Sunday 9 June 2013

Re: [wanabidii] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...

Mara zote wachezaji wanapofanyiwa sherehe au kusifiwa sana kabla ya mchezo huwa tunaishia kufungwa au kushindwa
waachwe wafanye shughuli yao kwanza sifa zije baadae
Jana kwa kweli tulikuwa na uwezo wa kuwafunga maana samata na ulimwengu walikosa magori wakiwa wamebaki wao na kipa
La pili tunapoanza kuwa walalamishi ooh tunaonewa, tunafanyiwa hujuma mambo kama hayo huwa tunajenga kushindwa ndani yetu na kuona hatutatendewa haki uwanjani.
Hebu tujifunze kuwa fitina ni sehemu ya mchezo ifike mahali hata tufanyiwe fitna namna gani bado tutatulia na kutimiza wajibu wetu,
wachezaji wajifunze kutulia kutoka kwa mawakili, wanapokuwa kazini wanahakikisha wanakuchanganya ili kurahisisha kazi yao

Ila wasife moyo nafasi bado ipo

2013/6/9 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Asante sana kaka Felix,

Hilo la kuwajenga wachezaji wetu kisaikolojia ni muhimu sana. Tusianze sasa kuwaahidi zawadi hii na ile bali kuwajenga wachezaji wetu waweze kulitambua jukumu lao la kulipigia taifa hata bila kuahidiwa zawadi.

2013/6/9 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Maggid,

Ni kweli, ile red card ya mapema pamoja na penalty ilivuruga akili ya wachezaji, tulipoteza mchezo pale Ulimwengu alipokosa goli akiwa na kipa ndani ya sita,ilikuwa la kuijenga timu kisaikolojia, wangejiamini zaidi. Kumtoa Ulimwengu lilikuwa kosa jingine la kiufundi, kwani katika michezo yote ya Taifa Stars, Samatta huwa mwimba anapocheza sambamba na Ulimwengu, wanaelewana vizuri.

Pamoja na yote bado nafasi tunayo tukitumia vizuri michezo miwili iliyobaki, tupambane hadi dakika ya mwisho, la msingi ni kuwajenga vijana kisaikolojia, hizi sherehe za kabla kufika mwisho hutugharimu kila wakati na hatujifunzi.

Felix

2013/6/9 moses sagika <sagikamoses@yahoo.com>
Kweli mkuu lakin bado tuna nafasi ya kwenda Brazil kwani tuna kibindo cha magoli mengi mzee

--- On Sat, 6/8/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 8, 2013, 11:49 PM

Ndugu zangu,
Njia yetu kwenye safari ya kwenda Brazil jana usiku imewekewa mlima na jamaa zetu wa Morocco.  Niliuangalia mchezo mzima. Nilisikitika sana, kuwa, tulikuwa na bahati mbaya sana ya mchezaji wetu kupigwa red card kwenye kipindi cha kwanza na  jamaa zetu wa Morocco kwenda mapumziko na goli moja mfukoni.
Niliiona hali ya kuchanganyikiwa kwenye benchi letu la ufundi. Na kosa kubwa lilikuwa kumtoa Ulimwengu. Ujumbe ulitumwa  uwanjani  kuwa sasa tunajihami zaidi. Ni kosa. Kulichangia kushindwa kwetu, maana, Morocco kwa jana hawakutisha kabisa. Tulitakiwa  kujiamini na kuthubutu kuwashambulia badala ya kufikiri kujihami zaidi. Naam, jana tumeshindwa.
 Tafsiri yake?
 
Kandanda ina miujiza yake na imetokea zaidi ya mara elfu moja.  Na inavyoonekana kwenye karatasi... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3177-morocco-wametuwekea-mlima-jangwani-hivi-ndivyo-tutakavyoupanda.html#.UbQlX5yNCAg
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment