Tuesday 18 June 2013

RE: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU


 
Mauaji Arusha  na Kauli ya Lukuvi
Kauli ya Waziri Lukuvi ya eti urushwaji wa bomu kanisani kule Arusha ulifanana na urushwaji wa bomu  kwenye mkutano wa Chadema huko huko  Arusha kunahashiria serikali kuwa na ushahidi wa picha wa vitendo  hivyo vya kurushwa mabomu hayo au vipi? Sielewi mantiki  ya kauli hiyo!!  Na sasa ikija kutokea Mh. Mbowe akatoa ushaidi kuwa askari wa FFU ndiye aliyerusha bomu  mkutano wa Chadema   mantiki yake itakuwaje? Yaani si itakuwa na maana kuwa lile bomu la kanisani lilitupwa na askari wa FFU kama ili lililolenga kuwaua viongozi wa Chadema kwenye mkutano wao? Nauliza tu, jamani, nisaideni nielewe!!!
 
Halafu neno ugaidi limetumiwa katika matamshi kuelezea kilicho tokea kuhusu urushwaji wa bomu kanisani na kwenye mkutano  wa Chadema huko huko Arusha,  mantiki yake  ni nini?  Yaani kama Mh Mbowe  yu  anao ushaidi  wa askari wa  FFU kuhusika  ina maanisha  kumbe  askari wa FFU ndio wanaofanya vitendo vya ugaidi?  Kumbe si Waisalamu wenye eti  siasa kali, eti? Kumbe askari wa FFU wanatumiwa kuleta chuki  za kidini  zisizokuwepo? Hako kakundi serikalini kanakofanya hivyo kanafanya hivyo ili iweje  huko  mbele ya safari?
 
 Nimebaki na maswali mengi kichani yasiyo na majibu!!! Yaani  inawezekana kuna kakundi ndani ya CCM ambako kangetaka Chadema kifutwe  na wakati huo  huo  Wakristo wawachukie Waislamu kiasi kwamba  hawatataka Mwislamu yeyote kusimamishwa na CCM kugombea Urais , siyo? Maana yake kakundi haka kanataka Wakristo wa Tanzania wasema    mgombea  wa Urais  wa Kiislam hatumtaki tena,   siyo? Na wakati huo huo kanasema  Chaema kifutwe vile ni chamacha kigaidi, siyo?  Yaani huu  ndio mkakati kabambe  wa kukiwezesha   chama cha CCM  kubaki madarakani lakini huku nchi ikiongozwa na Rais Mkristo, siyo? Bila shaka  kwamaana hii lazima Rais atoke Tanzania Bara, kwa mara nyingine tena miaka 20 kwa mfururizo,  au siyo?  Yaani mkakati huu malengo yake inawezekana ni haya eti? Nauliza tu maswali, nisaidieni  nijue!!
 
Na hizi milioni 10 za atayetoa habari za kukamatwa kwa wanaofanya ugaidi huu  kwa nini asitangulie kupewa Mh. Mwingulu  Nchema ambaye amekuwa akituelezea  tangu mwakajana kuwa Chadema ni  chamacha  kigaidi  na ushaidi wa  uagaidi wanaoupanga anaona kinabidi kifutwe? Nauliza tu,  jamani, nisaidieni nielewe mantiki ya matamshi  na matendo ya seriakli yangu ya Tanzania tangu tukio hili baya la kutaka kutoa roho ya Mh Mbowe?!!!  Ama kweli, Mungu Ibariki Tanzania!!!

 Mwl Lwaitama 


Date: Tue, 18 Jun 2013 02:19:59 -0700
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
From: antihongo@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Yes who can remember (the thread) what I said when a grenade was hurled in church last month in Arusha. Go To archive and see that thread B4 you comment about Freeman Mbowe.....


2013/6/18 richard bahati <ribahati@gmail.com>

.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment