Pole sana matanda. Ninajua humaanishi bali unatania. Kama unamaanisha basi ninaomba TGNP na TAMWA, WLAC, WAT, na TAWLA wakuangalie wakusake wakukamate maana unaendeleza gender-based violence. Nanyi ndio maana mnaogopa kulala ktk Insecticide Mosquito Treated Nets (ITNS) sinazotolewa bure na GVT ili muendelee kulima konde mpendavyo. Agano jipya limebadili uonevu mwingi uliomo ktk agano la kale. Fahamu kwamba, ute wa eneo la anus umewekwa kwa matumizi mengine. Wewe unakwenda kuuchimba na kuuingiza na uchafu wa kinyesi katika njia yako (urethra) ya mkojo na mambo mengine. Baada ya miaka kadhaa mkojo unaziba, unapata matatizo mengi uende ukachokonolewe usafishe na mwishowe uwe unatembea na mfuko wa mkojo na tube kutolea haja ndogo kupitia mrija kuingia ktk fuko tumboni. Na huo mfuko utakavyokuwa umetuna tumboni, ukipanda daladala au kutembea ulipo-vibaka watadhania ni pochi ya hela za M-pesa umeficha hapo, watauvuta na kukimbia nao. wapo vibaka wanaoiba mikoba ya akina mama jinsi hiyo wanakuta kabeba kichesi cha kichanga chage. Utapata tabu vibaya sana na utajutia uchafu huu wa Tigo. Fahamu kuwa-njia yako ni moja kwa shughuli zote za haja ya mkojo na haja nyingine. Hivyo mwili wako upo delicate. Ukipata STDs kila mara na kutumia kinyume ya maumbile kuongeza uchafu urethra unaipa mzigo mkubwa wa kuwa na scars za STDs na mauchafu mengine-itakula kwako!! Kama uchafu huo mzuri kwa nini waliofanya na wasichana kabla ya ndoa alipotaka kuoa hakumuoa huyo pamoja na kumuahidi kuwa awkifanya hivyo atamuoa maana ndio yeye anapenda? Utafiti wetu uliona hivi. Mila ya mwafrika ina mazuri mengi ukiondoa yale machache yaliyopo ya ndoa za umri mdogo, kuvunja ubikira umri mdogo na kutanua uke (mwemba, esoto etc), wife/husband inheritance (sasa kuna ukimwi) na mengineyo. Binafsi-ni vema kwa sasa waafrika tukawa wazi kwa watoto na jamaa zetu na wenzetu kuwaeleza wazi uzuri na ubaya wa mambo yanayozuka sasa ambayo yanaharibu mahusiano, afya na kuwa kinyume na mila na haki za binadamu. --- On Wed, 5/6/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment