Tuesday 11 June 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Mr, Rupia tutajuaje kama fulani ana uchungu au ana uchu na nchi? Ni ngumu. Jambo moja ambalo mimi naliona na lililopo katika mjadala huu ni kwamba si wote wana vipaji vya uongozi hata kama wana ma-PHD, uongozi ni karama, ni zawadi ambayo mtu anazaliwa nayo hata kama angekuwa amemaliza tu form four. Sasa kuna viongozi ambao wana kitu kinaitwa natural charisma, ambao maneno machache tu yanafanya kila mtu atake kujua fulani kaongea nini. Moja wapo wa viongozi hao ni kama Obama, (Nyerere, Mandela...... )sio kivile ni hali halisi za wakati ule kwa kuwa tu alikaa gerezazi sana wananchi wakasympathise au akina Nyerere kwa kuwa kulikuwa hakuna comparable, but they were never stars. Naturally kiongozi kama rais anachujika katika kundi kubwa la possible candidates, na mwenye elements au misuli ya kuweza kupenyeza juu ataonekana tu na automatically ndiye atakayeteuliwa kuongoza. Otherwise awe tu appointed na Nyerere kwamba huyu ndiye. Mh. Kikwete alipaambana sana hadi akaweza kuweka kichwa chake juu ya wengine kama unakumbuka. Means gani alitumia sijui lakini naturally mwenye misuli na ushawishi ndiye at the end anaibuka kuwa kiongozi.
Mr Msomba, kutoa misaada siyo ENL tu anatoa, Mengi anatoa sana, Bahresa anatoa sana, membe anatoa sana, juzi tu Sita alikuwa anachangisha harambee, Smaye, Kikwete, Mkapa ......... Mwinyi ndo zaidi. Logic hapa ni kwamba, ni nani katika jamii anakubalika? ana ushawishi? Ana marafiki? amaweza kuongea na watu wakaguswa wakatoa? kwa maneno mengine huwa watu hawa wanatafutwa sana na pengine wangekuwa wanaenda kla wanapoalikwa basi hata siku 360 za mwaka zisingetosha. Najua organization iliyokosa kupangiwa nafasi mwaka huu kwa kuwa ratiba zimejaa. Nini mbaya hapo? Mshumaa unaowaka mwanga wake utaonekana tu. Kutoa au kuendesha harambee si lazima ndo uje uwe Rais, lakini pia kama msukumo wa watu unakutaka hivyo ni kwa nini ukatae? Sioni dhambi kwa ENL kuendesha harambeeeeeee. Unajua kuna harambee nyingine unakuta pengine hata hajaweka hata shilingi moja lakini anatamka tu milioni 20 ili kuhamasisha watu. Nyie vipi?

On Tue, Jun 11, 2013 at 2:56 AM, Solomon Msomba <msomba2000@yahoo.com> wrote:
Sidhani kama mtu anajali utu wake na hana tamaa ya fedha bali uhalali wa fedha hawezi kukubaliana na mawazo yako. Swala hapa yeye kama kiongozi nini chanzo cha fedha zake mpaka zibishe hodi makanisani na misikitini? what is he looking for and what will be next after that? this should be the key issue. 

Solomon William Msomba-MSc
Leader,Crop Improvement Programme
Tea Research Institute of Tanzania (TRIT)
P.O.Box 2177
Dar-Es-Salaam
Tanzania
+255 784 596 649
+255 787 596 649
E-mail: msomba2000@yahoo.com
smsomba@trit.or.tz

--- On Tue, 6/11/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 11, 2013, 1:35 AM

Nina watu, nina pesa, nina ukarimu, ninaguswa na maisha duni kama mtu akijitambulisha. Hata kama wewe una shida ya mtaji, andika plan yako, kampelekee ENL akiridhika nayo na akiona kuwa unafaa usaidiwa, kama kiasi alicho nacho hakitoshi atatumia ushawishi wake kukuombea kwa Mengi, ........au atakukonect na bank  (atakudhamini kuchukua mkopo) hizi ni fursa jamani. Tusiangalie tu negatives, tuangalie ni namna gani tunaweza kusaidiwa na mtu kmarimu mwenye watu na ushawishi, tusiishie tu kusema katoa wapi pesa. Sio kila kitu alichosema Nyerere ni sawa. Hata yeye kuna madudu mengi tu alifanya. Nyerere si malaika. Nyerere alituchagulia mtu aliyemtaka yeye na si watanzania waliomtaka. Sasa kama mpaka sasa tunaendelea kusema eti kwa vile mwalimu alisema ndiyo hivyo. Hii si sawa.

On Mon, Jun 10, 2013 at 10:33 AM, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
Lugha sahihi ingekuwa hivi,Nina watu na pesa

On Mon, Jun 10, 2013 at 10:29 AM, Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com> wrote:
Waacha waendelee kulamba miguu yao kwa tamaa ya fedha zake lakini alichokiona kwa Nasari kule Arumeru ndicho kitakachomkumba 2015.

--- On Fri, 6/7/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 5:23 AM

Then Nyerere was wrong

--- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM

Yeah, right!
em

On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha....
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment