Tuesday 11 June 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

La Nyerere ntalisemea siwezi kukaa kimya.
Mambo ya kuchaguana kwa kutumia turufu ya ujinga wa waTanzania wa kutojua kiongozi bora ni nani inabidi yafikie kikomo hasa kwenye majukwaa kama haya ambapo kuna watu waloenda darasani japo kidogo. Kuongozwa na Nyerere halikuwa kosa; mawazo yake mengi hayakuwa na makosa; ni mtazamo wako tu. Ila hili la kusema si chaguao la wananchi mi linanisumbua sana. wananchi gani hawa waTZ ama wengine? Mnadhani chaguo lao linahusiana vipi na Tanzania ya kesho? WaTZ ili liwe chaguo sahihi la wanaemtaka kwa tija (sio kwa umbumbumbu) tunahitaji vitu viwili kwanza:
WaTZ wenyewe waelimike na kuwa na uwezo wa kugundua fiksi na ukweli kwenye majukwaa
Tuwe na wagombea wengi wanaovutwa na uchungu wa kuwaongoza waTZ kwenye neema na wala sio kuitaka Ikulu ili wakafanye biashara.
Haya mawili bado yapo mbali sana ukilinganisha na 1961 tofauti ni kuwa leo watu wana uhuru mkubwa wa kusema tu; uzalendo umekwenda na maji...
Hivyo bora mara milioni tuchaguliwe kiongozi wa nchi; ataona japo aibu kidogo kuliko kuingiliwa na mchwa ambao watakula hadi foundation!
Kubwa zaidi lakini ni; hivi kweli tumejawa na tamaa ya umimi na madaraka kiasi hiki? Hatuwezi pata maisha sehemu nyingine tukaendelea bali Ubunge, Urais na nafasi nyingine za siasa tu? Kwa nini hatuanzi kusemea haya? Tunawaza kuchaguana tu?
Niliwahi kuchangia humu kuwa basi waTZ kwa kuwa wengi ni wadanganyika, tufanye uchaguzi kwa uwakilishi-japo watu wenye upeo wapewe mandate ya kupiga kura sio kuzoa mikura tu ili mradi watu washinde! Chaguo la wananchi kwa TZ bado kabisa; hii demokrasia ya kukopi inatupeleka pabaya...

On Tue, Jun 11, 2013 at 11:35 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
Nina watu, nina pesa, nina ukarimu, ninaguswa na maisha duni kama mtu akijitambulisha. Hata kama wewe una shida ya mtaji, andika plan yako, kampelekee ENL akiridhika nayo na akiona kuwa unafaa usaidiwa, kama kiasi alicho nacho hakitoshi atatumia ushawishi wake kukuombea kwa Mengi, ........au atakukonect na bank  (atakudhamini kuchukua mkopo) hizi ni fursa jamani. Tusiangalie tu negatives, tuangalie ni namna gani tunaweza kusaidiwa na mtu kmarimu mwenye watu na ushawishi, tusiishie tu kusema katoa wapi pesa. Sio kila kitu alichosema Nyerere ni sawa. Hata yeye kuna madudu mengi tu alifanya. Nyerere si malaika. Nyerere alituchagulia mtu aliyemtaka yeye na si watanzania waliomtaka. Sasa kama mpaka sasa tunaendelea kusema eti kwa vile mwalimu alisema ndiyo hivyo. Hii si sawa.

On Mon, Jun 10, 2013 at 10:33 AM, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
Lugha sahihi ingekuwa hivi,Nina watu na pesa

On Mon, Jun 10, 2013 at 10:29 AM, Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com> wrote:
Waacha waendelee kulamba miguu yao kwa tamaa ya fedha zake lakini alichokiona kwa Nasari kule Arumeru ndicho kitakachomkumba 2015.

--- On Fri, 6/7/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 5:23 AM

Then Nyerere was wrong

--- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM

Yeah, right!
em

On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha....
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment