Saturday 8 June 2013

Re: [wanabidii] Re: How many squires do you see?

Anna uko sahihi
Huwa tunapenda kuzarau vitu na kuona kama ujinga ila baadae tunakuja kujuta kwa nini hatukutulia na kufanya maamuzi yenye busara
mpaka sasa sijapata hata jibu moja labda watu hawataki kusumbua vichwa vyao, na hawaoni kwa nini wasumbuke.
Hii tabia ya kutotaka kusumbuka imeingia kuanzia wanasiasa mpaka wanafunzi mashuleni, kila kitu wanataka kirahisi, hesabu za kuchagua majibu na siyo kufikiri hii inafisha uwezo wa akili zetu kufanya kazi.
Mikataba tumewaachia wageni yaani wawekezaji watuandikie sisi ni kuweka sahihi tu huku tunapigiwa makofi ila kilicho ndani hatukizingatii, baadae tunanyonywa ndo tunakurupuka ooo haiwezekani tunavunja mkataba na jamaa wakienda mahakamani tunaishia kushindwa kesi.
Tunahitaji watu wanaoweza kusugua vichwa vyao na sio wale wanaotaka vitu rahisi.

wandugu naombeni jibu kuna squire ngapi ulizozihesabu?

Nasubiri majibu

2013/6/8 anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
Tumejizoesha kusoma vitu virahisi. Hapo kama utapata majibu hayatazidi kumi! Na viongozi wetu wao, kazi kubwa kusema tu! sijui hata taaluma zao kama wanakumbuka tena! nawaza kwanguvu tu!

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, June 8, 2013 7:27 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: How many squires do you see?

Maduhu,
Unaweza kuona kama kutafuta hizo squire ni ujinga
Lakini inahitaji kutulia sana, kuangalia kwa kurupuka utakosa jibu na hapo ndo wenzetu wanatuchenga
Mikataba inaonekana mizuri na viongozi wetu wanaingia ila ukitulia zaidi utakuja kugundua sivyo vile inavyoonyesha
Mf. unaweza ona squire chache kumbe ziko nyingi, mie nafikiri unipe jibu kisha nitajua kama ulitulia au bado unahitaji kutulia zaidi hasa unapokabiliwa na jambo la msingi mbele yako.(rasimu ya katiba imetoka unajua undani wake au tunaona tu ni nzuri? inahitaji kutulia sana kujua undani wake kuliko kuona juu juu tu)

Ndugu inahitaji kutulia sana ili uweze kutoa jibu sahihi na hicho ndicho ninachokitamani kwa viongozi wetu na wananchi kwa ujumla.
Hakili isipozoezwa kutulia na kutafakari huwa inakurupuka na kuamua mambo ya msingi kwa juu juu, tafadhali naomba mtulie japo dakika 5 angalia kisha nitumieni jibu

asante

kitigwa

On Fri, Jun 7, 2013 at 8:28 PM, maduhu ruben <mrmaduhu@gmail.com> wrote:
hizi squre nazo zinaweza kutusaidia kuleta mabadiliko jaman mi nazani wengine mngebaki facebook tu

On Friday, June 7, 2013 4:45:53 PM UTC+4, wambura kitigwa wrote:
for engineers

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment