Ndugu Ngulupa,
Nimekuelewa nadhan, Ngulupai. Kifupi, wewe unamnadi Mh Lowasa kama Rais wa kumrithi Mh Kikwete 2015. Sawa, ilo ni haki yako ya kikatiba ya 1977. Mimi ninachosema ni kuwa kwa Mh Lowasa kumrithi Mh Kikwete ilo litakuwa mwendelezo wa ushawishi wa Mh Lowasa uliaonzia katika Mh Lowasa kumnadi Mh. Kikwete kushika usukani wa nchi 1995 na 2005 baada ya Mwalimu Nyerere kusema Mh Lowasa hafai kuongoza kwa kuwa na uadilifu wenye mashaka.
Sasa kwa vile inatarajiwa Watanzania wengi wameisha sahau au wameisha saulishwa juu ushauri wa Mwalimu Nyerere , kumpa nchi aiongoze Mh Lowasa litakuwa ni jambo ambalo ni kama Mh Lowasa atakuwa amefanikiwa kuwashawishi Watanzania kuupuza ushauri wa Mwalimu Nyerere baada ya Mwalimu Nyerere kuwa amekufa na hayupo kuutetea ushauri wake.
Kwa vile kujitokeza Mh Kikwete 1995 kulitokana na ushawishi wa Mh Lowasa basi Mh Lowasa atakuwa amedhibitisha usema wa wahenga usemao mvumilivu ula mbivu, na uvumilivu wake kisiasa atauhesabu kuwa umelipa. Kama Watanzania wengi hawana matatizo na furaha hii Mh Lowasa kufanikuwa kuwashawishi Watanzania wapuuze ushauri wa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa Mwalimu Nyerere amekufa na hayupo tena kuutetea ushauri wake, basi kila la heri kwa Watanzania hao ila mimi si mmoja wao aliyeshawishiwa kirahisi kihivyo!!!.
Nimatumaini yangu kuwa kutoshawishiwa kwangu huko hakutozaa kung'olewa kucha na meno bila bisibisi na hao walioshawishiwa na wapambe wa Mh Lowasa kama wewe. Kusema hivi si semi eti sasa ni zamu ya Dr Salim. Kwa sasa imani yangu ni kuwa Watanzania wangenufaika kuchangua Rais kutoka chama kingine chochote ili mradi si CCM.
Kama CCM inataka kuondoka madarakani kwa amani na bila kuacha mapokeo ("legacy") ya kuogoa meno na kucha za wapinzania wake kwa bisibisi, kumwagiwa tindikali waandishi wa habari wadadisi, kunyofolewa macho waandishi wa habari ambao wanatetea utendaji kazi wa Mh Lowasa, nk, nk, ushauri wangu kwa CCM ni kuwa basi imteue mgombea wa Rais ya Muungano 2015 mtu kama Dr Salim ambaye hajawahi kuonyesha uchu wa kuutamana sana Urais huo kiasi ambacho kila mtu anajua Mh Lowasa ameutamani tangu 1995, wakati Mwalimu Nyerere alipo toa ushauri kuwa hafai vile uadilifu wake ni wa mashaka.
Mwl. Lwaitama
Date: Mon, 10 Jun 2013 07:45:41 +0100
From: ngupula@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Dr Lwaiatama,let us think kwamba aliyehusika na kashfa ya Richmond ni Kikwete, na pengine ulikuwa ni mkakati wa makussudi kurudisha fedha iliyokopwa kwa wafanyabiashara fulani kwa ajili ya kusaidia kuendesha kampeni za kushinda uchaguzi. Kama ungekuwa wewe ndio Lowasa by that time ungefanyaje? ungeamua kusemz tu kuwa mimi sihusiki bali anayehusikani JK au ungeamua kukaa kimya kwa mustakabali mwema wa taifa na siasa?....While responding to this,naomba uzingatie kuwa kwa kila kiongozi anayeingia madarakani kwa taifa lolote lile,ni lazima gharama kubwa itumike,and how are you going to sponsor yourself?
Na,kuhusu Lowasa kusaidia kuwaweka watawala wa sasa madarakani, tuseme pengine Salim ndio angeingia madarakani,tp what extent hali ingekuwa tofauti na sasa? Nchi imepitia katika mitikisiko mingapi na Salim kwa nafasi yake hajawahi hata kusubutu kukemea chochote kile,je uchungu wake kwa watanzania uko wapi?
"Salim if is voluntarily complying with the current leadership to his favor,what is his special values to deserve important considerations in leadership?".
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 June 2013, 17:59
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
Waliokaribu naye wamuulize ENL atueleze kwa nini alisimamia kuteuliwa na baadaye kuchaguliwa kwa Mh Jakaya Kikwete mwaka 1995 na 2005 kwa njia zilizokuwa pamoja na kuwachafua washindani wengine wa Mh Kikwete kama Dr Salim Ahmed Salim na Mh. Frederick Sumaye. Pia muulize kama anaweza kuwaeleza Watanzania ilikuwaje yeye mtu msafi hasiye na fedha bali ushwaishi wa hoja akajiuzuru Uwaziri Mkuu mwaka 2008 bila kutueleza kwa uwazi na ukweli ni nani hasa aliyetuingiza kwenye hasara ya maisha kwa kuwapa mzigo akina Gire na Richmond yao? Yaani leo hii baada ya kuwabebesha mzigo Watanzania kwa kushiriki kuwasimika watawala hawa wa sasa leo anataka tumuamini na kumpa fursa atawale au yeye au mteule wake mwingine. Ebu atueleze ilikuwaje na sasa tumwelewe vipi hata kama ni kweli eti Mwl. Nyerere alimuonea yeye na kuwa eti wala hana fedha bali ni msafi. Sisi wengine hatuna ubaya naye kabisa na tunadhani anazo akili nyingi sana ila bado tunajiuliza maswali mengi kuhusu hao aliotupangia watutawale kwa miaka yote hii yangu 2005...anawakana au anatawakubali na anataka kuendeleza pale watakapoachia eh? Hata tukingolewa kucha na macho tutasema kweli na kuuliza maswali magumu daima!!!
Mwl. Lwaitama
Date: Fri, 7 Jun 2013 05:46:38 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

I was just responding to EM's approval that EL has no maney but people. If this is true then nyerere was wrong in 1995 --- On Fri, 6/7/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
|

0 comments:
Post a Comment