Monday 10 June 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Ngapula
Kwa maelezo yako inaelekea kete yako ya rais ajaye iko kwa ENL ninachokushangaa ni pale unapohoji Salimu alikuwa wapi hadi anashindwa kuhoji au kukemea maovu yanayotokea hapa kwetu. Naomba nikuulize swali hilo hilo huyo Mheshimiwa unayemtetea kwani yeye alikuwa wapi na yuko wapi hivi sasa? Nijuavyo mimi yuko ndani ya CCM na maovu yake wala hajatoka kuonyesha kutoridhishwa kwake na maovu yaliyomo ndani ya Chama au serikali yake. Katika hili sijui unampaje credit ENL na kumnyima salim. Be fair kwa wote na usiwe na double standards

Binafsi hakuna mgombea yeyote atakayejitokeza toka ndani ya CCM na serikali yake akajiita msafi. maovu yote hayo aliyajua na kukaa na hao tunaowaita wachafu. Wote ni wachafu na uchafu wote uliomo ndani ya Chama na Serikali ni mzigo wao pamoja. Hakuna sababu ya kumtetea hata mmoja na kuwatia hatiani baadhi.

Unapotwambia kiongozi yeyote duniani lazima atumie fedha ili kushika dola nakubaliana na wewe kwa shingo upande kwa kusema si lazima. Lakini hata kama ametumia fedha tatizo hapa ni je fedha hizo amezipata kwa njia gani?. Si viongozi wote wanaoingia madarakani wawe wametumia au kuwahujumu wananchi kwa mfano kiongozi anayetokea upinzani anakuwa na nafasi gani ya kuiba au kuwahujumu wananchi? Tusimungunye mameno kama ENL alishirikiana na huyo aliyeingia madarakani kwa kutumia njia zisizokuwa halali wote ni wasaliti na waharifu mbele ya wananchi hakuna wa kutetea hapo. Maana huo ni wizi na ghiriba

Nikikumbuka huko nyuma mzee Nyerere alihoji juu ya mali alizokuwa nazo ENL na wakati huo habari ya Richmond na wenzake ilikuwa bado. Kama ni kuwa na fedha chafu basi ni tangu nyuma wala si wakati wa JK kugombea urais. Kwa hayo mafupi ninaamini ENL anayo fedha na ni hiyo hiyo aliyotumia kupata watu anaosema ana watu na kwamba si fedha. Mimi nasema anayo fedha na watu aliowatengeneza kwa fedha ikiwemo madaraka. Fedha inabidi itangulie watu labda atwambie anayo fedha na watu

2013/6/10 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Mwl Lwaitama,

Fahamu kuwa Watanzania tu watu wa matukio, yanapopita hupotea na kila kitu chake nasi huanza mengine au kusubiri tukio jingine.

Leo hii tumesahau kuwa alipima mwenyewe, akajiona kuwa ana hatia, kisha akajiuzulu, hicho kitanzi hawezi kujikwamua!!!!

Jamani maamuzi ya serikali hayafanwi kupitia simu za mdomoni, kama ni hivyo basi itakuwa kali, kwani itarahisisha hata mikata kufanyika kwa nia hiyo hiyo.

Haya tukubali basi hana fedha ila ana ushawishi, jee tunawaamini vipi hao anaowashawishi, nia yao hasa ni nini kumwagia hayo mamilioni awapelekee Watanzania.

Felix

2013/6/10 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Dr Lwaiatama,let us think kwamba aliyehusika na kashfa ya Richmond ni Kikwete, na pengine ulikuwa ni mkakati wa makussudi kurudisha fedha iliyokopwa kwa wafanyabiashara fulani kwa ajili ya kusaidia kuendesha kampeni za kushinda uchaguzi.   Kama ungekuwa wewe ndio Lowasa by that time ungefanyaje? ungeamua kusemz tu kuwa mimi sihusiki bali anayehusikani JK au ungeamua kukaa kimya kwa mustakabali mwema wa taifa na siasa?....While responding to this,naomba uzingatie kuwa kwa kila kiongozi  anayeingia madarakani kwa taifa lolote lile,ni lazima gharama kubwa itumike,and how are you going to sponsor yourself?

Na,kuhusu Lowasa kusaidia kuwaweka watawala wa sasa madarakani, tuseme pengine Salim ndio angeingia madarakani,tp what extent hali ingekuwa tofauti na sasa? Nchi imepitia katika mitikisiko mingapi na Salim kwa nafasi yake hajawahi hata kusubutu kukemea chochote kile,je uchungu wake kwa watanzania uko wapi?

"Salim if is voluntarily complying with the current leadership to his favor,what is his special values to deserve important considerations in leadership?".

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 June 2013, 17:59
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

 Waliokaribu naye wamuulize  ENL atueleze kwa nini alisimamia  kuteuliwa  na baadaye kuchaguliwa kwa Mh Jakaya Kikwete mwaka  1995 na 2005 kwa njia zilizokuwa pamoja na kuwachafua washindani wengine wa Mh Kikwete kama Dr Salim Ahmed Salim na  Mh. Frederick Sumaye.  Pia muulize kama anaweza kuwaeleza Watanzania ilikuwaje yeye mtu msafi  hasiye na fedha bali ushwaishi wa hoja akajiuzuru Uwaziri Mkuu mwaka 2008 bila kutueleza  kwa uwazi  na ukweli ni nani hasa  aliyetuingiza kwenye hasara ya maisha kwa kuwapa mzigo akina Gire na Richmond yao? Yaani leo hii baada ya kuwabebesha mzigo  Watanzania kwa kushiriki kuwasimika  watawala hawa wa sasa leo anataka tumuamini  na kumpa fursa atawale au yeye au mteule wake mwingine. Ebu atueleze ilikuwaje  na sasa tumwelewe vipi hata kama ni kweli eti Mwl.  Nyerere alimuonea yeye na kuwa eti wala  hana fedha  bali  ni  msafi. Sisi wengine hatuna ubaya naye  kabisa na tunadhani anazo akili nyingi sana ila bado tunajiuliza maswali mengi kuhusu hao aliotupangia watutawale kwa miaka yote hii yangu 2005...anawakana au anatawakubali na anataka kuendeleza pale watakapoachia eh? Hata tukingolewa kucha na macho tutasema  kweli  na kuuliza maswali magumu daima!!!
Mwl. Lwaitama

Date: Fri, 7 Jun 2013 05:46:38 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com

I was just responding to EM's approval that EL has no maney but people. If this is true then nyerere was wrong in 1995

--- On Fri, 6/7/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, June 7, 2013, 5:32 AM

Nyerere was good but not perfect..

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 7 June 2013, 15:23
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Then Nyerere was wrong

--- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM

Yeah, right!
em

On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha....
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment