Monday 10 June 2013

RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Mimi napenda kutumia maneno makali kuwa ninafikiri watanzania wapumbavu wanaoweza kusahau ushauri wa mwalimu kuhusu EL niwachaceh sana. kama kuna mwenye ushawishi ni hotuba za mwalimu Nyerere kuliko wengi walio hai. Weka screen kubwa mahala utangaze kuwa kutakuwa na hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Screen hiyo Halafu okota mtu yeyote unayemjua aje kuhutubia watu mtaa wa pili utaona wapi watu watakusanyika kwa wingi. Nimesema okota yeyote unyefikiri ana ushawishi. hesabu waliohudhuria mikutano halafu sikiliza ndani ya siku mbili ni hotuba ya nani itakuwa inajadiliwa.
Chukua jibu halafu uamue kama watanzania wanaweza kusahau ushauri wa Nyerere. Huwezi kuumwa na Nyoka ukacheza na Mjusi. Tena pasipo kuathiri CHOCHOTE Dr. Salim Ni Mzanzibari pekee anayeweza kuchaguliwa na waTanganyika bila woga. Sina kucha za kung'oa

--- On Mon, 6/10/13, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 10, 2013, 2:16 AM

Ndugu Ngulupa,
 Nimekuelewa nadhan, Ngulupai. Kifupi, wewe  unamnadi Mh Lowasa kama  Rais  wa kumrithi  Mh Kikwete 2015. Sawa, ilo ni haki yako ya kikatiba ya 1977. Mimi   ninachosema  ni  kuwa kwa Mh  Lowasa kumrithi   Mh Kikwete  ilo litakuwa   mwendelezo wa ushawishi  wa Mh Lowasa  uliaonzia katika Mh Lowasa kumnadi Mh. Kikwete kushika usukani wa nchi 1995  na 2005 baada ya Mwalimu Nyerere kusema Mh Lowasa hafai kuongoza kwa kuwa na uadilifu wenye mashaka
 
Sasa kwa vile inatarajiwa Watanzania wengi wameisha  sahau au wameisha saulishwa   juu ushauri wa Mwalimu  Nyerere , kumpa nchi aiongoze Mh Lowasa litakuwa  ni jambo ambalo ni kama Mh Lowasa atakuwa amefanikiwa kuwashawishi Watanzania kuupuza  ushauri  wa Mwalimu Nyerere   baada ya Mwalimu Nyerere kuwa amekufa  na hayupo kuutetea ushauri wake
 
Kwa vile  kujitokeza Mh Kikwete  1995 kulitokana na ushawishi wa  Mh Lowasa basi Mh Lowasa atakuwa amedhibitisha usema  wa wahenga usemao  mvumilivu ula  mbivu,   na uvumilivu wake  kisiasa  atauhesabu  kuwa umelipa.  Kama Watanzania wengi hawana  matatizo na furaha hii Mh Lowasa kufanikuwa kuwashawishi Watanzania wapuuze ushauri wa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa Mwalimu Nyerere amekufa  na hayupo  tena kuutetea ushauri wake, basi  kila la heri kwa Watanzania hao ila mimi si mmoja wao aliyeshawishiwa  kirahisi kihivyo!!!
 
Nimatumaini yangu kuwa kutoshawishiwa kwangu huko hakutozaa kung'olewa kucha  na meno bila bisibisi na hao walioshawishiwa na wapambe wa Mh Lowasa kama wewe. Kusema  hivi si semi eti sasa ni zamu  ya Dr Salim. Kwa sasa  imani yangu ni kuwa Watanzania wangenufaika kuchangua Rais kutoka chama kingine chochote ili mradi si CCM.
 
Kama  ni CCM  basi walau Dr Salim  ambaye hana  pupa  ya kuwa Rais  na alikuwa kimya hata alipochafuliwa. Tusisahau kuwa Mh Lowasa hakukaa kimya  alipojisikia kuchafuliwa. Kila alipopata nafasi Mh Lowasa amekuwa akilalamika juu ya lichoita kuonewa kwa sababu ya Uwaziri Mkuu!!! Nina uhakika wapo  viongozi wengi tu ndani ya CCM  yenyewe ambao sina uhakika wanakubaliana na hoja ya kuwa eti Mh Lowasa hana fedha bali ni ushwawishi wa hoja  zake na uchapachi kazi wake tu basi. Ahaha!! Vita hii ya ushawishi wa Mh Lowasa na wanao upinga ushawishu huo nina uhakika itazaa kungolewa meno  na kucha bila bisibisi na udini   kila kikicha. tunavyosogelea 2015.
 
Kama CCM inataka kuondoka madarakani kwa amani  na bila kuacha  mapokeo ("legacy") ya kuogoa meno na kucha   za wapinzania  wake kwa bisibisi, kumwagiwa tindikali waandishi wa habari wadadisi, kunyofolewa macho waandishi wa habari ambao wanatetea utendaji kazi  wa Mh Lowasa, nk, nk,  ushauri wangu  kwa CCM ni kuwa basi imteue mgombea  wa Rais ya Muungano  2015  mtu kama Dr Salim ambaye  hajawahi kuonyesha uchu  wa kuutamana sana Urais huo kiasi ambacho kila mtu anajua Mh Lowasa ameutamani tangu 1995, wakati Mwalimu  Nyerere alipo toa ushauri kuwa hafai vile uadilifu wake ni wa mashaka. 
Mwl. Lwaitama

Date: Mon, 10 Jun 2013 07:45:41 +0100
From: ngupula@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com

Dr Lwaiatama,let us think kwamba aliyehusika na kashfa ya Richmond ni Kikwete, na pengine ulikuwa ni mkakati wa makussudi kurudisha fedha iliyokopwa kwa wafanyabiashara fulani kwa ajili ya kusaidia kuendesha kampeni za kushinda uchaguzi.   Kama ungekuwa wewe ndio Lowasa by that time ungefanyaje? ungeamua kusemz tu kuwa mimi sihusiki bali anayehusikani JK au ungeamua kukaa kimya kwa mustakabali mwema wa taifa na siasa?....While responding to this,naomba uzingatie kuwa kwa kila kiongozi  anayeingia madarakani kwa taifa lolote lile,ni lazima gharama kubwa itumike,and how are you going to sponsor yourself?

Na,kuhusu Lowasa kusaidia kuwaweka watawala wa sasa madarakani, tuseme pengine Salim ndio angeingia madarakani,tp what extent hali ingekuwa tofauti na sasa? Nchi imepitia katika mitikisiko mingapi na Salim kwa nafasi yake hajawahi hata kusubutu kukemea chochote kile,je uchungu wake kwa watanzania uko wapi?

"Salim if is voluntarily complying with the current leadership to his favor,what is his special values to deserve important considerations in leadership?".

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 June 2013, 17:59
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

 Waliokaribu naye wamuulize  ENL atueleze kwa nini alisimamia  kuteuliwa  na baadaye kuchaguliwa kwa Mh Jakaya Kikwete mwaka  1995 na 2005 kwa njia zilizokuwa pamoja na kuwachafua washindani wengine wa Mh Kikwete kama Dr Salim Ahmed Salim na  Mh. Frederick Sumaye.  Pia muulize kama anaweza kuwaeleza Watanzania ilikuwaje yeye mtu msafi  hasiye na fedha bali ushwaishi wa hoja akajiuzuru Uwaziri Mkuu mwaka 2008 bila kutueleza  kwa uwazi  na ukweli ni nani hasa  aliyetuingiza kwenye hasara ya maisha kwa kuwapa mzigo akina Gire na Richmond yao? Yaani leo hii baada ya kuwabebesha mzigo  Watanzania kwa kushiriki kuwasimika  watawala hawa wa sasa leo anataka tumuamini  na kumpa fursa atawale au yeye au mteule wake mwingine. Ebu atueleze ilikuwaje  na sasa tumwelewe vipi hata kama ni kweli eti Mwl.  Nyerere alimuonea yeye na kuwa eti wala  hana fedha  bali  ni  msafi. Sisi wengine hatuna ubaya naye  kabisa na tunadhani anazo akili nyingi sana ila bado tunajiuliza maswali mengi kuhusu hao aliotupangia watutawale kwa miaka yote hii yangu 2005...anawakana au anatawakubali na anataka kuendeleza pale watakapoachia eh? Hata tukingolewa kucha na macho tutasema  kweli  na kuuliza maswali magumu daima!!!
Mwl. Lwaitama

Date: Fri, 7 Jun 2013 05:46:38 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com

I was just responding to EM's approval that EL has no maney but people. If this is true then nyerere was wrong in 1995

--- On Fri, 6/7/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, June 7, 2013, 5:32 AM

Nyerere was good but not perfect..

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 7 June 2013, 15:23
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Then Nyerere was wrong

--- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM

Yeah, right!
em

On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha....
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment