Tuesday 18 June 2013

Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

napendekeza twende polepole.
Ni mbaya sana kama ikigundulika sio FFU waliorusha bomu hilo kama ilivyo mbaya sana ikigundulika kuwa ni wao. nafikiri Mbowe aharakishe kudhibitisha hilo na kama wameona vibaya vielelezo aeleze. Hili taifa tunalipeleka wapi?
Bado siamini mimi kuwa askari wa FFU amefanya hivyo. Alivaa kiraia au kikazi? Hii haiwezi kutafsiliwa kama ya Mwangozi. Ni Ugaidi wa moja kwa moja na Serikali inapaswa kumshughulikia haraka kuliko inavyomshughulikia RPC wa Iringa wakati huo. Sidhani na sitegemei kama kweli askali amehusika wazi hivyo. jamani! Tuwe waangalifu.

--- On Tue, 6/18/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, June 18, 2013, 4:08 AM

Hivi hao mafidhuli na wauaji wenye uchu wa kuwaibia watanzania milele yote wanafikiri yaliyotokea Rwanda na Burundi yalianzaje? Machafuko yanaanzishwa namna hii, pale nguruwe waliovaa ngozi ya binadamu wanapoamua kuwafanya binadamu wenzao kuwa nguruwe kama wao. Wajue wao ni wachache na watanzania wapenda amani tuko wengi, siku zao zilizobaki si nyingi watatiwa mbaroni na kupewa haki yao wanayoitafuta

2013/6/17 Dickson Greyson <dickchiller@yahoo.com>
loading.....

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 17, 2013 11:14 AM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

Mwigulu, Lameck sijui nani Mchemba.
Kama hiki kilichoandikwa hapa ni kweli, namuomba Mungu asikuchukua mapema, lakini uishi katika mateso sikuzote za maisha yako yaliyobakia hapa duniani, mpaka, watoto ambao baba yao au zao waliopoteza maisha watakapopata nafasi ya kukuhurumia au kukuonjesha uchungu wao. Maumivu yasikuishe mpaka kila aliyefiwa na mwana aweze kukuonjesha uchungu wa mwana ulivyo.

--- On Mon, 6/17/13, Paulo lunyalula <ngwananzela@yahoo.com> wrote:

From: Paulo lunyalula <ngwananzela@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 17, 2013, 12:29 AM

not understanding this, are we now plotting such kind of strategy to acquire power? this is disaster to our country my fellow brothers and sisters, what is so special in Arusha City, is it Lema or something hidden? comrade I need you help in order to know what exactly of all this.
regards,
Paulo.

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, June 16, 2013 4:09 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

Kama kambi za mafunzo ya kijeshi zinatengenezwa  hata hizi njama zingine zitakuwepo tu

2013/6/15 Samwel Olenaiko <solenaiko@hotmail.com>
 Hii habari imesambazwa sana. inasemekana moja ya wana Usalama nidye msambazaji. Kila inapopostiwa Jamiiforums, MODS wan Jamani kama huyu ndiye Mwigulu, basi ni bora akamatwe

FYI.......................
Wili iliyopita Niliweka habari ambayo ilikuwa ni moja ya mbinu chafu za CCM lakini Mods Waliiondoa ghafla. Niliwaambia waziwazi habari za kiinteligensia ambazo Mwigulu Nchemba alizisimamia.
Katika kikao hicho ambacho kilihudhuriwa na Mkuu wa mkoa, usalama taifa wawili pamoja na makada watatu wa CCM Juliana Shonza na Mwigulu Nchemba. Jumla ilikuwa watu 8. Haya mambo ilikuwa ni katika kukidhoofisha CHADEMA katika uchaguzi unaokuja. Tukio la leo halikujadiliwa ila kikubwa ilikuwa ni kumhusisha Lema na Mauaji. Na kisha mupoteza moja kwa moja
 
Mpango ilikuwa ni kwamba, polisi wamkamate kibaka, kisha wamvalishe sare za makamanda wa UVCCM. Baada ya kukamatwa akatwe katwe mapanga, damu yake na simu wapewe polisi ambao wangemfuata Lema na kuyapandikiza ndani ya gari lake (yaani kwenye boot ya gari lake pindi angefuatwa) baadaye mwili wa marehemu ungetupwa barabarani eneo la Kimandolu. Lengo ilikuwa ni kuwapa wananchi sababu ya kutokuichagua CDM. Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo Mwigulu amezisomea UCHINA.
 
Bomu lilijadiliwa lakini halikupewa kipaumbele, nashangaa ndio iliyotumika. Mtu wa kwanza kuhojiwa hapa ni Mwigulu Nchemba. Kati ya hawa watu nane nilikuwepo. Mkuu wa mkoa Arusha naye aandike Statement kuhusiana na hili tukio…..
 
Mods Tafadhali msiondoe hi thredi. Naombeni muiunganishe na ile ya Arusha……

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment