Tuesday 18 June 2013

Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Alete ushaidi kama walivyofanya kwa Mwangosiili tuamini.
Kama kweli Speaker kafanya kama nilivyosoma wakati lile lililoua mtu mmoja na maandamano ya Mtwara aliahirisha Bunge basi anastahili kuungama dhambi ya uitikadi kwa kutumia madaraka yake vibaya.

--- On Tue, 6/18/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Subject: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 18, 2013, 2:06 AM

.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment