Ndugu isack Utagundua tokea siku ya tukio, nikiandika simtaji huyo, kwasababu nimemuondoa katika horodha ya watu wenye hisia za kibinadamu. Kijana mdogo anaropoka kama m............v. Naahidi kamwe sitampa mkono huyo ndugu mpaka mwisho wa maisha yangu. Anafanya masihara na kifo, vifo vya watoto? --- On Tue, 6/18/13, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote: From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, June 18, 2013, 4:46 AM
GOOD PEOPLE,
Mimi kilichonisikitisha na kunishangaza ni kauli ya wanaemuita KATIBU MWENEZI ndg Nape Mnauye kwamba sakata la Arusha limefanywa na CHADEMA wenyewe!!! yaani viongozi hatuna waliopo ni walopokaji tu, mh how? yaani mimi hainiingii akilini kwamba CHADEMA walitaka kumuua mwenyekiti wao!!!!!?? kuua wanachama wao? aaah jamani yaani kiongozi wa ngazi za juu kwanza amefanya uchunguzi saa ngapi? wakati mwingine si lazima mtu aseme unaweza kunyamaza tu kama huna la kusema but hii ya NAPE ni aibu. Unaweza kuchukia watu lakini huwezi kuchukia watanzania wenzio kias hiki !! -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment