albert Masanja <albertmasanja@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Kikwete in Trouble Over FDLR, but Does He Really Understand Who They Are?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, June 17, 2013, 6:44 AM

I concur with Frederick Golooba-Mutebi ideas.
Let me put this way: When did President Kikwete received a request from FDLR to negotiate with Rwanda? The answer to this question is simple: Kikwete visited France this year and as evidence that he was told to forward the idea (as France is well established of its accomplice role in 1994 genocide in Rwanda), the Radio France Internationale (RFI) asked President Kikwete after a summit. This means that they already knew what Kikwete stated in the summit or in other words, they wanted to confirm if he said what he was supposed to say.
Rwanda as an independent country has refused Kikwete's uninvited advise. Why in the hell does Kikwete thru Membe insist??!!
I was discussing with a group of people. We come to agree that, Rwanda as our neighbour deserves respect especially when it comes to what happened in their country in 1994. Tanzania has no moral authority to tell Rwanda to talk to the same group of people who still have such ideology of coming back to finish unfinished business, that is killing the remaining Tutsis.
We came to conclusion that, if President Kikwete would have told Israel to talk to Nazis as they have been looking for them for the past 60 years, we would be sure that despite having security personnel to protect him, he would have died by now. second, if he will tells President Obama to talk to Al-Qaeeda as they have been fighting them for more than 20 years without a win then, we can say that there is no double standard in handling terrorists.
Moreover, it is clear that he is now looking for SADC support though they (SADC) didn't tell him to give such a statement. Surprising, the SADC is trapped in Kikwete's statement. As a regional block, it is not supposed to discuss non-member state. They would have either invited non-member or they engage the non-member diplomatically. SADC approach is bad precedence to other regional groupings as it will open uncalled interference in groupings hence threatening sovereign decisions.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment