Monday 10 June 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Kujiuzulu si kipimo cha kuwa mtu ana hatia, wakati mwingine ni kuonyesha uwajibikaji, kupisha uchunguzi ufanyike ili kuwa huru ni vizuri mtuhumiwa kujiuzulu. Mwinyi alijiuzulu wakati wa Nyerere akiwa waziri wa mambo ya Ndani baada ya uchunguzi akaonekana hana hatia. Je uchunguzi wa Lowasa umemtia nani na wapi hatiani? Kuna kesi gani mahakamani ambayo hata inaendelea? Kama una uhakika na tuhuma kama hizo ukiwa Mtanzania anayeheshimu haki zake, kwa nini wewe usimfungulie mashitaka ili kuainisha uovu wake na yeye atiwe hatiani? Tukijadili kwa facts inaleta maana zaidi kuliko kumshawishi mtu kukubaliana na mawazo yako wewe.

2013/6/10 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Mwl Lwaitama,

Fahamu kuwa Watanzania tu watu wa matukio, yanapopita hupotea na kila kitu chake nasi huanza mengine au kusubiri tukio jingine.

Leo hii tumesahau kuwa alipima mwenyewe, akajiona kuwa ana hatia, kisha akajiuzulu, hicho kitanzi hawezi kujikwamua!!!!

Jamani maamuzi ya serikali hayafanwi kupitia simu za mdomoni, kama ni hivyo basi itakuwa kali, kwani itarahisisha hata mikata kufanyika kwa nia hiyo hiyo.

Haya tukubali basi hana fedha ila ana ushawishi, jee tunawaamini vipi hao anaowashawishi, nia yao hasa ni nini kumwagia hayo mamilioni awapelekee Watanzania.

Felix

2013/6/10 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Dr Lwaiatama,let us think kwamba aliyehusika na kashfa ya Richmond ni Kikwete, na pengine ulikuwa ni mkakati wa makussudi kurudisha fedha iliyokopwa kwa wafanyabiashara fulani kwa ajili ya kusaidia kuendesha kampeni za kushinda uchaguzi.   Kama ungekuwa wewe ndio Lowasa by that time ungefanyaje? ungeamua kusemz tu kuwa mimi sihusiki bali anayehusikani JK au ungeamua kukaa kimya kwa mustakabali mwema wa taifa na siasa?....While responding to this,naomba uzingatie kuwa kwa kila kiongozi  anayeingia madarakani kwa taifa lolote lile,ni lazima gharama kubwa itumike,and how are you going to sponsor yourself?

Na,kuhusu Lowasa kusaidia kuwaweka watawala wa sasa madarakani, tuseme pengine Salim ndio angeingia madarakani,tp what extent hali ingekuwa tofauti na sasa? Nchi imepitia katika mitikisiko mingapi na Salim kwa nafasi yake hajawahi hata kusubutu kukemea chochote kile,je uchungu wake kwa watanzania uko wapi?

"Salim if is voluntarily complying with the current leadership to his favor,what is his special values to deserve important considerations in leadership?".

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 June 2013, 17:59
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

 Waliokaribu naye wamuulize  ENL atueleze kwa nini alisimamia  kuteuliwa  na baadaye kuchaguliwa kwa Mh Jakaya Kikwete mwaka  1995 na 2005 kwa njia zilizokuwa pamoja na kuwachafua washindani wengine wa Mh Kikwete kama Dr Salim Ahmed Salim na  Mh. Frederick Sumaye.  Pia muulize kama anaweza kuwaeleza Watanzania ilikuwaje yeye mtu msafi  hasiye na fedha bali ushwaishi wa hoja akajiuzuru Uwaziri Mkuu mwaka 2008 bila kutueleza  kwa uwazi  na ukweli ni nani hasa  aliyetuingiza kwenye hasara ya maisha kwa kuwapa mzigo akina Gire na Richmond yao? Yaani leo hii baada ya kuwabebesha mzigo  Watanzania kwa kushiriki kuwasimika  watawala hawa wa sasa leo anataka tumuamini  na kumpa fursa atawale au yeye au mteule wake mwingine. Ebu atueleze ilikuwaje  na sasa tumwelewe vipi hata kama ni kweli eti Mwl.  Nyerere alimuonea yeye na kuwa eti wala  hana fedha  bali  ni  msafi. Sisi wengine hatuna ubaya naye  kabisa na tunadhani anazo akili nyingi sana ila bado tunajiuliza maswali mengi kuhusu hao aliotupangia watutawale kwa miaka yote hii yangu 2005...anawakana au anatawakubali na anataka kuendeleza pale watakapoachia eh? Hata tukingolewa kucha na macho tutasema  kweli  na kuuliza maswali magumu daima!!!
Mwl. Lwaitama

Date: Fri, 7 Jun 2013 05:46:38 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com

I was just responding to EM's approval that EL has no maney but people. If this is true then nyerere was wrong in 1995

--- On Fri, 6/7/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, June 7, 2013, 5:32 AM

Nyerere was good but not perfect..

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 7 June 2013, 15:23
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Then Nyerere was wrong

--- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM

Yeah, right!
em

On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha....
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment