Dr Lwaitama,kwanza nisamehe sikukusalimia nilipoanza kuandika mada hii "za siku nyingi ndugu yangu,shikamoo"...ni kweli kwa sasa na kwa uzingativu mkubwa na moyo wa upendo kwa Tanzania,kwa nafasi ya uraisi ikibidi CCM ndio iendelee kutawala, mimi ni mfuasi wa Lowasa kwa sababu kuu mbili (i) Ni mtendaji mzuri (ii) na pia ni kiongozi mwenye msimamo na maamuzi haswa ya kuthubutu. Tanzania tukiyafanya mambo yale yale na kwa style ileile hatuwezi kufika popote,kwani tutapata matokeo yaleyale. Kwa Lowasa inawezekana,kwani anayajua madaraka na anajua kucheza na system na siasa. Ninampenda Lowasa kwani pia ni muwazi na huihitaji miwani kumjua kwani si mnafiki. Raisi ajae hapaswi kuwa mnafikinafiki na asiyeeleweka,ni lazima awe muwazi kwa asilimia 100%.
Lowasa amesema yeye hana hela isipokuwa ana watu. Nafikiri maana ya maneno yake ni kuwa katika makongamano na michango mbalimbali anayofanya,pesa anazotoa si zake pekee bali anao marafiki anaoshirikiana nao kyatimiza hayo.Hivyo basi jamiii isimchukulie yeye kuwa ana hela kwa kufanya hivyo,bali anao watu ambao anaweza kukubaliana nao kufanya jambo fulani jema,kwa kadri inavyopendeza.Sijaona kosa lake kwa hili.
Ni kweli Mwalimu Nyerere alimuona Lowasa si safi kwa kigezo chake cha kuwa na mali..Lakini Mwalimu akamuona Mkapa na Jk ni safi. Swali langu was Nyerere right on this?..Mimi naelewa tatizo la Watanzani ni kula mtaji na wavivu kufanya kazi. Matokeo yake tumekuwa na majizi mengi kwa muda mrefu ambayo yameendelea kuwa majizi mpka yanakufa kwa pressure. Mwizi innovative haitaji kuiba milele ili kutoka kiuchumi kwani huiba ili apate mtaji...
Ingawa na kubaliana na mtazamo wa wengi kuwa Lowasa aikikaa sehemu hula, lakini naomba tusisahau kuwa Lowasa pia hufanya kazi na hana sifa ya kula mtaji. Watanzania kwa sasa hatuna uwezo wa kumzuia raisi yeyote ajaye asile,bali tunachohitaji asile mtaji wetu na atufanyie kazi...Kwa Lowasa hata kama akila,kazi atafanya na matokeo yataonekana..
Kuhusu kutolewa kucha....sio wewe tu,hata mi naogopa kutolewa kucha,si unajua pia kuna wapinzani wa Lowasa na wana nguvu pia?..
Napingana na wewe kuhusu Salim kuteuliwa kuwa rais..nafikiri huitazami siasa ya Tanzania in a multiple dimensions....kwa ushauri wangu,ikishindikana kwa Lowasa ni aheri Magufuli au Mwakyemmbe.
"Dawa ya mchawi mkabidhi mwanao"
Regards,Ngupula
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 10 June 2013, 12:16
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
Ndugu Ngulupa,
Nimekuelewa nadhan, Ngulupai. Kifupi, wewe unamnadi Mh Lowasa kama Rais wa kumrithi Mh Kikwete 2015. Sawa, ilo ni haki yako ya kikatiba ya 1977. Mimi ninachosema ni kuwa kwa Mh Lowasa kumrithi Mh Kikwete ilo litakuwa mwendelezo wa ushawishi wa Mh Lowasa uliaonzia katika Mh Lowasa kumnadi Mh. Kikwete kushika usukani wa nchi 1995 na 2005 baada ya Mwalimu Nyerere kusema Mh Lowasa hafai kuongoza kwa kuwa na uadilifu wenye mashaka.
Sasa kwa vile inatarajiwa Watanzania wengi wameisha sahau au wameisha saulishwa juu ushauri wa Mwalimu Nyerere , kumpa nchi aiongoze Mh Lowasa litakuwa ni jambo ambalo ni kama Mh Lowasa atakuwa amefanikiwa kuwashawishi Watanzania kuupuza ushauri wa Mwalimu Nyerere baada ya Mwalimu Nyerere kuwa amekufa na hayupo kuutetea ushauri wake.
Kwa vile kujitokeza Mh Kikwete 1995 kulitokana na ushawishi wa Mh Lowasa basi Mh Lowasa atakuwa amedhibitisha usema wa wahenga usemao mvumilivu ula mbivu, na uvumilivu wake kisiasa atauhesabu kuwa umelipa. Kama Watanzania wengi hawana matatizo na furaha hii Mh Lowasa kufanikuwa kuwashawishi Watanzania wapuuze ushauri wa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa Mwalimu Nyerere amekufa na hayupo tena kuutetea ushauri wake, basi kila la heri kwa Watanzania hao ila mimi si mmoja wao aliyeshawishiwa kirahisi kihivyo!!!.
Nimatumaini yangu kuwa kutoshawishiwa kwangu huko hakutozaa kung'olewa kucha na meno bila bisibisi na hao walioshawishiwa na wapambe wa Mh Lowasa kama wewe. Kusema hivi si semi eti sasa ni zamu ya Dr Salim. Kwa sasa imani yangu ni kuwa Watanzania wangenufaika kuchangua Rais kutoka chama kingine chochote ili mradi si CCM.
Kama ni CCM basi walau Dr Salim ambaye hana pupa ya kuwa Rais na alikuwa kimya hata alipochafuliwa. Tusisahau kuwa Mh Lowasa hakukaa kimya alipojisikia kuchafuliwa. Kila alipopata nafasi Mh Lowasa amekuwa akilalamika juu ya lichoita kuonewa kwa sababu ya Uwaziri Mkuu!!! Nina uhakika wapo viongozi wengi tu ndani ya CCM yenyewe ambao sina uhakika wanakubaliana na hoja ya kuwa eti Mh Lowasa hana fedha bali ni ushwawishi wa hoja zake na uchapachi kazi wake tu basi. Ahaha!! Vita hii ya ushawishi wa Mh Lowasa na wanao upinga ushawishu huo nina uhakika itazaa kungolewa meno na kucha bila bisibisi na udini kila kikicha. tunavyosogelea 2015.
Kama CCM inataka kuondoka madarakani kwa amani na bila kuacha mapokeo ("legacy") ya kuogoa meno na kucha za wapinzania wake kwa bisibisi, kumwagiwa tindikali waandishi wa habari wadadisi, kunyofolewa macho waandishi wa habari ambao wanatetea utendaji kazi wa Mh Lowasa, nk, nk, ushauri wangu kwa CCM ni kuwa basi imteue mgombea wa Rais ya Muungano 2015 mtu kama Dr Salim ambaye hajawahi kuonyesha uchu wa kuutamana sana Urais huo kiasi ambacho kila mtu anajua Mh Lowasa ameutamani tangu 1995, wakati Mwalimu Nyerere alipo toa ushauri kuwa hafai vile uadilifu wake ni wa mashaka.
Mwl. Lwaitama
Date: Mon, 10 Jun 2013 07:45:41 +0100
From: ngupula@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Dr Lwaiatama,let us think kwamba aliyehusika na kashfa ya Richmond ni Kikwete, na pengine ulikuwa ni mkakati wa makussudi kurudisha fedha iliyokopwa kwa wafanyabiashara fulani kwa ajili ya kusaidia kuendesha kampeni za kushinda uchaguzi. Kama ungekuwa wewe ndio Lowasa by that time ungefanyaje? ungeamua kusemz tu kuwa mimi sihusiki bali anayehusikani JK au ungeamua kukaa kimya kwa mustakabali mwema wa taifa na siasa?....While responding to this,naomba uzingatie kuwa kwa kila kiongozi anayeingia madarakani kwa taifa lolote lile,ni lazima gharama kubwa itumike,and how are you going to sponsor yourself?
Na,kuhusu Lowasa kusaidia kuwaweka watawala wa sasa madarakani, tuseme pengine Salim ndio angeingia madarakani,tp what extent hali ingekuwa tofauti na sasa? Nchi imepitia katika mitikisiko mingapi na Salim kwa nafasi yake hajawahi hata kusubutu kukemea chochote kile,je uchungu wake kwa watanzania uko wapi?
"Salim if is voluntarily complying with the current leadership to his favor,what is his special values to deserve important considerations in leadership?".
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 June 2013, 17:59
Subject: RE: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
Waliokaribu naye wamuulize ENL atueleze kwa nini alisimamia kuteuliwa na baadaye kuchaguliwa kwa Mh Jakaya Kikwete mwaka 1995 na 2005 kwa njia zilizokuwa pamoja na kuwachafua washindani wengine wa Mh Kikwete kama Dr Salim Ahmed Salim na Mh. Frederick Sumaye. Pia muulize kama anaweza kuwaeleza Watanzania ilikuwaje yeye mtu msafi hasiye na fedha bali ushwaishi wa hoja akajiuzuru Uwaziri Mkuu mwaka 2008 bila kutueleza kwa uwazi na ukweli ni nani hasa aliyetuingiza kwenye hasara ya maisha kwa kuwapa mzigo akina Gire na Richmond yao? Yaani leo hii baada ya kuwabebesha mzigo Watanzania kwa kushiriki kuwasimika watawala hawa wa sasa leo anataka tumuamini na kumpa fursa atawale au yeye au mteule wake mwingine. Ebu atueleze ilikuwaje na sasa tumwelewe vipi hata kama ni kweli eti Mwl. Nyerere alimuonea yeye na kuwa eti wala hana fedha bali ni msafi. Sisi wengine hatuna ubaya naye kabisa na tunadhani anazo akili nyingi sana ila bado tunajiuliza maswali mengi kuhusu hao aliotupangia watutawale kwa miaka yote hii yangu 2005...anawakana au anatawakubali na anataka kuendeleza pale watakapoachia eh? Hata tukingolewa kucha na macho tutasema kweli na kuuliza maswali magumu daima!!!
Mwl. Lwaitama
Date: Fri, 7 Jun 2013 05:46:38 -0700
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA: NINA WATU SI FEDHA
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

I was just responding to EM's approval that EL has no maney but people. If this is true then nyerere was wrong in 1995 --- On Fri, 6/7/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
|

0 comments:
Post a Comment