Thursday 13 June 2013

Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA

Mollel
It has now come to my attention that 2015 presidency compaings have started. And it appears you are pro ENL. I would like to bring you to attention that, it goes to the saying that 'Kizuri kinajiuza na Kibaya kinajitembeza. If ENL has all the qualities you are claiming no need to worry Tanzanians knows all of these and therefore will definitely support him.

Viongozi wazuri huwa hawajui kama wao ni viongozi wazuri bali watu wengine ndo uwaona na kuwaambia ni viongozi wazuri. Nakushukuru kama na wewe ni mmojawapo uliyemuona ENL ni kiongozi mzuri na wala siyo yeye ENL kujiona hivyo na bila shaka upo umati mkubwa nyuma yako.

2013/6/14 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
Lesian;
Acha porojo bwn otherwise kuwa mstaarabu kwa kutuambia personal interest au uhusiano wako na huyu Mheshimiwa,mana naona kama kuna udugu ndani yake hivyo mafanikio yake hata kama sio halali yana +ve externality kwako! Wewe unapinga tu mawazo ya wengine bila hoja wenzako wanaomuongelea kwa kutoa grounds,sio sehemu ya porojo hapa.
Aliyekushauri kwamba huyu ndiye kiongozi anayetakiwa Tanzania kakupotosha na kama ni mawazo yako basi unapotoka,Watanzania tupo zaidi ya 40m haiwezekani kukawa na mtu mmoja tu mwenye uwezo wa kuongoza wenzake,hiyo ni notion ya kihuni otherwise ni sawa na kutuambia taifa la Tanzania halipo,pasipo yeye hatujuia muelekeo wetu?
Kama Makanisani na Misititini tunaishi kwa fundraising sio lazima za kwake, kwani kabla yake hayakuwepo?au unataka kutuambia kupeleka fedha huko Makanisani ndiko kuna fanya fedha zake kuwa halali?
Usitetee tu kwasababu huyu ni Mjomba wako,kuwa Mzalendo kwa Taifa lako. This is extremely selfishness. Ingekuwa China yeye na wenzake tungekuwa tuliisha wasahau siku mingi.

Reuben

--- On Thu, 6/13/13, lesian mollel  wrote:

> From: lesian mollel
> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, June 13, 2013, 8:41 AM
> watu
> bw? mtu akiamua kukuchukia hata kama hana hoja atalazimisha,
> huyu mh ENL kwa tanzania ndie kiongozi anaetakiwa jamani
> mbona mnakomaa bila hoja, na watu wanampenda, na makanisani
> na msikitini wanaishi kwa fundraising jamani, na
> anvyoshawishi kupatikana pesa ni jambo la kumpongeza, hili
> ni jembe jamani....mbn wapo kibao hata pesa zao ziwe safi au
> chafu wanazitafuna wenyewe hamsemi? bora huyu anatafuna na
> wasio nazo, kiongozi wa kweli ni anaeangalia hadi chini
> kabisa...acheni hizo jamani, mpondeni mtu kwa hoja.....
>
> --- On Tue, 6/11/13, Solomon Msomba
>  wrote:
>
> From: Solomon Msomba
> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date:
>  Tuesday, June 11, 2013, 5:56 AM
>
> Sidhani kama mtu anajali utu wake na hana tamaa
> ya fedha bali uhalali wa fedha hawezi kukubaliana na mawazo
> yako. Swala hapa yeye kama kiongozi nini chanzo
> cha fedha zake mpaka zibishe hodi makanisani na misikitini?
> what is he looking for and what will be next after that?
> this should be the key issue. 
>
> Solomon William Msomba-MSc
> Leader,Crop Improvement Programme
> Tea Research Institute of Tanzania (TRIT)
> P.O.Box 2177
> Dar-Es-Salaam
> Tanzania
> +255 784 596 649
> +255 787 596 649
> E-mail: msomba2000@yahoo.com
> smsomba@trit.or.tz
>
> --- On Tue, 6/11/13, richard bahati
>  wrote:
>
>
> From: richard bahati
> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
> To: "wanabidii"
>
> Date: Tuesday, June 11, 2013, 1:35 AM
>
>
>
> Nina watu, nina pesa, nina ukarimu, ninaguswa
> na maisha duni kama mtu akijitambulisha. Hata kama wewe una
> shida ya mtaji, andika plan yako, kampelekee ENL akiridhika
> nayo na akiona kuwa unafaa usaidiwa, kama kiasi alicho nacho
> hakitoshi atatumia ushawishi wake kukuombea kwa Mengi,
> ........au atakukonect na bank  (atakudhamini kuchukua
> mkopo) hizi ni fursa jamani. Tusiangalie tu negatives,
> tuangalie ni namna gani tunaweza kusaidiwa na mtu kmarimu
> mwenye watu na ushawishi, tusiishie tu kusema katoa wapi
> pesa. Sio kila kitu alichosema Nyerere ni sawa. Hata yeye
> kuna madudu mengi tu alifanya. Nyerere si malaika. Nyerere
> alituchagulia mtu aliyemtaka yeye na si watanzania
> waliomtaka. Sasa kama mpaka sasa tunaendelea kusema eti kwa
> vile mwalimu alisema ndiyo hivyo. Hii si sawa.
>
>
>
>
> On Mon, Jun 10, 2013
> at 10:33 AM, paul lawala
> wrote:
>
>
> Lugha sahihi ingekuwa hivi,Nina watu na
> pesa
>
>
>
>
>
> On Mon, Jun 10, 2013
> at 10:29 AM, Fred Hans Kipamila
> wrote:
>
>
>
>
>
> Waacha waendelee kulamba miguu yao kwa tamaa ya
> fedha zake lakini alichokiona kwa Nasari kule Arumeru ndicho
> kitakachomkumba 2015.
>
> --- On Fri, 6/7/13, ELISA MUHINGO
> wrote:
>
>
> From: ELISA MUHINGO
>
> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, June 7, 2013, 5:23 AM
>
>
>
>
>
>
>
>
> Then Nyerere was wrong
>
> --- On Fri, 6/7/13, Emmanuel Muganda
> wrote:
>
>
> From: Emmanuel Muganda
> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, June 7, 2013, 4:14 AM
>
>
> Yeah, right!
> em
>
>
> On Fri, Jun 7, 2013 at 6:48 AM, richard bahati
> wrote:
>
>
> WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa
> (pichani) amesema hana fedha wala si tajiri bali
> ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono
> katika shughuli za kimaendeleo ndivyo
> vinavyomng'arisha....
> http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/lowassa-nina-watu-si-fedha.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To
>  unsubscribe from this group and stop receiving emails from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>  
>
>  
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment