Sunday 9 June 2013

Re: [wanabidii] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...

Kweli mkuu lakin bado tuna nafasi ya kwenda Brazil kwani tuna kibindo cha magoli mengi mzee

--- On Sat, 6/8/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 8, 2013, 11:49 PM

Ndugu zangu,
Njia yetu kwenye safari ya kwenda Brazil jana usiku imewekewa mlima na jamaa zetu wa Morocco.  Niliuangalia mchezo mzima. Nilisikitika sana, kuwa, tulikuwa na bahati mbaya sana ya mchezaji wetu kupigwa red card kwenye kipindi cha kwanza na  jamaa zetu wa Morocco kwenda mapumziko na goli moja mfukoni.
Niliiona hali ya kuchanganyikiwa kwenye benchi letu la ufundi. Na kosa kubwa lilikuwa kumtoa Ulimwengu. Ujumbe ulitumwa  uwanjani  kuwa sasa tunajihami zaidi. Ni kosa. Kulichangia kushindwa kwetu, maana, Morocco kwa jana hawakutisha kabisa. Tulitakiwa  kujiamini na kuthubutu kuwashambulia badala ya kufikiri kujihami zaidi. Naam, jana tumeshindwa.
 Tafsiri yake?
 
Kandanda ina miujiza yake na imetokea zaidi ya mara elfu moja.  Na inavyoonekana kwenye karatasi... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3177-morocco-wametuwekea-mlima-jangwani-hivi-ndivyo-tutakavyoupanda.html#.UbQlX5yNCAg
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment